Jali afya yako na stemcell

Jali afya yako na stemcell Elimu Bora Ya Afya Dhidi Ya Maradhi Sugu. Ushauri Na Tiba Kwa Technolojia Bora Ya Matibabu (Stemcell Therapy)

01/12/2025

Je, Sukari ama Pressure yako imekua inapanda sana na Kushuka sana kila mara?

Umeingiwa na wasiwasi mkubwa na maswali kwamba vipi k**a Itapanda sana na Kukuletea madhara Makubwa k**a Stroke?

Umekua na Hofu na Kukosa Furaha kabisa kwa kuwaza vipi k**a Utapata Kidonda kisichopona kabisa kutona na sukari na Kupelekea Kukatwa Viungo k**a Mguu?

Umekua na wasiwasi na madawa makali unayomeza kila siku kwa kuhofia kujaza sumu mwilini?

Umekua ukiacha kula vyakula uvipendavyo kutokana na Masharti uliyopewa ya magonjwa haya mawili

Umekua huna Raha sababu ya Kero za Kisukari au Pressure k**a Ganzi na Kuishiwa Nguvu?

HEBU vuta picha Kurudi katika hali yako ya mwanzo YAANI

✅ Utaweza kula kila kitu yaani hakuna Diet tena
✅Hakuna tena kumeza madawa makali kila siku wala kuchoma sindano
✅Hutasikia tena Kero za Kisukari k**a Ganzi , Kuishiwa nguvu, Kukosa Hamu ya Tendo, na Macho kupata ukungu
✅Utaepukana na Madhara makubwa yatokanayo na Kisukari ama pressure k**a Magonjwa ya Figo, Kukatwa Viungo, Stroke Nk
✅ Utakua mwenye Nguvu na Furaha tele maisha yako yote

NI BAHATI KWAKO KWAMBA TUNAYO SOLUTION YA PEKEE KWA SASA KUTATUA TATIZO LAKO LA KISUKARI au Pressure MOJA KWA MOJA ambayo ni Medicinal Stemcell ndo mkombozi sahihi

Bonyeza Kitufe cha Whatsapp sasa Kwa maelezo zaidi

Au wasiliana nasi kwa Simu No +255 782 518 359

09/12/2023
25/11/2023

𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗝𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗡𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗨𝗞𝗔 𝗣𝗔𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗬𝗔𝗞𝗘 👇
Magonjwa ya moyo, presha ya kupanda/presha ya kushuka/presha.*

👉 Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.*

𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗭𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗛𝗔 👇
Zipo aina kuu mbili za presha, yaani
1️⃣ PRESHA YA KUPANDA
2️⃣ PRESHA YA KUSHUKA

𝐏𝐑𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐍𝐃𝐀 👇
Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo.*
*Presha itaitwa kuwa presha ya kupanda ikiwa iko juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo ni 120/80mmHg.Presha yaweza kupanda mpaka kufikia 240/120mmHg.*

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗞𝗨𝗨 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗛𝗔👇
☘️ Utumiaji wa chumvi nyingi kwenye chakula
☘️ Unywaji wa pombe/sigara uliokithiri
☘️ Msongo wa mawazo na kutokufanya mazoezi
☘️ Familia zenye matatizo ya moyo pamoja na kurithi
☘️ Uzito mkubwa,unene na kitambi

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗡𝗗𝗔 👇
👉 Kushikwa na kizunguzungu
👉 Kichefuchefu, tumbo kujaa na kutapika kusiko kwa kawaida
👉 Kuvimba/kujaa maji kwa miguu,uso na mikono
👉 Kutokuona vizuri (kuona ukungu)

𝗠𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗧𝗢𝗞𝗔𝗡𝗔𝗬𝗢 𝗡𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗡𝗗𝗔 👇
🍀 Uvimbe kwenye kuta za vishipa vya damu/kuziba kwa mishipa ya damu(artery) inayopelekea shambulio la moyo (Heart attack)
🍀 Moyo kushindwa kusukuma damu (Heart failure)*
🍀 Kiharusi(stroke)
🍀 Kuharibika kwa ubongo

𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐏𝐀𝐍𝐃𝐄 𝐌𝐖𝐈𝐍𝐆𝐈𝐍𝐄 📌

𝗣𝗥𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗨𝗞𝗔 👇
Presha ya kushuka ni ile hali msukumo wa damu unakuwa mdogo kuliko upana (unene) wa vishipa vya damu hali inayopelekea damu chache kufika kwenye ubongo na viungo vingine vya mwili

Presha ikishuka mpaka kufikia 90/60mmHg kutokea 120/80mmHg inatafsiriwa k**a presha iliyoshuka.
Presha ya kushuka huchangiwa hasaa na moja ya sababu zifuatazo 👇
🔘Matatizo ya homoni
🔘Maradhi ya moyo pamoja na maambukizo ya vishipa vya damu
🔘 Kisukari (Diabetes)
🔘 Kubeba Ujauzito
🔘 Ukosefu wa virutubisho mwilini

𝗞wa tiba na ushauri zaidi wasiliana nasi kupitia no 0782518359

19/11/2023

VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA

*Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo* ni *pamoja na,*
🩸Kuchoka choka sana bila sababu maalum
🩸Kuuma mgongo au kiuno
🩸Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
🩸Kizunguzungu
🩸Kukosa usingizi
🩸Maumivu makali sehemu ya mwili
🩸Maumivu ya Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. 🩸Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma k**a sindano yenye sumu na kuacha
🩸maumivu makali
🩸Kichefuchefu
Kiungulia
🩸Tumbo kujaa gesi
🩸Tumbo kuwaka moto
🩸Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
🩸Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi
🩸Kutapika nyongo
🩸Kutapika damu au kuharisha
🩸kupata ganzi
🩸Kukosa hamu ya kula/Kula kupita kiasi
🩸Kusahau sahau
🩸Hasira bila sababu.
🩸Kuwa na ugonjwa wa BAWASILI
🩸 Kizunguzungu/ kuhisi.

*KWA HUDUMA NA TIBA WASILIANA NASI KWA NO 0782518359

18/11/2023

*ATHARI ZA MAJI YA BARIDI*

🌹Watu wengi wamekuwa na tabia ya kupenda kunywa maji ya baridi mara kwa mara.Maji haya yamekuwa k**a kiburudisho katika mazingira yenye hali ya joto (mfano Dar es salaam).
🌹Pia watu wengi hupenda kunywa maji haya pindi tu wanapomaliza kula chakula hasa muda wa mchana na jioni.

🌹Vyakula vingi tunavyokula huwa na mchanganyiko wa mafuta. Hivyo pale unapomaliza kula chakula na kuamua kunywa maji ya baridi, *maji hayo huchangia kwa kiwango kikubwa kugandisha mafuta yaliyomo kwenye chakula ulichokula.*

🌹jambo hili husababisha usagaji wa chakula tumboni kuwa wa kiwango cha chini (kwenda taratibu) ukilinganisha na wastani wake unaohitajiaka na hupelekea muhusika kukosa choo mara kwa mara.
🌹Pia ukiachana na kukosa choo madhara mengine uchukua muda mrefu kujitokeza.

🌹Pia hali hii inapozidi kuendelea kadri muda unapozidi kuongezeka tabaka la mafuta(fats) huanza kujijenga kwenye utumbo na baada ya muda husababisha *saratani ya utumbo.*

*Ninaimani mpaka sasa umeanza kuona athari zitokanazo na unywaji maji baridi*

*Nini cha kufanya?*

Anza mara moja kupunguza kutumia maji ya baridi.Ninafahamu kuacha mara moja ni jambo gumu sana kuna msemo wa kiswahili unasema "tabia ni k**a ngozi".Hivyo nakushauri anza kupunguza matumizi ya maji ya baridi kadiri siku zinavyozidi kuongezeka mpaka utakapoacha kabisa.Pia si vyema kila baada ya kula ukanywa maji unashauriwa kusubiri baada ya nusu saa ndio unywe maji.

01/11/2023

*KWANINI UKIFANYIWA OPARESHENI YA KUONDOA UVIMBE (FIBROIDS, CYST, MYOMAS) BAADA ya MUDA UVIMBE HUOTA
TENA KWA KASI?

🛑🗣️Ni kwambie kitu 🙁 kinachofanya uvimbe utokee ni mvurugano wa hormones (hormonal imbalance ) pamoja na hizo infections ndizo sababu kuu.

🛑🗣️Sasa ukitoa uvimbe ambao ndo (tatizo) halafu ukashindwa kurekebisha chanzo cha tatizo hapo ndyo utakuwa umecheza tu,
Hakikisha ukifanya oparesheni ya kuondoa uvimbe pia hakikisha unarekebisha chanzo kilichofanya uvimbe kuota kutokufanya ivo uvimbe utarudi na maisha yako yatakuwa ni kufanyiwa oparesheni tu
Please balance hizo hormones zako.

🛑🗣️Hormones zisipo wiana yaani hormonal imbalance hupelekea mwanamke kubleed damu ya mabonge mabonge mara nyingine damu nyeusi nzito k**a maini hi ni hatari kwa afya ya uzazi,
Hupelekea kupata Uvimbe maji ( polycystic ovarian syndrome pcos,ovarian cysts ,fibroids au myomas)

🛑🗣️Jitahidi pia kuclear hizo infection hasa PID (pelvic inflammatory disease) maambukizo haya katika via vya uzazi imekuwa tishio hasa katika afya ya uzazi kwa kuharibu ovaries ,mirija na imeweza kuwachelewesha Wanawake wengi wameshindwa kunasa mimba kwa wakati

* !!! UVIMBE NA HORMONAL IMBALANCE KUNA UHUSIANO GANI?*.

Jibu
📌 Ifahamike kwamba hakuna uvimbe iwe ni fibroids', ovarian cysts,PCOs au uvimbe wowote hauwezi kuwepo bila kuwepo shida ya hormonal imbalance,

🛑⚠️⚠️hormones zisipobalance husababisha hayo mauvimbe ..ndio maana unapofanyiwa oparesheni bila kubalance hormones baada ya oparesheni na kubadilisha lifestyles ya ulaji lazima hormones zitaendelea kutokuwiana na hiyo itasababisha uvimbe kurudi Tena.

*USHAURI WANGU*

📌Lazima mtu aliefanyiwa oparesheni awe na elimu kuhusu ulaji .......Atofautishe Junk food na Balance diet.

📌Lazima aamue kula balance diet na ndio maana suala la hormones imbalance halianzi ghafla ni Lifestyle yako ya nyuma ya Ulaji.

📲⚠️🛑Ni ngumu sana kwa mtu mwenye uvimbe kupata ujauzito k**a hatopata suluhisho la tatizo hilo

Kwa mawasiliano na ushauri usisite kuwasiliana nami. 0782518359

25/10/2023

Nimeteseka sana na changamoto ya SUKARI na presha kwamda mrefu sana na presha yangu ilikua juu sana mpaka 180 mwaka 2021 nilipata kidonda kwenye mguu kilianza kidogo tu lakini kikakua na kimenitesa sana bila mafanikio
Namshukuru MUNGU kwa kunikutanisha na HABIBA ambaye alinieleza juu ya matibabu ya technology mpya ya SELI SHINA (STEM CELL THERAPY) ambayo inatibu chanzo cha tatizo na kukarabati seli ilio choka na kuzalisha seli mpya sawasawa na seli iliokuwa imeharibika au kuzeeka na aliniambia itakausha kidonda kwa haraka
Kiukweli mwanzoni nilikua tomaso skua naamini k**a nitapona kwa dawa nilizo kuwa nimetumia nyingi mno bila mafanikio
Nimetumia tiba hii kwa miezi miwili kidonda kimepona presha saivi iko sawa na sukari iko sawa mpaka daktari wangu alishangaa kuona nimepona sasa miezi mitano imepita tangu nimalize dozi na niko sawa kabisa nimepona SUKARI,PRESHA na KIDONDA kilicho nitesa sana
Kwa mawasiliano zaidi mpigie 0782 518 359

05/08/2023

*UGONJWA WA PUMU(ASTHMA)*

Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye apafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu k**a bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko mwili sugu (chronic Inflammation) kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii, kujaa kwa ute mzito (mucus) na kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, hali ambayo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa hewa nje na hivyo kupumua kwa shida sana.
Hali hii inaweza kudumu kwa muda mfupi au mrefu kiasi cha kuhitaji tiba ili kumuwezesha mgonjwa kupata nafuu. Kutokana na kuwepo kwa msuguano na uzuiaji wa kupitisha hewa wakati wa kupumua haswa nje, pumu hujulikana pia k**a obstructive lung disease .

Makundi ya Pumu

Pumu inaweza kugawanywa katika makundi mawili;
• Pumu ya ghafla (Acute asthma): Wagonjwa wanaopatwa na kundi hili la pumu huwa na hali ya kawaida katika njia zao za hewa isiyobadilika kati ya shambulizi moja na jingine.
• Pumu sugu (Chronic Asthma): Kundi hili la pumu huwa na tabia ya kuwa na njia nyembamba za kupitisha hewa na kadiri jinsi mgonjwa anavyoendelea kupata matukio zaidi ya pumu, njia za hewa huzidi kuwa nyembamba zaidi.

Aina za ugonjwa wa pumu

Bila kujalisha mgonjwa anaingia katika kundi gani, ugonjwa wa pumu unaweza kugawanywa katika aina kuu nne, ambazo ni

1 .Pumu inayobadilika (brittle asthma): Kulingana na tabia ya kujirudia rudia kwa matukio ta ugonjwa huu na madhara yake kwa mgonjwa,

2. Pumu hatari isiyobadilika (status asthmaticus): Hii ni aina ya pumu iliyo hatari zaidi kwa mgonjwa. Pamoja na matumizi ya dawa kadhaa,zikiwemo vitanua njia za hewa (bronchodilators) na vipoza mcharuko mwili (steroids), mgonjwa wa aina hii ya pumu anaweza asipate nafuu ya haraka, na anaweza kupoteza maisha.

3. Pumu inayosababishwa na mazoezi (Exercise Induced Asthma): Hali hii husababishwa na ufanyaji wa kupitiliza wa mazoezi ya viungo. Kwa kawaida wakati wa kufanya mazoezi mtu hupumua kwa kutumia pua na kupitia mdomoni. Hata hivyo wakati mwingine hutokea hewa aivutayo huingia ndani ikiwa haijapozwa vya kutosha puani na hivyo kusababisha ongezeko la mtiririko wa damu katika mishipa inayosambaza damu katika mirija ya kupitisha hewa.

4. Pumu inayosababishwa na aina ya kazi afanyayo muhusika (Occupational Induced Asthma): Wakati fulani, mazingira ya kazi yanaweza kusababisha kutokea kwa pumu hata kwa baadhi ya wafanyakazi wasio na tatizo hili. Mara nyingi aina hii huweza kuwatokea watu wanaofanya kazi kwenye viwanda vya kutengeneza matairi, vigae, rangi, kemikali mbalimbali, mbolea, chuma, mbao. Kwa ushauri na matibabu wasiliana kwa no +255782518359

NIMETESEKA SANA KWENYE NDOA YANGU BAADA YA KUWA NA CHANGAMOTO KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA Hali hii nilianza kuiona m...
30/05/2023

NIMETESEKA SANA KWENYE NDOA YANGU BAADA YA KUWA NA CHANGAMOTO KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA

Hali hii nilianza kuiona miezi 6 ndani ya ndoa na mambo yalianza badilika kwani mke wangu alikua ananilalamikia pengine nimetoka nje ya ndoa nimetoka nimechoka huko, kwakweli ilinikosesha amani kabisa na nlijaribu kutumia njia nyingi bila mafanikio zikiishia kunipa nguvu siku moja tu baada ya hapo hali inakuwa palepale

Namshukuru MUNGU kwa kunikutanisha na mtaalamu wa matibabu ya STEM CELL THERAPY(SELI SHINA) ya UG BOOSTER ORANGE. Akanishauri nitumie hii tiba ambayo itaenda tibu chanzo cha tatizo moja kwa moja kwa kwenda zibua mirija iliyo ziba na mafuta mabaya(bad cholestrol) kuimarisha seli na mishipa ya uume

1. Kuweka mishipa na misuli ya uume imara iliyoathirika na punyeto (mastabeshen) vyakula vya kisasa (Artificial foods) msongo wa mawazo (stress) na magonjwa k**a tezi dume, presha na kisukari, n.k

2. Kuboresha msukumo wa damu kwenye mfumo wa moyo, figo, na mishipa ya uume.

3. kuweka sawa kiwango cha mbegu (s***m count)

4. Kurudia tendo mara nyingi utakavyo

5. Kurudia tendo kwa muda mrefu bila kuchoka.

6. Kuongeza Hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume

7. Inarekebisha hormone imbalance na hasa homoni ya testosterone kuwa Katika Uwiano mzuri

8.Inazibua Mishipa ya uume ,uume kusinyaa na uume kusimama kwa ulegevu

9. Kukosa hisia baada ya bao la kwanza na kuchoka saana baada ya kufanya mapenzi

Nimetumia kwa muda wa wiki moja tu hali yangu imerejea narudia tendo hata mara nne bila kuchoka na sasa Nina Amani tena na ndoa yangu. Nawashauri wanaume wezangu tutumie stem cell kujitibia badala ya kutumia vumbi la kongo au tiba zingine zinazo ishia kutibu dalili pekee yake

Wasilaina na Dr kwa msaada zaidi akusaidie 0782518359

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jali afya yako na stemcell posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram