Afya ni mtaji

Afya ni mtaji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ni mtaji, Medical and health, Dar es salaam, Dar es Salaam.

NAITWA BAKARI HAJI NAMIM NI MTAALAMU WA AFYA HAPA BRIGHT FUTURE NATOA HUDUMA YA AFYA KUPITIA BIDHAA ZA VIRUTUBISHO LISHE (FOOD SUPPLIMENTS) NAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0776688405

07/03/2023

! Shida Ni Uume Kusimama legelege?*

>Kundi kubwa la wanaume wamekuwa wakikumbana na changamoto ya uume kusimama legelege na kuwah kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo kwa wakati

>Kwa Hali hii wanaume wengi wamekuwa wakiabika sana na kukosa heshima ndan ya nyumba yao

>Leo naomba nikujuze visababishi vya changamoto ya nguvu za kiume kwa ufupi sana ... utajiunga na group langu kujifunza zaid na utakuja inbox kupata suluhisho la kudumu

*■Vyanzo Vya Changamoto Ya Nguvu Za Kiume*

👉Kujichua kwa mda mrefu(punyeto)

👉Uzito Mkubwa na unene

👉Kuwa na mafuta mengi mwilini (Cholesterol)

👉Kuugua magonjwa sugu k**a vile Tez dume, Kisukari, presha, Bawasiri, vidonda vya tumbo, U.T.I sugu na magonjwa ya zinaa

👉Msongo wa mawazo

👉Matumiz ya dawa za Kuboost

👉kukosa lishe nzur ya vyakula vinavyochochea ubora wa tendo la ndoa

Pole na changamoto iliyokupata kwa mda mrefu ya kuabika kitandan... na kutumia dawa nying bila kupata matokeo.... natoa elimu kwanza kabla ya kutibia changamoto yako... kisha natoa doz kulingana na chanzo cha tatizo lako na ukubwa wa tatizo lako....
Tayar wanaume 972 wameshapona changamoto hii kupitia huduma yangu... hivyo jenga tumain la kupona kabisa..

https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1

👆👆Bonyeza link kuja inbox tuma nene AFYA +255683753064 whatsap

https://chat.whatsapp.com/COQe4zzekuL4p4TSDrnJfG

👆👆Bonyeza link kuja kujifunza kwenye group

  YA KUSIMAMISHA MSULI WA UUME KWA MUDA MREFU* Pelvic  muscle ni msuli unaoinua uume .Wakati uume unasimama ndiyo unashi...
17/02/2023

YA KUSIMAMISHA MSULI WA UUME KWA MUDA MREFU*

Pelvic muscle ni msuli unaoinua uume .Wakati uume unasimama ndiyo unashikilia ni k**a mzizi wa uume.Pia huwezesha kubana mkojo au kakata mkojo .Vile vile wakati wa kujamiana huwezesha mwanaume kujicontrol asitoe mbegu mapema .Huu msuli ukilegea mwanaume anashindwa kujitawala wakati wa kujamiana ,akijaribu kubana asimwage mbegu anajikuta anashindwa zinaponyoka sekunde chache tu!

Mambo Yanayolegeza msuli huu ni ;
1)Uzito mkubwa.
2)Punyeto yani kujichua Sana
3)Kivimbiwa tumbo/Tumbo kujaa gesi
4)Bawasili.
5)Matatizo Ya Mzunguko wa Damu .
6)Kukohoa Sana/kwa muda mrefu.

Suluhisho: Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda whatsapp namba 0683753064au piga simu usaidiwe mapema

15/02/2023

Mungu nimewasaidia wanaume zaid ya 5780 kutatua changamoto ya nguvu za kiume*

https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1

👉chris ni rafik aliyenitafuta akanielezea changamoto yake ya nguvu za kiume ambayo imemsumbua kwa mda mrefu ila kipindi hichi alikuwa ameo yupo na mke wake ndan ... * *
Ananielezea amekaa na mke wake ndan siku tatu sasa uume hausimami kabisa na wala hana hisia za tendo la ndoa... wakat ananitafuta alikuwa analia kabisa pia nikapata nafas ya kuongea na mke wake naye anamhurumia mume wake...

👉Nilihitaji kujua chanzo cha tatizo lake kwanza kabla ya kumhudumia ... nikagundua kwamba chanzo cha tatizo lake ni kujichua kwa mda mrefu, msongo wa mawazo, kukosa vyakula thabiti vya kutibia changamoto yake, pia kutumia dawa za kubust...

👉Baada ya kujua chanzo chake bas nilihitaji kujua chanzo dawa ambazo alishawah kutumia... aliniambia kwamba ametumia dawa nyingi sana moaka za kubust ila hali yake bado sana...

👉Baada ya kupata taarifa hyo bas nilihitaji kumwamby kwanin hakupona mara baada ya kutibia changamoto yake... kwanza hakuzingatia chanzo cha tatizo ... hakuzingatia vyakula bora ... hakuzingatia dawa sahihi ya kutibia changamoto yake...

👉Baada ya hapo nikamuonyesha namna gan bas naweza kumsaidia kutibia changamoto yake mpaka kupona kabisa....

👉Kwa tatizo alilo nalo nilimshauri kutumia doz ya siku 21 ili aweze kupona kabisa..

👉Namshukuru Mungu maana kwenye wiki ya kwanza tu aliona mabadiliko na wik ya pil changamoto yake ikapona kabisa.... nilimshaur aendelee na doz mpaka iishe hata k**a amepona....

👉Nilimshauri pia afanye mazoez mepes mepes na pia nilimpatia utaratibu mzuri wa vyakula bora... pia nilimpatia program nzuri ya kukuza uume wake bila madhara.

👉Kwa sasa Chris amepona changamoto yake na mke wake ni mjamzito 🙏🙏

tuwasiliane leo ili nawew uweze kupata suluhisho thabiti ... epuka kuabika +255683753064
https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1

*  YA  MIFUPA NA MAUNGIO NA TIBA YA KUDUMU.*  https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1MSHAURI: +255683753064➡▪Hasa maumivu y...
09/02/2023

* YA MIFUPA NA MAUNGIO NA TIBA YA KUDUMU.*

https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1

MSHAURI: +255683753064
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kuk**ata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA MIFUPA na MAUNGIO

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa.
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,
Au fika katika ofisini zetu zilizopo karibu Kila mkoa au Tupigie +255683753064

*_HIVI UNAJUA MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA? JE UNAJUA SULUHISHO LAKE?  FUATANA NAMI NIKUELEZEE*_ 👇👇👇👇👇...
30/01/2022

*_HIVI UNAJUA MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA? JE UNAJUA SULUHISHO LAKE? FUATANA NAMI NIKUELEZEE*_ 👇👇👇👇👇

P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI ?

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.

Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ?

DALILI ZA P.I.D
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

FIBROIDS NI NINI ?
FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje k**a una fibroids ?? Hebu angalia dalili zake

DALILI ZA FIBROIDS
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizokua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpaka kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation. )
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
👉Mimba kutoka mara kwa mara

KWANINI NIMEAMUA KUELEZEA KUHUSU P.I.D NA FIBROIDS????

JIBU:
👉Ni kwa sababu wanawake wengi wakiona dalili k**a kutokwa uchafu wanahisi ni FANGAS tu
👉 Wakiona mimba zinatoka mara kwa mara wengi hukimbilia kusema ni ushirikina au muhusika alikua anatoa mimba sana siku za nyuma wakati labda sio hivyo
👉Kingine mwanaume akiona mkewe hataki tendo la ndoa anahisi mkewe anamsaliti kumbe mwenzie anaumwa
👉 Lakini kubwa zaidi nimeeleza haya yote sababu dalili za magonjwa haya mawili yanafanana kwa ukaribu sana.

*TAFITI ZINASEMAJE KUHUSU VIRUTUBISHO LISHE*
Tafiti zinaonyesha kuwa mtu ambaye mimba zinaharibika kwasababu ya P.I.D, uvimbe kwenye KIZAZI, alishawahi kutoa mimba, bas tatfi zinasema atumie bidhaa za virutubisho lishe ambavyo ni FEMICARE NA REFINED YUNZHI ESSENCE pia na kirutubisho lishe kingine ambacho ni ZOMINACAL CAPSULE, kwapamoja virutubisho lishe hivi vitakusaidia kuweka sawa mzunguko wa hedhi, pia vitakusaidia kuondoa uvimbe kwenye kizazi, lakin pia zitakusaidia kuondoa tatzo la P.I.D ....

Ili kupata virutubisho lishe hivi bas unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba

Karibu Sana kwa huduma zenye kurejesha furaha uliyo kosa kwa muda mrefu
29/12/2021

Karibu Sana kwa huduma zenye kurejesha furaha uliyo kosa kwa muda mrefu

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
PRODUCT

Telephone

+255683753064

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ni mtaji:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram