Afya Tips

Afya Tips Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la matatizo yote sugu ya uzazi kwa wanawake

13/03/2025

Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi Pasipo Uangalifu!

Changamoto Za Uzazi Kwa Wanawake Huja Na Matokeo Ya Kufanana Lakini Vyanzo Na Visababishi Vyake Hutofautiana Sana.

Ili Kutibu Changamoto Za Uzazi Kwa Uhakika Zaidi Shiriki Kwanza Vipimo Vya Mfumo Mzima Wa Uzazi Vitakavyokusaidia Sana Kufahamu Yafuatayo;

✅️ Kujua Tatizo Zaidi Ni Lipi (Wengi Hawafahamu Changamoto Walizonazo Wanaziotea Tu Kwa Kuangalia Dalili Peke Yake)

✅️ Kufahamu Chanzo Cha Tatizo (Changamoto Za Uzazi Hazitibiwi Kwa Kutazama Matokeo Peke Yake! Vipimo Vitakupa Nafasi Ya Kufahamu Vyanzo Ni Vipi Na Ndio Msingi Wa Afya Njema Ya Uzazi)

✅️ Kufahamu Namna Tatizo Lilivyoathiri Uzazi Kwa Ndani

Vipimo Hivi Vya Uzazi Na Matibabu Ya Uzazi Yanapatikana Kwenye Vituo Vyetu Vya Afya Vilivyopo Kwenye Zaidi Ya Mikoa 20 Kwa Thamani Ya Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu!)

Ndio Ni Kwa Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu)

Wasiliana Nasi Hapa Kupata Vipimo Sahihi Vya Uzazi Na Matibabu Sahihi Zaidi

Dr Mshamu
0744660345

Kuna huyu minyoo anaitwa Trichinellosis kwenye nyama ya nguruwe, huyu anaweza kusababisha uvimbe uso au uwe kipofu ghafl...
01/11/2024

Kuna huyu minyoo anaitwa Trichinellosis kwenye nyama ya nguruwe, huyu anaweza kusababisha uvimbe uso au uwe kipofu ghafla 😁😁

Hii nimeweka spesho kwa wanawake wanaochanganya U.T.I na Fangasi/P.I.D/kutokwa uchafu unaonuka)....Kwa kawaida mwanamke ...
31/10/2024

Hii nimeweka spesho kwa wanawake wanaochanganya U.T.I na Fangasi/P.I.D/kutokwa uchafu unaonuka)....
Kwa kawaida mwanamke ana vishimo viwili, kishomo cha juu ni njia ya mkojo na shimo la chini ndo k yenyewe hapa uume hupita, mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakini pia mwanamke akiwa period, damu hupita hapo..
U.T.I (yutiai inahusiana na njia ya JUU tu, yaani njia ya mkojo, na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo, kutoa mkojo wenye harufu kali sana

kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani, maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus, P.I.D, au hata vaginosis, ila SIO U.T.I📌..

Kuna chochote umejifunza?

Una swali lolote kuhusiana na mambo ya uzazi na ungependa kujua namna ya kujitibia kwa kutumia vyakula, mazoezi na tiba?

Wasiliana nasi kwenye comment, inbox au whatsapp 0744660345

31/10/2024

NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

Dr. Mshamu Mshamu
0744660345

😍😊
02/09/2024

😍😊

EPUKA KUTAZAMA VIDEO ZA NGONOSasa hivi technology imekua sana kila mtu anamiliki smart phone (simu janja) So kuangalia n...
25/08/2024

EPUKA KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO

Sasa hivi technology imekua sana kila mtu anamiliki smart phone (simu janja) So kuangalia na kupata habari ni rahisi sana.Hizi video na picha za ngono ni rahisi kuzitazama kwa gharama kidogo sana hii inapelekea wengi kuathirika na utazamaji wa video hizo chafu
Wanawake na wanaume hili janga ni kubwa so epuka kutazama hizi video 🧯📵

Punyeto au Kujichua

Ni kitendo kinachowaingiza wengi katika shida kubwa sana bila wao kujua. Wanapokuja kush*tuka wanakuwa tayari wameshakuwa waraibu (addicted) na madhara makubwa wanakuwa wamepata.

Punyeto sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia kwa nyia hio

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja hasa k**a umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu

MADHARA YA KUJICHUA KWA WANAWAKE.

🌷Inaweza kupelekea mwanamke kutanuka uke au kulegea na nyama kujitokeza nje kuliko kawaida.

🌷Kukosa hisia au Utamu kabisa Wakati wa tendo la ndoa na hivyo hawezi kuridhishwa na mume wake na hata ukishiriki tendo la ndoa hupati raha k**a unayopata ukijichua hivyo utachukia wanaume.

🌷Unaweza kupata maambukizi kwenye Via vya uzazi PID maana unatia vidole huko na PID ikikomaa unaanza kutokwa na Uchafu

Mambo yote haya yanaweza kusababishwa na tabia hii. Kwa kuwa yamesababishwa na tabia mbaya basi yanaweza pia kwa sehemu kubwa kutatuliwa kwa tabia njema.

Wewe ni mwanamke unapitia changamoto hi njo dm tuongee nikushauri vizuri zaidi ndg ikibidi nikupe suluhuhisho sahihi la Tatizo lako K**a umeathirika zaidi kiasi Cha kuanza kuona kwamba hauko Normal kiafya

Call me/Whatsapp

☎️📞 0744660345

TAMBUA SABABU KWANINI UNATUMIA DAWA NYINGI NA HUPATI MATOKEO✍️       🍏kumekua na watuwengi wakitafuta suluhisho la MAGOJ...
21/08/2024

TAMBUA SABABU KWANINI UNATUMIA DAWA NYINGI NA HUPATI MATOKEO✍️
🍏kumekua na watuwengi wakitafuta suluhisho la MAGOJWA lakini wanatumia dawa nyingi bila matokeo
Sababu kubwa wengi wanatumia dawa bila kufanya vipimo hii sababu imewaghalimu watuwengisana,
✍️halihii imepelekea watu kupata MATATIZO makubwa hasa ya uzazi

K**a unasumbuliwa na MAGOJWA K**a haya usitumie TIBA yeyote bila kufanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi
➡️P I D
➡️Hormone imbalance
➡️Uvimbe kwenye kizazi
➡️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
➡️Mirija kuziba
➡️Harufu ukeni
➡️Kushidwa kubeba mimba
➡️ Fibroids
N.k
🍏N.b
Epuka kutumia kila dawa bila kufanya vipimo hii itahatarisha zaidi afya yako
Wasiliana nasi
📞 0744660345

Mungu akupe haja ya moyo wako wewe unayetafuta uzao. Hakutakua na tasa wala mwenye kuharibu mimba.! 🙏
31/07/2024

Mungu akupe haja ya moyo wako wewe unayetafuta uzao. Hakutakua na tasa wala mwenye kuharibu mimba.! 🙏

25/07/2024
Yawezekana umeomba sana hujajibiwa na hamu yako ya kupata mtoto imekua kubwa mno, lakini usikate tamaa mshukuru Mungu na...
13/07/2024

Yawezekana umeomba sana hujajibiwa na hamu yako ya kupata mtoto imekua kubwa mno, lakini usikate tamaa mshukuru Mungu na amini utanyonyesha tu 🤱👩‍🍼

K**a bado una changamoto yoyote ya uzazi wasiliana na mimi sasahivi nina suluhisho kwa ajili yako.

Dr Mshamu Mshamu
0744660345
Whatsapp 0744 660 345

USIDANGANYIKE! Hakuna Dawa Ya Kuboost Ya Kupaka Wala Ya Kunywa Inayomaliza Changamoto Za Nguvu Za Kiume Kwa Kila Mwanaum...
10/07/2024

USIDANGANYIKE! Hakuna Dawa Ya Kuboost Ya Kupaka Wala Ya Kunywa Inayomaliza Changamoto Za Nguvu Za Kiume Kwa Kila Mwanaume!

Kwanini?

Kwa Sababu Changamoto Ya Ukosefu Wa Nguvu Za Kiume Ina Sababu Nyingi Ambazo Haziwezi Kumalizwa Na Dawa Ya Aina Moja!

Inakuaje Mwenye Kukosa Nguvu Za Kiume Kwa Sababu Ya Magonjwa K**a Moyo, Kisukari/Presha Atumie Tu Dawa Ya Kupaka/Kunywa Yoyote Halafu Awe Sawa.?

Ukiwa Na Changamoto Za Nguvu Za Kiume Fuata Utaratibu Sahihi Wa Matibabu Kwa Makini Kabisa Itakusaidia Kwa 100%.

Utaratibu Ni Kufahamu Kwanza Ni Kwanini Unapitia Changamoto Ya Kukosa Nguvu Za Kiume, Hapa Ufanye Nini Sasa.?

👉 Fanya Vipimo Sahihi Vya Uzazi. Vipimo Hivi Vitahusisha;

✅ Afya Ya Misuli na Mishipa Inayopitisha Damu Hadi Kwenye Uume (Hii Ni Msaada Kwa Walioathirika Na Punyeto Pia),

✅ Homoni Ya Kiume (TESTOSTERONE) - Hii Ikiwa Kwa Kiwango Cha Chini Ni Athari Kwa Afya Ya Mwanaume,

✅ Uwezo Wa Kusimamisha (ER****ON TRANSMITTER) - K**a Uwezo Wa Kusimamisha Uko Chini Lazima Uathiri Uanaume Wako,

✅ Magonjwa Yanayoathiri Afya Ya Mwanaume (Moyo, Ini, Bawasiri, Figo, Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari n.k)

✅ Wingi Na Uimara Wa Mbegu Za Kiume. Ni Lazima Kufanya Vipimo Hivi Wewe Mwanaume Mwenye Changamoto Ya Nguvu Za Kiume Kabla Hujatumia Dawa Yoyote Ile.

✅️ Kuangalia Afya Ya Korodani Za Kiume (Itakusaidia Kukuepusha Na Changamoto Za Kuvimba Kwa Korodani Na Kujaa Maji)

✅️ Kuangalia Afya Ya Tezi Dume (Prostate) Hii Itakupa Nafasi Ya Kuzuia Kuvimba Kwa Tezi Dume Na Kuanza Matibabu Mapema K**a Tayari Tatizo Lilishaanza

👉 Acha Mitindo Hatarishi Inayoathiri Uanaume Wako. ACHA PUNYETO! PUNGUZA STRESS KABISA! ISHI MAISHA YA FURAHA NA FANYA KAZI ZAKO KWA BIDII.

MUHIMU
👉 USITUMIE KABISA DAWA ZA KUBOOST ILI KUWA NA NGUVU ZA MUDA MFUPI ZINAZIDI KUKUATHIRI.

K**a unahitaji msaada zaidi baada ya kuathirika na ukosefu wa nguvu za kiume na punyeto nipo tayari kukusaidia kwa kufuata utaratibu wa matibabu kwa kuanza na vipimo vya mfumo wa uzazi nilivyozungumzia hapo juu kwa thamani ndogo sana kwa vituo vyetu vyote vya afya.

Jisajili kupata huduma ya vipimo sahihi vya afya ya mwanaume kwa thamani ya tsh 20,000 tu program maalumu ya kuwa imara kiume na kuongeza ubora wa mbegu za kiume na matibabu yanayofuata utaratibu kwa kuwasiliana nasi hapa chini. 👇

0744660345

Au bonyeza neno WHATSAPP hapo chini sasahivi kupata nafasi hii adhimu. Mwenye changamoto ya nguvu za kiume unahitaji msaada wa haraka sasahivi.

Dr Mshamu Mshamu
0744660345

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Tips:

Share