Shifaa Herbalist

Shifaa Herbalist Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shifaa Herbalist, Medical and health, 40436, Dar es Salaam.

23/12/2022
24/12/2020

Assalaam alaikum warahmatullah karibu kwa kupata tiba mujarrab ya dawa za maumivu mgongo kiuno kuungua moto, ruqya naengineyo

05/04/2020

https://www.facebook.com/Subira-Tiba-Asilia-413319069403897/

*DAWA YA PUMU (ASTHMA)*
....................1⃣..............

-Kiini cha ndani kokwa la embe .(unga).
-Asali.

Ratio. 1:2.

MATUMIZI.

*Vijiko 2 vya chai x kwa siku.*
_________________________
................2⃣......................

-Kitunguu Saumu---Vijiko 2
-S**i ya Apple --- Vijiko 2
-Asali ----Vijiko 2

*_💧changanya vyote pamoja_*

MATUMIZI.

*🔷Kunywa kila siku mapema Asubuhi kabla hujala chochote.*

_____________________

-Asali
-Maji ya mgomba
-Kitunguu saumu
-Maji ya konokono

*_💧viwe ujazo sawa changanya vyote pamoja_*

MATUMIZI.

*🔷Kunywa vijiko vitatu Mapema Asubuhi kabla hujala chochote na wakata wa kulala.*

_ukitokea unatapika sana kunywa mafuta yanayo liwa ya mawese vijiko viwili._

```changua dawa moja kati ya hizo utumie biidhinillah utapona```

___________________
SHARE KWA WENGINE WAPATE FAIDA.

*_Kwa Tiba na Ushauri wasiliana na Subira Tiba Asilia_*

*+255758200163*

*+254743101242*

DAR ES SALAM
TANZANIA.

*jiunge chanel yetu kwa masomo mbalimbali ya tiba Asilia.*
______________________
Telegram📮

https://t.me/Subratibaasilia

*🔴TUWEWAADILIFU USIBADILI CHOCHOTE KWENYE MAKALA HII.*

https://www.facebook.com/Subira-Tiba-Asilia-413319069403897/

▪️▫️◾️◽️◼️◻️⬛️◻️◼️◽️◾️▫️▪️

اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎


huu ni ukurasa rasmi wa subira Tiba Asilia mahususi kwa ajili ya kujifunza dawa mbali mbali za maradhi ya binadamu .


Karibu ujiunge nasi kwa afya bora

05/04/2020

https://www.facebook.com/Subira-Tiba-Asilia-413319069403897/
_________________________

DAWA YA U.T.I

🔸Vitunguu saumu (2 )
🔸Parsley (vijiko 2)
🔸Ndevu za mahindi (viganja 2)
🔸Asali Vijiko 3
🔸Limao 1

MAANDALIZI.

🔴chemsha ndevu za mahindi kwa maji nusu lita dk 5. epua chuja weka kwenye kikombe
Tia vilivyobaki humo

koroga vizuri kunywa x3 kwa siku.

*hakikisha unakunywa maji na matunda (vitamin c) kwa wingi.*

_______________
SHARE KWA WENGINE WAPATE FAIDA.

*_Kwa Tiba na Ushauri wasiliana na Subira Tiba Asilia_*

*+255758200163*

*+254743101242*

DAR ES SALAM
TANZANIA.

*jiunge chanel yetu kwa masomo mbalimbali ya tiba Asilia.*
__________________
Telegram📮

https://t.me/Subratibaasilia

*🔴TUWEWAADILIFU USIBADILI CHOCHOTE KWENYE MAKALA HII.*

https://www.facebook.com/Subira-Tiba-Asilia-413319069403897/

▪️▫️◾️◽️◼️◻️⬛️◻️◼️◽️◾️▫️▪️

اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎


huu ni ukurasa rasmi wa subira Tiba Asilia mahususi kwa ajili ya kujifunza dawa mbali mbali za maradhi ya binadamu .


Karibu ujiunge nasi kwa afya bora

02/04/2020

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Karibuni katika Page hii kwa ushauri na tiba ya maradhi mbali mbali tiba ya kisunah

Address

40436
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255687967888

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shifaa Herbalist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram