Tiba ya Bawasiri

  • Home
  • Tiba ya Bawasiri

Tiba ya Bawasiri Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba ya Bawasiri, Medical and health, .

FAHAMU LEO CHANZO, DALILI & TIBALISHE ASILIA ZINAZOTIBU KABISA CHANGAMOTO HII YA VIDONDA VYA TUMBONi hivi Kuna sababu ku...
06/12/2021

FAHAMU LEO CHANZO, DALILI & TIBALISHE ASILIA ZINAZOTIBU KABISA CHANGAMOTO HII YA VIDONDA VYA TUMBO

Ni hivi Kuna sababu kuu mbili ambazo hupelekea mtu kupata vidonda vya tumbo:

1.Maambukizi ya bakteria aina ya H. Pylori, na

2.Kumeng'enywa na kulika kwa kuta za mfumo wa chakula, chanzo ni Matumizi ya dawa za kutuliza maumivu ya muda mrefu na yasiyozingatia ushauri wa kitaalamu, pombe, sigara, msongo wa mawazo. Nk
_
DALILI
> ya tumbo toka maeneo ya chini ya tumbo mpaka kifuani.
>Kinyesi kinakuwa na rangi nyeusi au kijivu.
>Kutapika damu
>Kupungua uzito.
>Kichefuchefu na kutapika.
>Kupoteza hamu ya kula.
>Kiungulia.
_
JINSI YA KUJIKINGA NA VIDONDA HIVI.
Unaweza kujikinga dhidi ya vidonda vya tumbo kwa kutumia njia hizi:

🖐Badili baadhi ya mifumo yako ya maisha k**a,
-Acha punguza kutumia pombe bila kiasi.
-Usichanganye pombe na aina yeyote ya dawa.
-Weka mazingira yako safi kuepuka maambukizi ya bacteria.
-Usitumie hovyo dawa za kupunguza maumivu bila ushauri wa kitaalamu.
-Pata chakula kwa wakati, epuka kukaa na njaa kwa muda mrefu.
-Kuwa na ratiba nzuri na inayoeleweka ya chakula, epuka kubadili ratiba ya chakula bila sababu za msingi.

🖐ZINGATIA
Kuna wakati unapojaribu kutibu vidonda vya tumbo inashindikana, huwa inatokea na hii husababishwa na sababu kuu zifuatazo:

>Yawezekana una maambukizi ya bakteria zaidi ya mmoja.

>Yawezekana una ugonjwa mwingine katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula k**a vile kansa.

> K**a vidonda vya tumbo havitatibiwa kwa wakati huweza kusababisha madhara makubwa ambayo tiba yake itahitaji uangalizi mkubwa na unaweza kuwa na gharama kubwa sana.
_
PATA USHAURI BUREE NA TIBA UKIWA MKOA WOWOTE
>>>Whatsapp link pale juu au Nipigie +255743 429 728.
______________

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba ya Bawasiri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram