AFIYA NI UHAI

  • Home
  • AFIYA NI UHAI

AFIYA NI UHAI Tunatatua matatizo sugu ya kiafya kwa kutumia bidhaa za kiafya(FOOD SUPPLEMENT)

Je unajua kuhusu pwezaSoma picha kufahamu kuhusu pweza
30/07/2024

Je unajua kuhusu pweza

Soma picha kufahamu kuhusu pweza

Je unajua kuhusu karanga?Soma maelezo kwenye picha ufahamu kuhusu karanga
30/07/2024

Je unajua kuhusu karanga?

Soma maelezo kwenye picha ufahamu kuhusu karanga

Je unachangamoto ya chunusi na vipele ambavyo kimsingi havisikii dawa? tunakuhakikishia huakika wa kupona changamoto hii...
27/07/2024

Je unachangamoto ya chunusi na vipele ambavyo kimsingi havisikii dawa?
tunakuhakikishia huakika wa kupona changamoto hii ndani ya mda mfupi iwapo utatupa nafasi ya kukuhudumia.

Wasiliana nasi kwa msaada wa matibabu na ushauri wa huakika

Biringanya ni moja ya vyakula ambavyo ni maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupikwa k**a mboga katika maeneo ...
27/07/2024

Biringanya ni moja ya vyakula ambavyo ni maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupikwa k**a mboga katika maeneo mengi ya Afrika. Kwa upande wa nchi za Ulaya, hupikwa k**a kifurahisha kinywa (snack).

Biringanya ni nini?

Pamoja na nyanya, viazi na pilipili hoho, Biringanya (Solanum melongena) ni ya familia ya mmea wa nightshade (Solanaceae). Biringanya hukua kwa njia k**a nyanya, zikining'inia kutoka kwa miti ya mmea unaokua futi kadhaa kwa urefu. Zina ngozi ya rangi ya zambarau inayong'aa, ndani yenye rangi ya krimu, k**a sifongo iliyo na mbegu ndogo zinazoweza kuliwa.

Mbali na aina ya zambarau ya kawaida, biringanya zinapatikana katika rangi nyinginezo, ikiwa ni pamoja na kijani kibichi, chungwa na manjano, na pia zinapatikana katika aina mbalimbali za maumbo na ukubwa. Aina maarufu zaidi ya mbilingani inaonekana k**a yai kubwa lenye umbo la peasi, hivyo basi ikasababisha jina la Kimarekani la ‘Eggplant.’

Faida 5 kuu za kiafya

1. Inaweza kusaidia kudhibiti sukari
2. Chanzo cha kinga
3. Inaweza kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol
wa binadamu.

4. Inaweza kusaidia kudhibiti uzito

5. Inaweza kusaidia afya ya moyo

Supu! ni maarufu sana, katika milo ya kila siku na mara nyingi huliwa pia asubuhi k**a sehemu ya kifungua kinywa.Lakini ...
27/07/2024

Supu! ni maarufu sana, katika milo ya kila siku na mara nyingi huliwa pia asubuhi k**a sehemu ya kifungua kinywa.

Lakini unajua k**a supu hususani iliyochemshwa vizuri kutoka kwenye nyama na mifupa iwe Ng'ombe, mbuzi , kuku au Kondoo ina faida sana kwa afya yako?

Supu ya mifupa ni nini?

Mchuzi wa mifupa ni kioevu wazi, chenye protini nyingi kinachopatikana kwa kuchemsha viungo vya nyama na mifupa katika maji. Kwa ubora zaidi kuachwa ichemke muda mrefu na kutoa virutubisho kutoka kwenye mifupa.

Mchuzi wa mifupa ni rahisi kutengeneza, hata hivyo, thamani ya lishe itatofautiana kulingana na mifupa iliyotumiwa, ni muda gani hupikwa na ni nyongeza gani zinazojumuishwa.

Kwa matokeo bora, chagua mifupa ya viungo k**a vile vifundo na miguu. Kupika kwa kiwango cha chini na polepole na kwa kiungo chenye asidi k**a limao kutaimarisha upatikanaji wa virutubisho kutoka mifupa. Mboga, mimea na nafaka zinaweza kuongezwa wakati wa saa ya mwisho kwa ladha iliyoongezwa na lishe.

Faida 5 kuu za kiafya za mchuzi wa mfupa
1. Inaweza kusaidia kuzuia kuzeeka
2. Nzuri kwa usagaji chakula na afya ya utumbo
3. Inaweza kusaidia kazi ya kinga
4. Inaweza kusaidia afya ya viungio
5. Inaweza kusaidia kuboresha usingizi

Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoeo maarufu na mara nyingi kutumiwa k**a mboga y...
27/07/2024

Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoeo maarufu na mara nyingi kutumiwa k**a mboga ya kula na wali ama ugali.

Kuna aina nyingi za dagaa, kuanzia wanaotoka baharini hadi ziwani.

Mtaalamu wa lishe aliyesajiliwa Nicola Shubrook anatuambia k**a dagaa ni nzuri na ni faida gani za lishe tunazoweza kutarajia kutokana na kuzitumia.

Dagaa ni nini?

Dagaa, pia hujulikana k**a pilchards, ni samaki wadogo wenye mafuta ambao ni wa familia moja kwa asilini na anchovies. Wanaweza kununuliwa wabichi, waliohifadhiwa au (kawaida) au kwenye makopo.

Je! ni faida gani 5 kuu za kiafya za Dagaa?

1. Dagaa ni kinga ya moyo

2. Dagaa zinasaidia afya nzuri ya akili

3. Husaidia kutengeneza seli nyekundu za damu
4. Husaidia afya ya mifupa
5. Husaidia kudhibiti uzito

*FAIDA ZA KULA MAHARAGWE KIAFYA*🥣🥣🥣🥣Maharage ni chakula ambacho watu wengi hukichukulia k**a chakula cha hadhi ya chini ...
27/07/2024

*FAIDA ZA KULA MAHARAGWE KIAFYA*🥣🥣🥣🥣
Maharage ni chakula ambacho watu wengi hukichukulia k**a chakula cha hadhi ya chini kisichokuwa na manufaa kiafya. Watu wengi huchukulia vyakula k**a vile nyama na samaki kuwa ni vya kitajiri wakati maharage yakichukuliwa kuwa ni chakula cha kimaskini.

Huu ni upotoshaji, kwani maharage yana faida nyingi sana mwilini ambazo watu wasiokula maharage wanazikosa.

Kwa kuwa lengo letu ni kukupa maarifa, basi karibu ufuatilie makala hii ili uweze kufahamu faida 19 za kula maharage.

1. Hupunguza lehemu (cholesterol)
Moja kati ya vyakula vinavyopunguza lehemu mwilini ni maharage. Nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye maharage hujishikiza na lehemu ziwapo tumboni na kuzuia lehemu zaidi kufyonzwa mwilini.

2. Huzuia saratani
Maharage ni chakula chenye madini ya manganese pamoja na vitamini K ambavyo vyote kwa pamoja huzuia kuharibika kwa seli kunakosababisha saratani.

3. Huboresha afya ya ubongo
Kemikali ya thiamine pamoja na vitamini K zinazopatikana kwenye maharage husaidia katika kuboresha afya ya ubongo.

4. Hutawala kiwango cha sukari mwilini
Maharage yana nyuzi nyuzi ambazo hupunguza kiwango cha metaboli cha wanga (carbohydrates) mwilini. Kwa kufanya hivi huwezesha kutawala kuongezeka kwa kiwango cha sukari hasa baada ya kula chakula.

Maharage pia yana protini ambayo husaidia kupunguza kiwango cha sukari mwilini.

5. Huongeza nguvu za mwili
Kuwepo kwa madini ya chuma pamoja na manganese kwenye maharage kunayafanya kuwa na nafasi kubwa katika kuongeza nguvu za mwili.

Madini haya ni muhimu sana katika kuuongezea na kuupa mwili nguvu.

6. Huimarisha mifupa
Madini ya calcium pamoja na manganese ni muhimu sana kwa ajili ya afya ya mifupa. Maharage ni chanzo kimojawapo kizuri cha madini haya.

7. Huboresha ngozi
Maharage husaidia michakato ya metaboli ya asidi ya amino, gluconeogenesis, neurotransmitter synthesis, histamine synthesis, asidi ya mafuta (fatty acids), lipids and hemoglobin synthesis kwenda vizuri.

Ikumbukwe kuwa hivi vyote vina nafasi kubwa katika kuboresha afya ya ngozi.

8. Huboresha afya ya moyo
Aina nyingi za maharage zina vitamini B9 (folate au folic acid) ambayo ni muhimu kwa ajili ya afya ya misuli ya moyo.

Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara.Hapa chini ni...
26/07/2024

Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara.

Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume. 

Maisha ya kitandani ni moja ya mahitaji makubwa ya mwanadamu, lakini wakati mwingine huja na changamoto.

Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi, lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina sita ya dawa k**a ilivyotangazwa na Shirika la Habari la ANI, ambalo lilitayarisha taarifa maalum juu ya mada hii.
Dawa ya kutuliza maumivu
Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo.

Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani?

Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa kati ya wanaume na wanawake.

Dawa ya kuzuia wasiwasi (anti-anxiety)
Watu wengi wanaolalamika kuhusu matatizo ya akili na kuwa na wasiwasi hutumia dawa ili kukabiliana na hofu.

Walakini, dawa k**a hizo hupunguza hamu ya tendo la ndoa.

Dawa hizi zinaweza kusababisha mtu kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.

Wakati mwingine hata husababisha wanaume kupoteza fahamu zao kabisa.
Dawa ya kutibu kuganda kwa damu
Dawa zinazotumika kutibu kolesto, ambayo ni mgando wa damu, pia zina mchango mkubwa katika kupunguza nguvu za kiume.

Wataalamu wa matibabu wanasema kuwa dawa hizi huingilia utendaji wa seli za uzazi.
Dawa za msongo wa mawazo (Sonona)
Dawa hizi, zinazojulikana k**a "benzodiazepines," mara nyingi hutumiwa kutibu magonjwa ya wasiwasi, k**a vile wakati mtu anaogopa vitu ambavyo havipo na yuko peke yake.

Magonjwa mengine ambayo hutumia dawa hizi ni pamoja na kukosa usingizi na maumivu ya misuli.

Lakini, upande wa madhara ni kwamba huathiri utendaji wa seli za uzazi wa kiume na hisia.

Dawa ya Kuzuia Shinikizo la damu
Wagonjwa wanaotumia dawa za shinikizo la damu wanaweza pia kukumbana na changamoto nyingine ambayo ni kupungua kwa nguvu zao.

Dawa hizi zinaingiliana moja kwa moja na mishipa ya damu na pia hufanya kazi na mfumo wa neva.

PAPAI NI DAWA: ZIFAHAMU FAIDA KUMI NA NANE ( 18 ) ZA MTI WA MPAPAIWatu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utam...
26/07/2024

PAPAI NI DAWA: ZIFAHAMU FAIDA KUMI NA NANE ( 18 ) ZA MTI WA MPAPAI

Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake.
Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.
UTAJIRI WA VITAMINI
Tunda la papai lina vitamini A,B,C,D, na E jambo linalo liweka tunda hili katika kundi la matunda na vyakula vyenye utajiri mkubwa wa vitamin.
FAIDA ZA KIAFYA ZA TUNDA LA PAPAI
Tunda la papai lina faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kuwa na uwezo wa :
Mbegu za Papai
1. Kutibu tatizo la Shida ya kusaga chakula tumboni
2. Kutibu Udhaifu wa tumbo
3. Kutibu Kisukari na asthma au pumu.
4. Kutibu Kikohozi kitokacho mapafuni
Mizizi Ya Papai
5. Kutibu Kifua kikuu
6. Tunda hili huleta afya nzuri ukitumia kila siku
7. Maziwa yanayotoka katika jani lake huponya vidonda
8. Vilevile yanasaidia kutibu sehemu palipoungua moto
9. K**a hiyo haitoshi, maziwa yanayotoka katika jani la mpapai yanatibu kiungulia na Ugonjwa wa colon (njia ya haja kubwa ndani)
Majani Ya Mpapai
10. Pia yanasaidia kutofunga choo
11. Maganda ya tunda la papai yanasaidia kutibu tatizo la kuungua, vipele na saratani ya ngozi.
12. Mbegu zake zinatibu ini zikitafunwa 10 – 12 kwa siku 5.
13. Majani yake yakaushie ndani, yanatibu pumu. Inapoanza kubana yachome majani yaliyokaushwa kisha jifukize, kule kubanwa kutakisha.
14. Majani yake yanasaidia katika kutibu shinikizo la damu.
15. Papai likimenywa na kupondwa linafaa Sana katika masuala ya urembo kwani linaweza kutumika K**a vile unavyotumia lotion kulainisha uso.
16. Mbegu za papai zina uwezo wa kutibu homa. Meza mbegu za papai kiasi cha kijiko cha chakula mara 3 kwa ajili ya kutibu homa.
17. Mbegu za papai zilizokaushwa ndani kisha zikasagwa kuwa unga zinatibu malaria, tumia kijiko 1 cha chai changanya na uji, kunywa mara 3 kwa siku 5 Mgonjwa wa kifua kikuu akila matunda haya kwa muda mrefu atapona bila dawa nyingine.
18. Mizizi yake ikipondwa na kulowekwa katika maji yaliyochemshwa, lita 2 na nusu kwa dakika 15, yanatibu
figo, bladder, yanazuia kutapika. Nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku 5.

PARACHICHI NA FAIDA ZAKE:Huondoa matatizo mbalimbali mwilini na vilevile kuufanya mwili kuwa katika afya njema.1.Hujenga...
26/07/2024

PARACHICHI NA FAIDA ZAKE:

Huondoa matatizo mbalimbali mwilini na vilevile kuufanya mwili kuwa katika afya njema.
1.Hujenga afya ya Neva ya ufahamu.
2.Kutia nguvu ya mwili na ubongo.
3.Kujenga mifupa na kuipa nguvu.
4.Husaidia suala la kuona vizuri.
5.Hupiga vita ukosefu wa damu.
6.Kukuza mwili uliodumaa.
Parachichi huitwa mfalme wa matunda duniani kwani Lina kazi nyingi mwilini na ni muhimu sana ,pendelea kula parachichi Mara kwa Mara kwa afya bora.

FAIDA ZA TIKITI MAJI KIAFYA.Tikiti maji ni moja wapo ya tunda ambalo ni muhimu sana katika mwili wa binadamu kwani lina ...
26/07/2024

FAIDA ZA TIKITI MAJI KIAFYA.

Tikiti maji ni moja wapo ya tunda ambalo ni muhimu sana katika mwili wa binadamu kwani lina nguvu ya ajabu ya kuweza kutibu magonjwa mbalimbali na kuufanya mwili wako kuwa na afya ambayo inatakiwa, tunda hili lina asilimia 92 ya maji na madini, mara nyingi ni chaguo zuri kwa wagonjwa wenye upungufu wa maji mwilini.

Upatikanaji wa aina hii ya tunda ni rahisi sana kwenye jamii yetu na hata gharama za kulimudu pia sio za juu sana.

ukila tikiti maji unapata faida nyingi katika mwili wako.

ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KULA TIKITI MAJI KATIKA MWILI WAKO:

KURAHISISHA MMENG’ENYO WA CHAKULA.

Tikiti maji ni tunda muhimu katika kurekebisha mmeng’enyo wa chakula Kwa kuwa tunda hili limetengenezwa na kiasi kikubwa cha maji na fiber ambazo husaidia kuondoa matatizo ya kukosa choo na kuboresha mmeng’enyo wa chakula tumboni.

HUSAIDIA MISULI NA MISHIPA

Kutoka na utajiri wake wa madini ya potassium husaidia sana kwenye usimamiaji wa kiwango sahihi cha maji mwilini, na uanzishaji wa mwendo katika misuli ya mwili yenye mwendo hiari na mwendo usio wa hiari na husababisha mwamko katika mishipa ya moyo inayohusika na msukumo wa damu mwilini.

KUNG’ARISHA NGOZI

Tikitimaji husaidia afya ya ngozi kwa kuwa lina vitamini A na C; Vitamini A husaidia katika ukuaji wa tishu za mwili zikiwemo ngozi na nywele hukuVitamini C ikisaidia katika utengenezaji wa kolageni mwilini na husaidia kupona haraka kwa tishu zilizo na majeraha ikiwemo ngozi.

KUIMARISHA MISHIPA YA MOYO NA MIFUPA

Virutubisho (lycopene) vinavyopatikana kwenye tikiti maji ni mahususi kwaajili ya moyo pamoja na mishipa yake lakini hivi karibuni imegundulika kuwa virutubisho hivyo pia huimarisha mifupa yetu.

Ulaji kwa wingi wa tikiti maji husaidia mzunguko wa damu kuzunguka vizuri bila matatizo yoyote. Na pia husaidia kupunguza msongo wa mawazo ambao mara nyingi hupunguza kasi ya ufikiriaji mzuri, wakati huohuo madini ya potassium yanayopatikana katika tikitimaji husaidia kuimarisha mifupa ya mwili na kuifanya kuwa imara na yenye nguvu.

HUSAIDIA KUONDOA/KUPUNGUZA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI.1. Juisi ya Kitunguu Huua vijidudu vya kifua kikuu.Tafiti mbalimbali za ki...
26/07/2024

ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI.

1. Juisi ya Kitunguu Huua vijidudu vya kifua kikuu.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina uwezo wa kuua vijidudu vinavyo sababisha maradhi ya kifua-kikuu (Huua baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake).

2. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula.
Kitunguu maji kikifanyiwa kuwa achari, ukali wake hupungua huongeza mno hamu ya kula.

3. Huupa mwili nishati na nguvu
Kitunguu maji kikiliwa kikiwa kimechomwa, huongeza nguvu na nishati mwilini na huimarisha misuli ya mwili.

4. Huufanya uso kunawiri
Kitunguu maji kikichomwa na kasha kuliwa huufanya uso kuwa mweupe, mn’gavu na wenye kunawiri.

5. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula.

6. Kitunguu husaidia kulainisha tumbo.

7. Kitunguu husaidia kutibu tatizo la kukosa haja kubwa.

8. Kitunguu maji kikipikwa na kuliwa pamoja na samli , husaidia kuongeza nguvu za kiume pamoja na kuboresha nguvu za kiume.

9. Kitunguu kikitengenezwa supu pamoja na nyama, huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.

10. Kitunguu maji husaidia kutibu homa ya manjano.

11. Kitunguu maji husaidia kuvunja vijiwe tumboni.

12. Kitunguu maji hutumika kutibu tatizo la kukosa hedhi kwa wanawake.

13. Kitunguu maji kina utajiri wa Vitamini C ambayo husaidia kuzuia kukua kwa bacteria kwenye jeraha na kuongeza nishati kwenye mbegu za kiume.

14. Kitunguu maji kina madini ya salfa,chuma na vitamin ambayo husaidia kutia nguvu kwenye mishipa.

15. Kitunguu maji husaidia kuwatibu wagonjwa wa kisukari.

16. Kitunguu maji husaidia kutibu maradhi ya moyo pamoja na kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu mwilini.

17. Kitunguu maji kimethibitika kuwa vijiuasumu vyenye nguvu zaidi kuliko penesilini (penicillin) kwa hivyo hupoza kifua kikuu, kaswende (syphillis) na kisonono (gonorrhea), pamoja na kuua vijidudu vingi vya hatari.

18. Hutibu tatizo la Pumu:
Kitunguu maji kikitumika pamoja na asali, husaidia kutibu tatizo la pumu.

19. Husaidia kutibu tatizo la Uvimbe wa pafu (Pneumonia).

18. Kituu maji husaidia kutibu tatizo la Saratani za aina mbalimbali.(Cancer).

20. Kitunguu maji husaidia kutibu vidonda ndugu.

21. Kitunguu maji husaidia kutibu tatizo la mvilio wa

Address

Dar Es Salaam

0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFIYA NI UHAI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFIYA NI UHAI:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram