Agnes herbal supplements

Agnes herbal supplements Agnes herbal supplements 0625 558 700 na 0673 870 150

12/01/2026

7 days Slim plus fat burner
fast healthy detox

Bei: 45,000

Hii ni nzuri zaidi kwa wale wanaotaka kupunguza mwili wa juu

🌸 inapunguza appetite ya kula
🌸 inakata mafuta mwilini kwa haraka
🌸 inaboost metabolism
🌸 inazuia mwili kutunza mafuta hivyo kukuzuia usiongezeke
🌸inabadilisha mafuta ya mwilini kuwa nishati
🌸inasaidia tatizo la kupata choo kigumu (constipation)
🌸 inatoa sumu mwilini
🌸 inapunguza tumbo
🌸 inaboresha afya ya ngozi

Jinsi ya kutumia
Unatumia vidonge 2 kwa siku nusu saa baada ya kula

Unaweza ukameza au ukatafuna

Anayenyonyesha anaweza akatumia

Vipo vidonge 60
⚡️ ̊i̊r̊ål̊c̊h̊ål̊l̊e̊n̊g̊e̊

Afya ya mwanao ndio furaha ya nyumba! 🏠🧒✨​Tunajua changamoto ya watoto kuchagua chakula (picky eaters). Ndio maana  Orga...
03/01/2026

Afya ya mwanao ndio furaha ya nyumba! 🏠🧒✨
​Tunajua changamoto ya watoto kuchagua chakula (picky eaters). Ndio maana Organic Multi Vitamin Kids ipo hapa kuhakikisha mwanao hapotezi virutubisho muhimu.
​🍎 100% Organic - Salama na asilia.
💪 Inaimarisha Kinga - Mlinde dhidi ya mafua na kikohozi mara kwa mara.
😊 Ladha ya Kirafiki - Watoto wanaipenda!
​mpe mwanao msingi bora wa afya leo.
DM sasa 0673 870 150 au 0625 558 700
Afya .

Je, unatafuta njia rahisi ya kupata vitamini, madini, na antioxidants zote kwa pamoja? Duozi Multi Vitamin ni suluhisho ...
03/01/2026

Je, unatafuta njia rahisi ya kupata vitamini, madini, na antioxidants zote kwa pamoja? Duozi Multi Vitamin ni suluhisho lako. Ni kioevu (liquid), inanyonywa haraka mwilini, na ina ladha nzuri ya matunda!
​✅ Inaimarisha kinga ya mwili
✅ Inaleta mng'ao wa ngozi na afya ya nywele
✅ Inafaa kwa ratiba yako yenye mambo mengi.
​🛒 Jipatie yako sasa! Tuma DM au piga 0673 870 150 au 0625 558 700Afya .

Detox and cleanse Weight loss support Digestive support Order now 0673 870 150
03/01/2026

Detox and cleanse
Weight loss support
Digestive support

Order now 0673 870 150

03/01/2026

👨🏾‍🦳 Unasumbuliwa na
❌ Kukojoa mara kwa mara usiku
❌ Mkojo kutoka kwa shida au maumivuy
❌ Maumivu ya chini ya tumbo au mgongo
❌ Kupungua kwa nguvu za kiume
👉 Inaweza kuwa dalili za tatizo la prostate.
Usisubiri hali iwe mbaya zaidi — anza kujitunza mapema.
💊 Prostate Health husaidia: ✔️ Kupunguza uvimbe wa prostate
✔️ Kuboresha mtiririko wa mkojo
✔️ Kurejesha nguvu na afya ya mwanaume
📩 Inbox sasa kwa ushauri zaidi 0673 870 150 au 0625 558 700

03/01/2026

Flat tummy fat burner

15 days fast healthy detox reduce upper body size

Rejareja: 35,000
Jumla
30,000 kuanzia 5
25,000 kuanzia 10 na kuendelea

Hii ni nzuri zaidi kwa wale wanaotaka kupunguza mwili wa juu

🌸 inapunguza tumbo na nyama uzembe
🌸inapunguza mwili wa juu
🌸 inakata mafuta tumboni kwa haraka
🌸 inaboost metabolism
🌸 inazuia mwili kutunza mafuta hivyo kukuzuia usiongezeke
🌸inabadilisha mafuta kuwa nishati
🌸inasaidia tatizo la kupata choo kigumu (constipation)
🌸 inatoa sumu mwilini
🌸inapunguza appetite ya kula
🌸 inaboresha afya ya ngozi

Jinsi ya kutumia
Unatumia vidonge 2 kwa siku nusu saa baada ya kula

Unaweza ukameza au ukatafuna

Anayenyonyesha anaweza akatumia
fans

03/01/2026

7 days Slim plus fat burner (Duozi)

fast healthy detox

Bei: 45,000

Hii ni nzuri zaidi kwa wale wanaotaka kupunguza mwili wa juu

🌸 inapunguza appetite ya kula
🌸 inakata mafuta mwilini kwa haraka
🌸 inaboost metabolism
🌸 inazuia mwili kutunza mafuta hivyo kukuzuia usiongezeke
🌸inabadilisha mafuta ya mwilini kuwa nishati
🌸inasaidia tatizo la kupata choo kigumu (constipation)
🌸 inatoa sumu mwilini
🌸 inapunguza tumbo
🌸 inaboresha afya ya ngozi

Jinsi ya kutumia
Unatumia vidonge 2 kwa siku nusu saa baada ya kula

Unaweza ukameza au ukatafuna

Anayenyonyesha anaweza akatumia

Vipo vidonge 60 ⚡️ ̊i̊r̊ål̊c̊h̊ål̊l̊e̊n̊g̊e̊

Kuanzia kuongeza & kuinua matiti, kuyafanya yakaze, kupunguza au kusawazisha size, hadi kuboresha umbo na confidence yak...
02/01/2026

Kuanzia kuongeza & kuinua matiti, kuyafanya yakaze, kupunguza au kusawazisha size, hadi kuboresha umbo na confidence yako 💃🏽
📦 Creams • Capsules • Gummies • Tea
🌿 Zimetengenezwa kwa viambato asilia, salama na zenye matokeo
💖 Chagua kinachokufaa au tumia k**a package kwa matokeo bora zaidi
👉 DM / WhatsApp
0673 870 150
0673 870 150

⚫️Prostate Health ni supplements za kuboresha afya ya tezi dume (prostate), hasa kwa wanaume walio na umri wa miaka 40 n...
02/01/2026

⚫️Prostate Health ni supplements za kuboresha afya ya tezi dume (prostate), hasa kwa wanaume walio na umri wa miaka 40 na kuendelea.

⚪️Faida zake
🌼Husaidia Kupunguza Kuvimba kwa Prostate
Virutubisho hivi vina viambato k**a Saw Palmetto na Beta-Sitosterol ambavyo husaidia kupunguza uvimbe wa tezi dume.

🌼 Kuboresha Mkojo
Husaidia kupunguza matatizo ya kukojoa mara kwa mara hasa usiku, kushindwa kumaliza mkojo, au mkojo kudondoka polepole.

🌼Kusaidia Homoni za Kiume (Testosterone Balance)
Husaidia kuweka usawa wa homoni ya testosterone, ambayo hupungua kadri umri unavyoongezeka.

🌼Kuzuia Maambukizi ya Njia ya Mkojo
Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi kutokana na kubaki kwa mkojo kwenye kibofu.

🌼Huboresha afya ya uzazi na nguvu za kiume
,inaweza kusaidia kuboresha uzalishaji wa shahawa na kuongeza nguvu za kiume.

Matumizi
Unakunywa vidonge viwili kwa siku baada ya kula.
N.b.Matumizi ya muda mrefu yana matokeo bora zaidi.

Bei:elfu :60,000
DM/ WhatsApp 0673 870 150 au 0625 558 700 Can mention all top fans once a day

LIVER DETOX & ENERGY BOOST 🌿❌ Unachoka haraka bila kufanya kazi nzito?❌ Tumbo kujaa gesi, kichefuchefu au mwili mzito?❌ ...
02/01/2026

LIVER DETOX & ENERGY BOOST 🌿
❌ Unachoka haraka bila kufanya kazi nzito?
❌ Tumbo kujaa gesi, kichefuchefu au mwili mzito?
❌ Unatumia dawa nyingi au pombe, unaogopa afya ya ini?
💊 SULUHISHO LIPO HAPA 👇
✅ NAD+ RESVERATROL
🔹 Huongeza nguvu ya mwili
🔹 Huboresha akili & kumbukumbu
🔹 Hupunguza uchovu na kuzeeka mapema
✅ MILK THISTLE 1000mg
🌿 Huitakasa ini kwa nguvu
🌿 Hulinda na kurekebisha ini
🌿 Hufaa kwa ini lenye mafuta & sumu
✅ LIVER DETOX GUMMIES
🍬 Hutakasa ini kwa upole
🍬 Huboresha mmeng’enyo wa chakula
🍬 Rahisi kutumia – ladha tamu
🔥 FAIDA KWA UJUMLA
✔️ Safisha ini
✔️ Ondoa sumu mwilini
✔️ Ongeza nguvu & kinga ya mwili
✔️ Jisikie mwepesi na mwenye afya
📍 Tunapatikana Dar es Salaam
📦 Delivery ipo
📲 Wasiliana nasi sasa kwa inbox / WhatsApp 0673 870 150 au 0625 558 700
⚠️ Afya yako ni mtaji – anza leo!

19/12/2025

MUSHROOM EXTRACT CAPSULES
Reishi ni uyoga wa tiba unaotumika sana kwenye afya kwa sababu una virutubisho vinavyoimarisha kinga na kupunguza uchochezi mwilini.

Faida kuu za Reishi Mushroom

🌸 inaimarisha kinga ya mwili
• Husaidia mwili kupambana na magonjwa.
• Hupunguza uwezo wa bakteria/virusi kusababisha maambukizi.

🌸. Inapunguza uchovu na kuongeza nguvu
• Hupunguza “fatigue” ya mwili.
• Huongeza uwezo wa mwili kufanya kazi bila kuchoka haraka.

🌸. Inasaidia usingizi na kutuliza mfadhaiko
• Reishi hujulikana kutuliza akili, kupunguza msongo wa mawazo na kuboresha usingizi.

🌸. Inapunguza uchochezi mwilini (anti-inflammatory)
• Inafaa kwa maumivu ya viungo, kisukari, na matatizo ya uchochezi mwilini.

🌸 ni Anti-aging (kupunguza uzee wa seli)
• Ina antioxidants zinazosafisha sumu mwilini na kulinda seli dhidi ya kuharibiwa.

🌸. Inasaidia afya ya ini
• Husaidia ini kufanya detox vizuri.
• inapunguza uharibifu wa ini kutok
Bei 60,000
0673 870 150
0625 558 700 ̇shi̇mushroom

16/12/2025

Je, Umechoka na Vyakula vya Lishe Vigumu na Mazoezi Yenye Kulemea?
​Tunakuletea suluhisho rahisi lakini lenye matokeo makubwa: Daynee Slim Enzyme Juice Powder!
​Fanya mwili wako kuwa k**a "tanuru" ya kuchoma mafuta. Kila sachet inakupa:
​Nguvu ya asili ya Kiwi, Chungwa, Zabibu, na Tangawizi.
​Hisia ya shibe kwa muda mrefu.
​Nishati ya kukamilisha siku yako.
​Jipatie kifurushi chako leo na uanze kuona tofauti!
​💬 Tuma DM au WhatsApp [Weka namba yako hapa]
゚viralシ ゚viralシfypシ゚viralシalシ ゚

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agnes herbal supplements posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram