26/01/2025
⛔️NI MUHIMU SANA KWAKO WEWE MWENYE TATIZO LA KUPANDA KWA ACID YA TUMBO
UTANGULIZI
kuna asilimia kubwa ya watu ni wahanga wa tatizo la kupanda kwa acidi ya tumbo ACID REFLUX/GERD
DALILI ZAKE
👉Kiungulia kikali
👉Hisia ya kuwaka moto tumboni na kifuani.
👉Maumivu makali kuanzia tumboni
👉kifuani
👉pembezoni ya moyo na mgongoni.
👉Kupumua kwa shida pamoja na kikohozi cha muda mrefu.
👉Kupungua kwa hamu ya kula ikiwa ni pamoja na Kupungua uzito kupita kiasi.
👉Wasiwasi na hofu kubwa hasa nyakati za usiku.
👉Kuhisi kichefuchefu au kutapika.
👉Kushindwa kumeza chakula au kumeza kwa shida.
👉Pamoja na dalili zingine nyingi kulingana na hali ya kila mmoja ilipofikia.
⛔️Pia utafiti umebaini ya kwamba kutokana na wagonjwa wengi kupuuza dalili za awali ilisababisha baadhi yao kupatwa na athari zingine mbaya zaidi kiafya k**a vile:
👉Kuharibika kwa umio (bomba linalopitisha chakula).
👉Kubadilika kwa tishu za umio.
👉Tatizo la kushindwa kumeza chakula.
👉Na matatizo mengine ikiwa ni pamoja na kansa ya koo.
⛔️Kwa mujibu wa utafiti tatizo hili limekuwa ni kubwa sana kwa watu wengi hasa watu wazima.
✅️TIBA YA TATIZO HILI
Kulingana na hali hiyo
ningependa sana k**a hutojali
🟩Basi niwe mmoja miongoni mwa watu ambao wanaweza kuwa msaada kwako ili upate kuondokana na changamoto hii.
✅️Tunazo tiba rishe maalum kwa ajili yakutibu tatizo hili kwa asilimia99%.
Tuna patikana
Mwanza,Dar es salaam,Morogoro,Dodoma,Mbeya,Iringa,Tunduma,Tanga,na mikoa mingine tanzania
☎️Ikiwa utapendezwa na hilo basi usisite kuwasiliana nasi.
📲Bonyeza link hii hapa chini kunipata moja kwa moja WhatsApp 👇
https://wa.me/message/…
📲Kwa wale ambao hawata weza kufikia link hii,
Basi watupigie
simu hii kwa msaada wa tiba na ushauri.
📞0769229000.
🙏Asnte karibuni sana.