dr.wilifred kagina. medical & health

dr.wilifred kagina. medical & health Medical & Health. Afya care .

30/11/2023

USICHUKULIE POA P.I.D! (pelvic inflamatory disease) yaani maambukizi katika via vya uzazi*🚫🚫

JE WAJUA INAWEZA KUSABABISHA UGUMBA...?

*Unapofanya vipimo na kuanza matibabu mapema, PID haiwezi kusababisha madhara yoyote mwilini mwako* . *Hata hivyo, ikiwa k**a utazembea na kuliacha tatizo hili likakaa kwa muda mrefu, PID inaweza kusababisha* *madhara yafuatayo;*

⏩ ```Maumivu ya nyonga ama tumbo ya mara kwa mara, hasa wakati wa tendo la ndoa ama kipindi cha upevushaji mayai, kutokana na majeraha yanayokuwa katika mirija ya uzazi.Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija ya uzazi ambayo hupelekea``` mirija kuziba.

⏩Kubeba mimba nje ya kizazi. Yai lililorutubishwa hushindwa kufika kwenye mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi. Hali hii inaweza kumfanya mwanamke kuvuja damu nyingi sana.

⏩Ugumba kwa mwanamke: PID inapokuwa sugu humfanya mwanamke kushindwa kushika ujauzito.

Je , Wawezaje Kuiondoa kabisa PID?

Tumia WOMEN'S KIT PACKAGE

0699496051
0699496051

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255699496051

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dr.wilifred kagina. medical & health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category