Afya yangu .Dr rehema

  • Home
  • Afya yangu .Dr rehema

Afya yangu .Dr rehema Ipende afya yako.ni muhimu sana

02/05/2021

Magonjwa sugu yanatibika.usikate tamaa.kwa kudhani hautapona tena jiamini Muweke Mungu mbele .niulize kuhusu bawasiri,vidonda vya tumbo, UTI sugu ,tezi dume ,pressure ya macho , na mengine kibao.free to ask any question.Whatsap no 0767908999 karibu

Ipende afya yako.ni muhimu sana

24/04/2021

GESI KUJAA TUMBONI
Ni hali inayotokea tumboni na kusababisha tumbo kujaa bila kula kitu chovhote, pia huambatana na kubeua ,kuhisi kutapika au kuhisi kiungulia. Hali hii husababisha mtu kujaa au kuvimba na mtu hutoa gesi kwa njia ya ushuzi na kubeua.

SABABU ZINAZOPELEKEA GESI KUJAA TUMBONI
= Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali.
= Mazoea ya kula kupita kiasi
= Kuisha kwa bacteria walinzi tumboni.

DALILI ZA GESI KUJAA TUMBONI
- kuhisi maumivu ya tumbo
- Tumbo kuunguruma sana mara kwa mara
- kuhisi kiungulia juu ya tumbo
-kukosa hamu ya kula
-kula kidogo na kuhisi kushiba
- magonjwa k**a vile vidonda vya tumbo, mawe kwenye figo , kuvimba kwa kongosho, saratani ya utumbo, na magonjwa mengine ya mmengenyo wa chakula.
- kutojiskia raha.

TATIZO LA GESI KUJAA TUMBONI LINATIBIKA KWA . KWA USHAURI NA TIBA TUWASILIANE .

24/04/2021

Kwanza nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kuiona siku hii ya leo.ntaelezea kwa kina gesi kujaa tumboni.

Address

Temeke

Telephone

+255767908999

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yangu .Dr rehema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya yangu .Dr rehema:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram