AFYA YAKO 11

AFYA YAKO 11 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YAKO 11, Medical and health, .

17/12/2022

Wasiliana nasi leo upate huduma mapema. Usikubali mpaka tatizo liwe kubwa ndio ufanye maamuzi
+255752013344

14/12/2022

Hii ni product mzuri Sana. Wasiliana nasi WhatsApp 0752013344

Wengi wetu tunafahamu athari za punyeto kwenye Afya zetu ila hatujui vitu vya kuzingatia Ili kuondoa Madhara haya, k**a ...
25/10/2022

Wengi wetu tunafahamu athari za punyeto kwenye Afya zetu ila hatujui vitu vya kuzingatia Ili kuondoa Madhara haya, k**a ingekuwa ni mimi niliye pata Madhara hayo ningefanya mambo yafuatayo Ili nirudie uimara wangu;

1. Ningeacha kabisa Kuangalia video za ngono, hivyo kuiacha punyeto mazima:

Wanaume Wengi Baada ya Kuathirika na Punyeto Huwa wanapoteza Imani kwamba wanaweza kupona hii Hali pia wanajihisi kwamba wao hawana haki ya kufurahia Tendo la ndoa, Hivyo kujikuta wakiendelea Kufanya Punyeto na Kuangalia video za ngono ili kujiridhisha kimwili. Jambo ambalo linaendelea kubomoa Afya ya Uzazi. So ningekuwa mimi, ningeacha kabisa kujishughulisha na haya mambo.

2. Ningeanza kuzingatia Lishe Bora pamoja na utaratibu mzuri wa kunywa maji:

ilimradi mfumo wako wa Uzazi uweze Kufanya kazi vizuri, unahitaji madini mengi pamoja na vitamins za kutosha ambazo zitaenda kuboresha Uzalishaji wa MBEGU, kuimarisha mfumo wako wa hormone (Testosterone) pamoja na kutanua mishipa ya damu hivyo damu kujaa Kwa wingi kwenye Uume. Na Uume kurudi kwenye Hali ya Kawaida.

So ningezingatia ulaji wa matunda na mboga za majani Kwa wingi. Na ningeacha kabisa kula Vyakula vyenye Mafuta na ningeepuka vinywaji vya kemikali.

3. Ningeanza Kufanya Mazoezi ya nusu saa walau mara Tano Kwenye wiki zangu:

ufanyaji wa Mazoezi utanisaidia sana kuboresha mapigo ya moyo hivyo kuufanya moyo uweze kusambaza damu Kwa urahisi kwenye Uume na kuufanya uume uweze kurudi k**a Awali. Pia ufanyaji wa Mazoezi k**a Kegel exercise, utanisaidia kuimarisha misuli ya pelvic floor muscles iliyo kwenye nyonga hii hivyo kuufanya uume ukawie kumwaga Wakati wa tendo la ndoa.

4. Ningejipa mda mrefu wa kujiimarisha vyema bila Kuangalia matokeo na bila kushiriki tendo la ndoa.

Kitu ambacho kinawafanya Wanaume Wengi Kushindwa kuimarika vizuri kwenye Afya ya Uzazi ni kupenda njia za mkato, na ndio maana idadi Kubwa ya Wanaume imewapelekea kwenye utumiaji wa Dawa za kuboost Kwa muda mchache ndio maana Changamoto haiishi.

25/10/2022

GOOD MORNING MY CLIENTS

Kwanini uwendelee kuficha changamoto ya upungufu wa nguvu za kiumee, ujachelewa wado njoo tukupe virutubisho sahihi amba...
24/10/2022

Kwanini uwendelee kuficha changamoto ya upungufu wa nguvu za kiumee, ujachelewa wado njoo tukupe virutubisho sahihi ambavyo vitatibu changamoto yako kabisa. Wasiliana nasi WhatsApp +255752013344

*BAWASIRI NI UGOJWA GANI*Mada yetu ya leoitazungumzia tatizo linalo wapata wengi wake kwa waume,kwenye sehemu zaoza kuto...
13/09/2022

*BAWASIRI NI UGOJWA GANI*
Mada yetu ya leoitazungumzia tatizo linalo wapata wengi wake kwa waume,kwenye sehemu zaoza kutolea haja kubwa .endapo utapata maumivu kwenye sehemu ukiona damu au vinyama vinyama vinavyo ning'inia yaweza kuwateali ni muhanga wa tatizo tunalolchambua hiileo.

BAWASIRI NI UVIMBEUNAOOTA NDANI AU KUZUNGUKA TUNDU LA KUTOLEA HAJA KUBWA.
sehemu ya mwisho ya utumbo mkubwa itwayo (a**li ca**l) inaulefu wakiasi cha sentimeta 4hivi. sehemu ya chini ya a**li ca**l nisehu ya kutolea kinyesi njeya mwili .sehemu ya juu yake inaungana na rectam ambayo pia ni sehemu ya utumbo mpana .
kuna mtandao wa veni ndogo (mishipa ya damu) kwenye ngozi inayofunika a**l ca**l mara nyingi vena hizi hupanuka na kuluhusu damu Nyingi na kuzifanya zitune veni hizi zilizo tuna na tishu zunazozizunguka zinaweza kutengeneza uvimbe kwenye eneo moja au zaidi na hii ndohutwa BAWASIRI

BAWASIRI HUSABABISWA NA NINI
i)KUFUNGA CHOO

kutoa kinyesi kikubwa au kigumu au kujikamua kwa nguvu wakati wa kujisaidia haja kubwa.Hiihuingeza msukumo ndani na kuzunguka veni za kwenye tundu la haja kubwa.Hii inaonekana kuwa ni sababu moja wapo ya kuwepo kwa bawasiri.

ii)MIBA

nikawaida kabisa bawasiri kujitokeza wakati wa ujauzito Hiihutokea kutokana na msukumo unaotoka juu ya tundu rahaja kubwa kwa kutokana na mtoto kulal juu ya maeneo hayo na kutokana na matokeo yaynayo tokana na mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito

iii) KUZEEKA

Tishu zinazo zunguka ndani ya tundu la hajakubwa zinaweza kupotza nguvuu kulingana na umri kuwa mkubwa.

iv) KURITHI

Watu wengine wanaweza kurithi udhaifu wa kuta za veni za kwenye kuta za tundu la haja kubwa

Etc

09/08/2022

JE WEWE NI MUHANGA WA CHANGAMOTO ZIFUATAZO NA UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO??

¶ Kukosa Ute Ute Kwa Muda Mrefu
¶ Mifupa kusagika
¶Maumivu makali ya nyonga .
¶ Gauti
¶ Arthritis
¶ Osteoporosis(magoti kuuma )
¶ Maumivu makali Ya Mgongo
¶Kuhisi kupata Ganzi
¶ Kushindwa Kuchuchumaa, Kushindwa Kutembea
¶ Maumivu K**a Moto Kwenye Visigino Mabega Na UTI wa Mgongo.
Nk

Wasiliana nasi Leo
0620205866

Wasilia nasi +255752013344
11/06/2022

Wasilia nasi +255752013344

Wasiliana nasi whatsap tukupe solution. +255752013344
26/04/2022

Wasiliana nasi whatsap tukupe solution. +255752013344

31/03/2022
Man should be open minded, don't hides your dysfunctionality. Contact us via WhatsApp  +255752013344
30/03/2022

Man should be open minded, don't hides your dysfunctionality. Contact us via WhatsApp +255752013344

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YAKO 11 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram