Dr.May Show

Dr.May Show Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.May Show, Salasala, Kilimahewa, Dar es Salaam.

Dr. May Show
A TV Show Hosted by Dr. May Bukuku
Public Health Specialist, SBCC Expert

Plus DStv Channel #294
(Coming soon)

Your comments may be used/published by Dr. May Show on the web or TV

04/03/2022

Afternoon Glory! Afternoon Glory! Stay tuned 2022 will be lit here at Dr May Show page!!..πŸŽ‰πŸŽˆπŸŽŠπŸŽ—πŸ‹οΈβ€β™‚οΈ

Colourful burger πŸ” healthy burger.. nimetumia nini kupika hii healthy bun ya burger? Follow this page  na uweke notifica...
25/06/2020

Colourful burger πŸ” healthy burger.. nimetumia nini kupika hii healthy bun ya burger? Follow this page na uweke notification ili usipitwe na uhondo..

STAY WITH US.. TAREHE 1/7/2020 TUTAANZA KUTOA RECIPES ZA MAGONJWA MBALIMBALI ZIKIWEMO PIA ZA KUPUNGUZA MWILI..β€œJITAMBUE ...
20/06/2020

STAY WITH US.. TAREHE 1/7/2020 TUTAANZA KUTOA RECIPES ZA MAGONJWA MBALIMBALI ZIKIWEMO PIA ZA KUPUNGUZA MWILI..

β€œJITAMBUE CHUKUA HATUA”

20/06/2020

Unaweza kutumia tairi lililoisha muda wake k**a kifaa chako cha mazoezi ukiwa gym au nyumbani

Kufanya mazoezi Kwa kutumia tairi ni njia nzuri sana ya kuhusisha mwili wako wote katika kufanya zoezi (full body workout)

Uzuri wa kutumia tairi Kwa mazoezi ni kwamba unaweza kufanyia hata nyumbani

Wakazi wa Mbezi Msakuzi tembeleeni kuna walimu (trainers) wa mazoezi wazuri sana! πŸ€ΈπŸΌβ€β™‚οΈπŸ‹πŸΎβ€β™€οΈπŸ₯ŠπŸ₯Œ Tembelea Page ya upate tips mbalimbali za healthy lifestyle na healthy foods

19/06/2020

Dr.May Show: Namna ya Kutumia Tairi k**a kifaa cha Mazoezi

18/06/2020

MTINDI (YOGURT)
Unautumiaje Maziwa ya Mgando (Mtindi)?!

Hapo nimetumia ndizi ili kupata ladha ya sukari kwenye juice ya ubuyu. 1. Nimechemsha maji yenye mdalasini mpaka yakache...
14/06/2020

Hapo nimetumia ndizi ili kupata ladha ya sukari kwenye juice ya ubuyu.

1. Nimechemsha maji yenye mdalasini mpaka yakachemka/kutokota

2. Nikayamwagia kwenye unga wa ubuyu niliokuwa nimeuweka kwenye bakuli. Nikakoroga

3. Nikasaga ndizi mpaka zikasagika kabisa (blend) halafu nikamimina kwenye mchanganyiko wa ukwaju na maji. Nikakoroga vizuri

4. Ni kaweka kwenye jug then kwenye fridge tayari Kwa kunywa.

Note: utamu wa ndizi ndiyo sukari yangu.

Endelea kuniambia namna unavyitumia NDIZI kwenye mlo wako.
Halafu nitawaambia faida ya NDIZI katika miili yetu🍌🍌🍌

Ungana nasi kwenye mitandao ya kijamii.
14/05/2020

Ungana nasi kwenye mitandao ya kijamii.

13/05/2020

ni Kipindi kuhusu maisha yetu ya kila siku, tabia zetu na tunayoishi.
Vitu vinavyoathiri au kuboresha zetu, na kutoa fursa kwako kuonyesha na kuongelea kuhusu furaha na maumivu katika maisha.
Na zaidi kutupa fursa ya kujitambua na kuchukua hatua.

Address

Salasala, Kilimahewa
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.May Show posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.May Show:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram