Afya ya uzazi kwa wanaume

  • Home
  • Afya ya uzazi kwa wanaume

Afya ya uzazi kwa wanaume Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ya uzazi kwa wanaume, Medical and health, .

TEZI DUMETezi dume ni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi ya wanaume. Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo...
24/04/2023

TEZI DUME

Tezi dume ni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi ya wanaume. Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo ya njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume. Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu (manii) kwa ajili ya utungishaji mimba.

Tezi dume hutanuka, mtu mwenye tezi dume iliyotanuka anaweza kuwa na saratani pia, hii huitwa saratani ya tezi dume.

DALILI ZA TEZI DUME

-Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.

-Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku

-kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.

-Mkojo kutiririka polepole, hukatika katika na hutumia nguvu kutoka.

-Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.

-Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.

-Kibofu hakiishi mkojo.

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

♤Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.

♤Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.

Tezi dume inatibika bila upasuaji. Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba kupitia WhatsApp number 0747 995 343

Mwanaume uwezo wako wa afya ya uzazi hupimwa kwa mambo yafuatayo:-♡ Uwezo wako wa kusimamisha (ER****ON)♡ Uwezo wako wa ...
24/04/2023

Mwanaume uwezo wako wa afya ya uzazi hupimwa kwa mambo yafuatayo:-
♡ Uwezo wako wa kusimamisha (ER****ON)

♡ Uwezo wako wa kumwaga mbegu (EJ*******ON)

♡ Uwezo wako wa kutungisha ujauzito (FERTILISATION)

♡ Uwezo wako wa kumfikisha mwenza kileleni ( OR**SM)

♡Hamu ya tendo (LIBIDO)

Kwa matatizo yote ya afya ya uzazi ya mwanaume, nguvu za kiume, kushindwa kutungisha mimba n.k wasiliana nasi kwa ushauri na tiba kupitia WhatsApp number 0747 995 343

AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA/MFUMO WA CHAKULA.Mfumo wa chakula ni jumla ya viungo vya mwili vinavyofanya kazi ...
22/04/2023

AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA/MFUMO WA CHAKULA.

Mfumo wa chakula ni jumla ya viungo vya mwili vinavyofanya kazi ya kuingiza chakula mwilini,kusaga,kukisafirisha chakula ndani ya mwili,kuondoa lishe inayotakiwa na mwili na nyingne kuondolewa nje k**a uchafu.

VIUNGO VINAVYOHUSIKA KATIKA MFUMO WA MMENG'ENYAJI WA CHAKULA.
Umio,ulimi,INI,kinywa,kongosho,utumbo mpana na mwembamba,mfuko wa nyongo na tumbo,na rektamu.

MFUMO WA MMENG'ENYA WA CHAKULA IMARA.
Ni kitendo cha kuwa na mifumo wa mmeng'enyaji wa chakula unaofanya kazi yake vyema na ufanisi zaidi.

DALILI ZA MFUMO WAKO WA CHAKULA HAUPO SAWA.

👉🏼 kutopata choo mda mrefu (ukila Mara tatu upate choo pia tatu)

👉🏼 ukienda haja kubwa hutakiwi kusubiria,kupata maumivu na kulazimisha ( yaani kiwe laini na kufungamana k**a ndizi ) kikitoka k**a cha mbuzi ni tatizo.

👉🏼 kinyesi kuwa na harufu Kali sana na rangi nyeusi.Inaashiria kuoza kwa uchafu huo ndani ya tumbo kwa kukaa mda mrefu au bila kutoka kwa wakati.

👉🏼 kuwa na tumbo kubwa lenye umbo la U.

MAGONJWA AU MATATIZO YATOKANAYO NA MFUMO WAKO KUTOKUWA SAWA.

👉🏼 vidonda vya tumbo.

👉🏼 magonjwa ya INI na Figo.

👉🏼 mapafu kufeli.

👉🏼 bawasiri.

👉🏼 kisukari na presha.

👉🏼 kichwa kuuma sana.

👉🏼 kuonekana na uso wa uzee ikiwemo chunusi.

👉🏼 Kansa ya tumbo na ya njia ya haja kubwa.

👉🏼 kukosa nguvu za kiume.

👉🏼 kiungulia na tumbo kujaa gesi.

👉🏼 acid mwilini.

👉🏼 Tatizo la kutopata mtoto kutokana na tumbo kulalia sehemu za uzazi kwa wanawake.

👉🏼 kutopata choo

● *FAIDA YA MICRO2 CYCLE TABLETS*○ Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa (capillary) kwa urahisi○ Inasaidia oxygen na v...
09/04/2023

● *FAIDA YA MICRO2 CYCLE TABLETS*
○ Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa (capillary) kwa urahisi
○ Inasaidia oxygen na virutubisho kusambazwa kwa urahisi
○ Huongeza ufanisi wa mwili kuweza kujiponya wenyewe
○ Huondoa mafuta kwenye damu
○ Huongeza ufanisi wa macho kuona vizuri
○ Huzuia kuganda kwa damu
○ Huondoa maumivu ya miguu yanayotokana na kuziba kwa mishipa midogo.
○ Ni nzuri kwa kukinga na kuondoa stroke/kiharusi

● *VIUONGO*
○ Radix Salvia
○ Miltiorhiza
○ Radix Panax Notoginseng
○Borneolum Syntheticum

● *MTUMIAJI (MUHUSIKA)
○ Wenye shida ya mzunguko wa damu.
○ Wanaohitaji kuondoa kuganda kwa damu

● *MATUMIZI*
○ Vidonge 3 mara 3 kila siku (unaweka chini ya ulimi mpaka vinayayuka)
Kwa maelezo zaid what's app 0747995343

MICRO² CYCLE● *FAIDA YA MICRO2 CYCLE TABLETS*○ Huondoa Hari ya kuganda kwa damu○ Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa ...
09/04/2023

MICRO² CYCLE

● *FAIDA YA MICRO2 CYCLE TABLETS*
○ Huondoa Hari ya kuganda kwa damu
○ Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa (capillary) kwa urahisi
○ Inasaidia oxygen na virutubisho kusambazwa kwa urahisi
○ Huongeza ufanisi wa mwili kuweza kujiponya wenyewe
○ Huondoa mafuta kwenye damu
○ Huongeza ufanisi wa macho kuona vizuri
○ Huzuia kuganda kwa damu
○ Huondoa maumivu ya miguu yanayotokana na kuziba kwa mishipa midogo.
○ Ni nzuri kwa kukinga na kuondoa stroki

● *VIUONGO*
○ Radix Salvia
○ Miltiorhiza
○ Radix Panax Notoginseng
○Borneolum Syntheticum

● *MTUMIAJI (MUHUSIKA)
○ Wenye shida ya mzunguko wa damu.
○ Wanaohitaji kuondoa kuganda kwa damu

● *MATUMIZI*
○ Vidonge 3 mala 3 kila siku (unaweka chini ya ulimi mpaka vinayayuka)
Kwa maelezo zaid
what's app 0747 995 343

UREMBO NI HAKI YAKO, WENGI WANATESEKA NA MATATIZO YA NGOZI BILA KUJUA SULUHISHO LA MATATIZO HAYO.ONGEA NA WATAALAMU WA N...
08/04/2023

UREMBO NI HAKI YAKO, WENGI WANATESEKA NA MATATIZO YA NGOZI BILA KUJUA SULUHISHO LA MATATIZO HAYO.
ONGEA NA WATAALAMU WA NGOZI WA KUSHAURI JUU YA HAYA:-

~Usafi wa ngozi
-Chakula cha ngozi
-Vipodozi na mtindo wa maisha
-Ulaji bora
-Aina za ngozi
-Changamoto za ngozi
-Vitu sahihi upake kwaajili ya ngozi yako
-Athari za kukosa mafuta sahihi kwaajili ya ngozi yako
-Mapele usoni
-Mikunjo au makunyanzi
-Chunusi Sugu
-Allergy
-Michirizi
-Mabaka na miwasho
-Fangasi na Mapunye

ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP-Hii Sabuni imetengenezwa na:-1)Asali ya Nyuki wa mwitu2)Mafuta ya n**i3)Mafuta ya mchikichi4)...
08/04/2023

ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP

-Hii Sabuni imetengenezwa na:-
1)Asali ya Nyuki wa mwitu
2)Mafuta ya n**i
3)Mafuta ya mchikichi
4)Majani ya mchaichai

FAIDA ZA ANATIC SOAP
1.Inaondoa makovu na mabaka mwilini
2.Inaondoa miwasho na vipele
3. Ni nzuri kutumia k**a after shave kwa wanaume
4. Huua bacteria kwenye ngozi
5. Inatibu chunusi, upele na harara
6. Ni nzuri kwa watu wenye mapunye na mafuta mengi kwenye ngozi
7. Inalinda ngozi yako na mionzi ya jua. Ni nzuri hata kwa wale wanaotumia cream kali
8. Ni nzuri kwa watoto hata awe mchanga
9. Inazuia malengelenge unapokuwa umeungua na maji au mafuta unapopaka povu lake.

Inapatikana kwa Tsh 10,000/= tu
KARIBUNI

COOL ROLL🌺 kwa wenye matatizo ya kupumua inasaidia utendaji kazi wa mapafu🌺Huondoa miwasho kwenye ngozi🌺Huondoa maumivu ...
08/04/2023

COOL ROLL

🌺 kwa wenye matatizo ya kupumua inasaidia utendaji kazi wa mapafu

🌺Huondoa miwasho kwenye ngozi

🌺Huondoa maumivu ya viungo, mgongo, kiuno na magoti

🌺Inazuia kutapika kwa wenye kichefuchefu

🌺Walevi inaondoa hangover

🌺Husaidia matatizo ya meno kuuma, koromeo na Tonses

🌺Inaponesha kidonda haraka ukijikata

🌺Inasaidia kwa wenye matatizo ya kifua na mafua vya mara kwa mara

🌺Wachezaji mpira na wafanya mazoezi Hii inasaidia kuchua misuli inakaa sawa

🌺 Inasaidia haraka iwapo umeng'atwa na mdudu unapaka kusaidia sumu isiendelee kusambaa.

Karibuni.

~YOUTH EVER~♦️Inarudisha umri nyuma kwa kuunda upya speed ya (NAD+) ambayo huzuia magonjwa yanayoletwa na uzee k**a vile...
08/04/2023

~YOUTH EVER~

♦️Inarudisha umri nyuma kwa kuunda upya speed ya (NAD+) ambayo huzuia magonjwa yanayoletwa na uzee k**a vile
-Kisukari
-Pressure
-Kusahau
-Kuangamiza cell za satarani
-Kuboresha afya ya moyo

♦️Huondoa mikunjo na kurudisha ngozi katika hali ya ujana yenye mvuto zaidi
♦️Ni antioxidant inaondoa sumu mwilini na kuupatia mwili nguvu upya na kinga dhidi ya magonjwa ya uzee.
MATUMIZI 1×1 kwa siku 30

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi kwa wanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram