Afya Food Supplements

Afya Food Supplements Health is wealth

- Madhara katika mfumo wa uzazi.- Saratani na mengineyo.SULUHISHO LA KUDUMUMvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu...
18/08/2021

- Madhara katika mfumo wa uzazi.
- Saratani na mengineyo.

SULUHISHO LA KUDUMU

Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebishika. Kwa wanawake wenye changamoto hii tumewaandalia Supplements za lishe kamili na virutubisho hivi ni muhimu..vitasaidia kuweka sawa homoni za mwanamke, kuboresha mfumo mzima wa uzazi, kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee). Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya
*FermineWash*✅
*Complete*✅
Sambamba na *LivenCoffee* ✅

MVURUGIKO WA HORMONE ZA K**E Ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pa...
18/08/2021

MVURUGIKO WA HORMONE ZA K**E

Ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI

Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu.

Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:

1.Uwepo wa sumu mwilini
2.Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)
3.Umri ukienda sana
4.Kukoma kwa hedhi
5.Kutofanya mazoezi
6.Uzito mkubwa
7.Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
8.Msongo wa mawazo
9.Kula vyakula visivyo endana na Blood Group
10.Upungufu wa lishe mwilini
11.Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
12.Utoaji wa mimba
13.Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)
14.Ongezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)
15.Sababu za kibara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na miili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyosonga mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:

- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoa jasho usiku
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
ITAENDELEA

KINGA NA TIBAUnapotaka kujikinga na bolisukari, inafaa ule lishe bora, ufanye mazoezi, udhibiti uzani wako na usitumie s...
14/08/2021

KINGA NA TIBA

Unapotaka kujikinga na bolisukari, inafaa ule lishe bora, ufanye mazoezi, udhibiti uzani wako na usitumie sigara wala pombe.

Walio na shida ya kisukari wafaa kudhibiti shinikizo la damu pamoja na kuangalia miguu yao vizuri. Kuna viatu maalumu za kuvalia kwa walio na bolisukari.

Kwa walio na bolisukari aina ya kwanza, tiba ni kupokea sindano za insulini. Walio na aina ya pili ya bolisukari waweza kutibiwa kwa insulini au hata dawa nyingine. Wanawake walio na aina ya tatu ya bolisukari hupata kwamba bolisukari yao yaisha pindi tu wanapozaa.

Kwa ushauri na Virutubisholishe/bidhaaTiba
Mawasiliano +255688593052

KISUKARI (ugonjwa)Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa v...
14/08/2021

KISUKARI (ugonjwa)

Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
Kwa ushauri na Virutubisholishe/bidhaaTiba
Mawasiliano +255688593052

BAADHI YA DALILI ZA KISUKARI

-kukojoa kupita kiasi cha kawaida

-kiu kubwa

-kuona vibaya na matatizo ya macho hadi kuwa kipofu

-kuchoka haraka

-vidonda vinavyopoa polepole mno, hasa kwenye miguu, hadi kupotewa na viungo

Watu wachache huzaliwa na uhaba wa insulini. Walio wengi wana udhaifu fulani unaokuwa hatari kutokana na aina za vyakula na maisha ya kila siku. Kutumia sukari nyingi pamoja na mafuta mengi katika chakula na vinywaji, kukosa mazoezi ya mwili (kwa watu wenye kazi ofisini), kunywa pombe nyingi na kuvuta sigara huongeza hatari ya kushika kisukari kuanzia baada ya miaka ya ujana.

Ugonjwa wa kisukari husababishwa na kongosho (kwa Kiingereza "pancreas") kutoweza kutoa kiwango cha insulini mwilini kinachofaa. Pia yaweza kuwa mwili haufanyi k**a unavyotarajiwa kufanya insulini ikifika sehemu ile ya mwili.

Kuna aina tatu za bolisukari:

Moja ni wakati kongosho imeshindwa kutengeneza insulini kiwango kizuri cha kudhibiti sukari mwilini

Aina ya pili ni wakati mwili unakataa kudhibiti sukari hata insulini ikitengenezwa na kongosho

Aina ya tatu ni bolisukari ambayo huathiri wanawake wajawazito ambao hupata kwamba kiwango cha sukari miilini mwao kimekwenda juu hata k**a hawana historia ya aina hii.

Takwimu zadhihirisha kwamba mwaka 2015, watu milioni 415 duniani kote walikuwa na bolisukari Kisukari aina ya 2, yaani miili yao ilikataa kudhibiti sukari hata baada ya kongosho kutoa insulini, ilichangia asilimia tisini, Hao ni asilimia 8.3 za watu wazima wote wakiwemo wanaume na wanawake kwa uwiano sawa pia Mwelekeo ni wa kuongezeka zaidi na zaidi..

KISUKARI (ugonjwa)Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa v...
14/08/2021

KISUKARI (ugonjwa)

Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
Kwa ushauri na Virutubisholishe/bidhaaTiba
Mawasiliano +255688593052

BAADHI YA DALILI ZA KISUKARI

-kukojoa kupita kiasi cha kawaida

-kiu kubwa

-kuona vibaya na matatizo ya macho hadi kuwa kipofu

-kuchoka haraka

-vidonda vinavyopoa polepole mno, hasa kwenye miguu, hadi kupotewa na viungo

Watu wachache huzaliwa na uhaba wa insulini. Walio wengi wana udhaifu fulani unaokuwa hatari kutokana na aina za vyakula na maisha ya kila siku. Kutumia sukari nyingi pamoja na mafuta mengi katika chakula na vinywaji, kukosa mazoezi ya mwili (kwa watu wenye kazi ofisini), kunywa pombe nyingi na kuvuta sigara huongeza hatari ya kushika kisukari kuanzia baada ya miaka ya ujana.

Ugonjwa wa kisukari husababishwa na kongosho (kwa Kiingereza "pancreas") kutoweza kutoa kiwango cha insulini mwilini kinachofaa. Pia yaweza kuwa mwili haufanyi k**a unavyotarajiwa kufanya insulini ikifika sehemu ile ya mwili.

Kuna aina tatu za bolisukari:

Moja ni wakati kongosho imeshindwa kutengeneza insulini kiwango kizuri cha kudhibiti sukari mwilini

Aina ya pili ni wakati mwili unakataa kudhibiti sukari hata insulini ikitengenezwa na kongosho

Aina ya tatu ni bolisukari ambayo huathiri wanawake wajawazito ambao hupata kwamba kiwango cha sukari miilini mwao kimekwenda juu hata k**a hawana historia ya aina hii.

Takwimu zadhihirisha kwamba mwaka 2015, watu milioni 415 duniani kote walikuwa na bolisukari Kisukari aina ya 2, yaani miili yao ilikataa kudhibiti sukari hata baada ya kongosho kutoa insulini, ilichangia asilimia tisini, Hao ni asilimia 8.3 za watu wazima wote wakiwemo wanaume na wanawake kwa uwiano sawa pia Mwelekeo ni wa kuongezeka zaidi na zaidi..

Kisukari kinazidisha hatari ya kufa mapema walau mara mbili. Katika miaka 2012-2015, watu milioni 1.5 hadi 5.0 walifariki kila mwaka kutokana na kisukari.

KINGA NA TIBA

Unapotaka kujikinga na bolisukari, inafaa ule lishe bora, ufanye mazoezi, udhibiti uzani wako na usitumie sigara wala pombe.

Walio na shida ya kisukari wafaa kudhibiti shinikizo la damu pamoja na kuangalia miguu yao vizuri. Kuna viatu maalumu za kuvalia kwa walio na bolisukari.

Kwa walio na bolisukari aina ya kwanza, tiba ni kupokea sindano za insulini. Walio na aina ya pili ya bolisukari waweza kutibiwa kwa insulini au hata dawa nyingine. Wanawake walio na aina ya tatu ya bolisukari hupata kwamba bolisukari yao yaisha pindi tu wanapozaa.

Kwa ushauri na Virutubisholishe/bidhaaTiba
Mawasiliano +255688593052

C24/7 contains the highest level of antioxidants with approximately 22, 000 phytonutrients in every capsule!CELLULAR PRO...
14/08/2021

C24/7 contains the highest level of antioxidants with approximately 22, 000 phytonutrients in every capsule!

CELLULAR PROTECTION
CELLULAR LONGEVITY
CELLULAR IMMUNITY
CELLULAR NOURISHMENT
CELLULAR ENERGIZER
CARDIO PROTECTION
CELLULAR ENHANCEMENT
CANCER PROECTION

PHYTO-ALKATECH

A powerful complex of natural alkaline ingredients combined to promote better absorption, thus preserving the purity and potency of this breakthrough NATURA-CEUTICALS.

SYNER-TECH

This product embodies the science and technology of the Combined Complementary and Synergistic Effects of nature?s most powerful elements and phytochemical nutrients. It has been proven over the years that many antioxidants are better taken with other antioxidants to provide enhanced effects compared to taking them alone.

29 Vitamins / Minerals / Trace Minerals
18 Amino Acids
14 Super Green Foods / Spirulina Blend
12 Whole Fruit Juice Blend
12 Whole Vegetable Juice Blend
12 Mushrooms
12 Digestive Enzymes
12 Herbs and Specialty Nutrients
10 Essential Fatty Acids
5 Anti-Aging / Antioxidant Enhancer
4 Longevity Polyphenols / Mega-Resveratrol Blend

TATIZO LA MIFUPA AU KUUMWA MIGUU/MAGOTI: OSTEOPOROSISContact/Mawasiliano : 255688593052Tatizo hili hujulikana kwa jina l...
14/08/2021

TATIZO LA MIFUPA AU KUUMWA MIGUU/MAGOTI: OSTEOPOROSIS

Contact/Mawasiliano : 255688593052

Tatizo hili hujulikana kwa jina la kitaalamu k**a Osteoporosis. Ugonjwa huu unatokana na kupunguka kwa protini na madini kwenye mifupa (madini chokaa/calcium). Hali hii hupelekea mifupa kuwa milaini na myepesi ambapo inaweza kuvunjika kirahisi. Kipindi cha utoto hadi kufikia umri wa miaka 30, ni kipindi ambacho mifupa hujijenga zaidi. Baada ya hapo mifupa huwa ina kawaida ya kupoteza madini zaidi.
Tatizo hili linatokea sana kwa watu wazima, hasa zaidi kwaa wanawake ambao wamefikia kipindi cha kukoma hedhi (menopause), kuanzia miaka 50. Ni kipindi ambacho wanawake hupungukiwa na homoni yenye kazi ya kuilinda na kuikinga mifupa. Tatizo hili huwapata wanawake zaidi kwa kuwa wana mifupa midogo na myembamba kuliko wanaume. Miaka mitano (5) hadi aba (7) tangu mwanamke kukoma hedhi hupungukiwa na madini chokaa kwa asilimia ishirini (20%), zaidi ya wanaume. Kuanzia miaka 65 hadi 70 wanawake na wanaume hupoteza madini chokaa kwaasilimia sambamba.
NINI CHA KUFANYA
1. Mazoezi hasa kipindi ambacho umriu mepiga hatua (+Virutubishi maalumu)
2. Kwa wale wenye uzito uliozidi, jitahidini kufanya utaratibu wa kupunguza(+Virutubishi maalumu)
3. Jitahidi kupata madini chokaa (calcium) kwa wingi (maziwa freshi, maziwa mgando, mboga za majani)Au Virutubishi maalumu
4. Jitahidi kupata Vitamini D (mayai, maziwa, samaki, mboga za majani, pata jua)
VIRUTUBISHI
Kwa ambao tatizo limekuwa kubwa, inawapasa kujitahidi kupata virutubishi ili kuirejeshea mifupa nguvu na uimara, pia kuondokana na maumivu.
Virutubishi vifuatavyo vimewasaidia wengi wenye tatizo hili.
1. C24/7
2. COMPLETE phto energizer
3. CHOLEDUZ Omg3

KUKOSEKANA KWA UTE KATIKATI YA VIUNGO (JOINTS) - CARTILAGE

Kajiraba fulani ambako hujulikana kwa jina la kitaalamu k**a “Cartilage” (katileji) ambako hupatikana katikati ya mifupa. Kuna kitu fulani huwa kinapatikana katikati ya mifupa miwili ya goti la mnyama (ng’ombe, mbuzi) huwa wengi wanapenda kukila kwenye baada ya kuchemshwa au kupikwa. K**a unaijua hii, basi ndio katileji yenyewe.
Katileji inasaidia kuikinga mifupa isiumie.Vilevile inafanya kazi ya kusaidia kuubeba uzito wakati wa kutembea, kuinama, kunyoosha viungo au kukimbia.
Zaidi ya asilimia 85 (85%) ya katileji ni maji, na jinsi umri unavyosonga mbele, maji hayo huwa yana kawaida ya kupungua. Na asilimia 15 niprotini.
Tatizo hili lipo zaidi kwenye sehemu ya magoti pamoja na katika Uti wa mgongo. Endapo katileji inakuwa ina tatizo, husababisha maumivu makali hasa unapotaka kusimama au kutembea,n.k vile vile kwenye mabega, au nyonga. Pia inaweza sababisha uvimbe (goti au nyonga au bega kuvimba).
Mtu ambaye katileji yake ina tatizo aidha imelika au kutokuwepo kabisa, anatakiwa kupatiwa vitu au virutubishi ambayo vitasaidia kuirekebisha katileji au kuijaza kwa upya.
Virutubishi vifuatavyo vimesaidia wengi wenye tatizo hili:
1. COMPLETE Pyto Energizer pamoja na
2. CHOLEDUZ Omg3
Ni Virutubishi vyenye uwezo mkubwa sana wa kuondoa tatizo hili..

Mawasiliano +255688593052

*Ukweli kuhusu UTI kwa wanaume na suluhisho la kudumu* Kitabibu mambukizi kwa njia ya mkojo kwa wanaume, hujulikana k**a...
14/08/2021

*Ukweli kuhusu UTI kwa wanaume na suluhisho la kudumu*

Kitabibu mambukizi kwa njia ya mkojo kwa wanaume, hujulikana k**a Urinary Track Infections(UTI).



*Huu ndio ukweli kuhusu UTI kwa wanaume*

Kitabibu mambukizi kwa njia ya mkojo kwa wanaume, hujulikana k**a Urinary Track Infections(UTI).

Huu ni uambukizaji unaohusisha mfumo wa mkojo; yaani figo, mirija inayopeleka mkojo katika kibofu, kibofu cha mkojo na mrija wa kutolea mkojo (urethral). Vijidudu vinavyochangia maambukizi ya tatizo hili huwa ni bakteria, fangasi (yeast) na mara chache sana virusi.

Mara nyingi wanaume wamekuwa wakipata hofu ya tatizo hili na baadhi wanaouliza maswali wamekuwa wakidhani kuwa lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya zinaa.

Baadhi ya magonjwa yatokanayo na ngono zembe yanaweza kuwa dalili za k**a zile za UTI, ikiwamo kuhisi maumivu au kuungua wakati wa kukojoa.

Magonjwa ya zinaa huwa na nyongeza kwa kutoa uchafu mweupe k**a maziwa katika njia ya mkojo au usaha.

Tatizo la UTI ni mara chache sana kuwapata wanaume katika maisha yao, na k**a ikiwapata huwa ni wanaume ambao umri umesogea yaani wazee wenye miaka 50 kuendelea. Huwapata watoto wadogo, vijana na watu wazima ambao huwa ni kwa sababu ya matatizo ya kimaumbile. Wanawake wanapata tatizo hili sana kutokana na maumbile yao ikiwamo uwapo wakaribu wa maeneo ya uke na njia ya haja kubwa. Bakteria waliopo njia hiyo ndio wanasababisha tatizo hili.

Bakteria hao hujulikana k**a E.Coli ambao wakiwa njia ya haja kubwa hawana athari ila wanapohama eneo jingine la mwili huweza kusababisha uambukizi. Kwa kawaida wanaume hawapati sana UTI kutokana na kuwa na maumbile tofauti ikiwamo kuwa na mrija mrefu wa kutolea mkojo kuliko kina mama jambo ambalo ni faida kwao.

Wanaume walio katika hatari ya kupata UTI ni wenye miaka zaidi ya 50, wenye tatizo la kuvimba tezi dume, kisukari, mawe katika figo au kibofu na upungufu wa kinga mwilini, wasiotahiriwa na wenye kuwekewa mrija wa mkojo.

Dalili anazopata mwanamke ni sawa na zile

UMEWAHI KUSIKIA SULUHISHO LA BAWASIRI BILA UPASUAJI?  KUTANA NA SULUHISHO LA KUDUMU LA BAWASIRI BILA UPASUAJI KUTOKA U.S...
12/08/2021

UMEWAHI KUSIKIA SULUHISHO LA BAWASIRI BILA UPASUAJI? KUTANA NA SULUHISHO LA KUDUMU LA BAWASIRI BILA UPASUAJI KUTOKA U.S.A....

🍀BAWASILI/MGOLO🍀

☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.

☇kwa kiingereza hujulikana k**a piles.

☇na kitaalam hujulikana k**a haemorrhoids/piles

🍀AINA ZA BAWASILI🍀

👉1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika k**a Thrombosed haemorrhoid.

👉2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, na huwa haiambatani na maumivu.
☇Aina hii imeainishwa katika madaraja manne yafuatayo
👉Daraja la 1. Bawasili kutokea katika pahala pake pa kawaida
👉Daraja la 2. Bawasili kutoka wakati wa haja na kurudi yenyewe baada ya haja (kujisaidia)
👉Daraja la 3. Bawasili kutoka wakati haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha baada ya haja.
👉 Daraja la 4. Bawasili kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu kuirudisha baada ya haja.

🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
👉kushiriki penzi kinyume na maumbile
👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
👉kuharisha sana kwa muda mrefu
👉kutumia vyoo vya kukaa
👉kunyanyua vyuma vizito
👉mfadhaiko stress
👉uzito na unene kupita kiasi

🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu

🍀ATHARI ZA BAWASILI🍀
👉upungufu wa dam mwilini
👉kinyesi kutoka bila kujitambua
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume
👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
👉kupata tatizo la kisaikolojia

🍀NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI🍀
👉kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi.
👉kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku
👉acha kufanya tendo kinyume na maumbile
👉punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja kubwa.

👉MATIBABU👇
MATIBABU YA TATIZO HILI HUHUSISHA UPASUAJI KWA KUKATWA KINYAMA. BAHATI MBAYA NI KWAMBA UKIKATWA BAADA YA MUDA MFUPI KINARUDI TENA NA MADHARA YAKE YANABAKI VILE VILE MAKUBWA CHANZO CHAKE HAKIJATAMBULIWA BADO.

👉👉Tiba inaliyothibitishwa inatoa matokeo mazuri kwa watu wenye matatizo ya BAWASIRI ni virutubisho lishe kutoka Philippines virutubisho lishe vyetu hivi vinauwezo mkubwa sana wa kumsaidia mgonjwa wa BAWASIRI kupona bila kufanyiwa upasuaji, yani hivyo virutubisho lishe husaidia kuondoa tatzo la choo kigumu, alafu huenda kukausha hicho kijinyama bila upasuaji, na tatzo lisijirudie.....

WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
0688593052

KUPATA VIRUTUBISHO LISHE HIVYO KUTOKA PHILIPPINES
TUNAPATIKANA KARIBIA MIKOCHEN JIRANI NA FEZA NURSERY..

C 24/7 kirefu chake ni Complete nutrients masaa 24 siku 7 za week. Bidhaa ya Mimea(Herbal) nambari moja duniani kwa sasa...
11/08/2021

C 24/7 kirefu chake ni Complete nutrients masaa 24 siku 7 za week. Bidhaa ya Mimea(Herbal) nambari moja duniani kwa sasa. Bidhaa hii inatengenezwa na Kampuni namba moja Marekani kwa kutengeneza bidhaa za Mitishamba ya NATURES WAY...Imeptishwa na vyombo k**a USDA, HALAL, NSF, GMP na kwa Tanzania TFDA. Pia inanembo ya super brands kutokana na ubora na kukubalika katika soko Bidhaa hii inavirutubisho vifuatavyo 22,000 ndani yake;

- Mchanganyiko wa aina 12 ya matunda
- Mchanganyiko wa mboga mboga aina 12
- Mchanyiko wa mimea na virutubisho maalum 14
- Mchanganyiko wa uyoga aina 12
- Vitamini na madini zaidi ya 29

⚫ KAZI/FAIDA ZAKE KWENYE MWILI NI;

- HUZUIA CANCER ZA AINA ZOTE
- HUTIBU MATATIZO YA FIGO
- HUONGEZA KINGA YA MWILI(CD4)
- HUSAIDIA WENYE UGONJWA WA MOYO
- HUSAIDIA WENYE UGONJWA WA SUKARI
- UPUNGUFU WA DAMU
- UGONJWA WA NGOZI
- KIHARUSI
- TEZI DUME
- GOITER
- MAWE YA FIGO
- Saratani YA SHINGO YA KIZAZI NA UVIMBE KATIKA MFUKO WA UZAZI
- MAUMIVU YA UTI WA MGONGO
- KUKOSA CHOO

Hizo ni baadhi ya faida zake. Tafakari kukosa lishe bora ni sababu kuu ya kupatwa na magonjwa Mbalimbali...
Bidhaa hizi ni lishe na si dawa....
For Order Call/whtsapp +255688593052

FAHAMU FAIDA/KAZI ZA KAHAWA HIZI KATIKA MWILI WAKO(zipo Aina 4 tofauti kwa wanawake na wanaume)Hizi ni kahawa namba moja...
09/08/2021

FAHAMU FAIDA/KAZI ZA KAHAWA HIZI KATIKA MWILI WAKO
(zipo Aina 4 tofauti kwa wanawake na wanaume)
Hizi ni kahawa namba moja kwa ubora Duniani zina manufaa makubwa kwa Afya yatokanayo na mjumuiko wa zaidi ya Virutubisho 16,000 vinavyotokanana aina 131 za malighafi Asilia.
Zimetengenezwa na kahawa aina ya Arabica na Kuongezewa Virutubisho ndani yake kwa manufaa ya mtumiaji,

MANUFAA/KAZI ZA KAHAWA HIZI
•Inaongeza hamu ya tendo la ndoa na kuratibu homon

•Huondoa Gesi tumboni pia nzuri kwa watu wenye matatizo ya Constipation itayopelekea kuwa na Bawasili

•Inatibu na Kukinga vidonda vya tumbo

•Inasaidia kutibu na kukabili na Presha ya kupanda

•Inasaidia na Kupambana na Kisukari

•Inaondoa Sumu Mwilini

•Inaondoa madhara ya ulevi na Uvutaji sigara uliopitiliza

•Huondoa Maumivu ya kichwa

•Husaidia na kukabili na maambukizi yatokanayo kwa njia ya mkojo

Kahawa ya Arabica inayozalishwa nchini Ethiopia Kahawa hii pia inatambulika k**a "Coffee Shrub of Arabia" "Mountain Coffee" or "Arabica Coffee"..Kahawa ya Arabica inatambulika kuwa ni Kahwa yenye Ubora ukilinganisha na Kahawa ya Canephora(Robusta) kahwa ya Arabica ina kiwango kidogo mno cha Caffeine 0.0 ukilinganisha na Robusta,pia kahawa hii ina radha nzuri mno kuliko hahawa yeyote duniani.

""Agiza sasa Kahawalishe popte pale ulipo uweze anza kutumia k**a tiba ama kiburudishe chenye manufaa makubwa sana kiAfya..(FREE DELIVERY)

Mawasiliano/
+255765951845 ama tuma Ujume kwa WhatsApp

🩺SOMA UFAHAMU🩺*  *NJIA KUMI ZA KUDHIBITI PRESHA (SHINIKIZO LA DAMU) KWA KUTUMIA TIBA AU VYAKULA 001* Simu 0688593052Shin...
09/08/2021

🩺SOMA UFAHAMU🩺*

*NJIA KUMI ZA KUDHIBITI PRESHA (SHINIKIZO LA DAMU) KWA KUTUMIA TIBA AU VYAKULA 001*
Simu 0688593052

Shinikizo (presha) ni tatizo la siku nyingi ambalo lilikuwa likiwapata watu wenye umri mkubwa, lakini leo hii takribani asilimia 30% ya vijana duniani wanakabiliwa na tatizo hili.

Tatizo la presha limepelekea watu kupatwa na matatizo mengine k**a;
1.Msh*tuko wa moyo (heart attack)
2.Kiharusi (stroke)
3.Kupanuka kwa moyo na hatimaye kufeli na mengineyo.

Madhara haya ni makubwa na yamepelekea watu wengi kuishi kwa hofu na vifo vya ghafla.
Kwa kutambua madhara yatokanayo na ugonjwa huu natumia muda huu kuandika makala za kukusaidia wewe kujitibu au kuchukua tahadhari k**a bado hujaathirika.

Njia hizi zitakusaidia kudhibiti presha yako na kufanya uishi kwa kujiamini.

1. Tambua kiwango cha presha yako.
Hiki ni kitu cha kwanza unachotakiwa ukifanye kwani watu wengi hatuna utaratibu wa kupima presha zetu, kwa hiyo inabidi upime na kujua kiwango cha presha yako.

Presha hupimwa kwa namba mbili mfano *120/80* ambapo namba ya juu (SBP) huonesha kiwango cha presha kinachotoka kwenye moyo kuingia kwenye mishipa ya damu.
Namba ya chini (DBP) huonesha kiwango cha presha ambacho hutumika kupeleka damu katika ventriko ya kushoto

*UCHAMBUZI WA PRESHA*
1. Kawaida < 120
2. Hatari ya kupata (120-139)
3. Presha daraja 1 (140-159)
4. Presha daraja 2. (>160)
Kwahiyo tambua uko group gani kati ya hayo manne

2. Tumia vyakula vitokanavyo na mimea vyakula hivi huwa na mafuta kidogo na hivyo hukupa afya nzuri ya moyo na mishipa ya damu, tafiti zinaonesha utumiaji wa vyakula vitokanavyo na mimea hupunguza presha kwa kiwango cha 7/5 mmhg vyakula hivi nimevigawa katika makundi manne k**a ifuatavyo;
1. Nafaka
2. Mboga mboga
3. Jamii ya kunde
4. Matunda

Ukitumia vizuri makundi haya ya vyakula basi utaweza kukontrol presha yako.

3. Punguza kiasi cha chumvi
Mtu mzima anahitaji >https://wa.me/255688593052

Address

FEZA Nursery Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 16:00

Telephone

+255688593052

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Food Supplements posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Food Supplements:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram