23/10/2022
: ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP
Hii sabuni imetengenezwa na:
1)Asali wa nyuki wa mwitu
2)Mafuta ya n**i
3)Mafuta ya mchikichi
4)Majani ya mchaichai
FAIDA ZA ANATIC SOAP
1;Inaondoa makovu na mabaka mwilini
2:Inaondoa miwasho,vipele
3:Ni nzuri kuitumia k**a after shave kwa wanaume
4:Huua bakteria kwenye ngozi
5:Inatibu chunusi, upele, harara
6: Nzuri kwa watu wenye mapunye,mafua
7:Inasaidia kukuza nywele na kulinda zisikatike hovyo kwa kuoshea k**a shampoo
8:Inalinda ngozi yako na mionzi ya jua. Nzuri pia hata kwa wale wanaotumia cream kali
9: Nzuri kwa watoto hata awe mchanga
10:Inazuia malengelenge unapokuwa umeungua na maji au mafuta baada ya kupaka povu lake
11.inaondoa uweusi wa kwenye makwapa na uweusi wa michirizi
0762656868/0693861616
Wanaoitumia wanajua hii ni sabuni kwa nje lakini kwa ndani ni zaidi ya sabuni kwa kazi zake.