10/06/2025
*MAMBO 10 YANAYOSABAISHA MIWASHO UKENI-TIBA YAKE*
*Miwasho ni hali ya* kutamani kujikuna au kujikuna kwenye uke hali hii hupelekea hali ya kuhisi raha na baadae michubuko na maumivu wakativwa tendo la ndoa
*Kuna mambo kadhaa* yanayoweza kusababisha miwasho ukeni, ikiwa ni pamoja na
1. *Maambukizi ya Fangasi (Candidiasis)* Haya ni maambukizi ya kawaida yanayosababishwa na fangasi aina ya Candida, ambayo husababisha miwasho, uchafu mweupe.
2. *Maambukizi ya Bakteria (Bacterial Vaginosis)* Maambukizi haya husababishwa na kuongezeka kwa bakteria mbaya na hupatikana na dalili k**a vile harufu mbaya, miwasho, na uchafu wenye rangi ya kijivu.
3. *Magugu (Trichomoniasis)* Hii ni maambukizi ya zinaa yanayosababishwa na vimelea vinavyoitwa Trichomonas vaginalis. Husababisha miwasho, uchafu wa kijani au njano, na harufu mbaya.
4. *Ugonjwa wa Uchafu wa Mkojo (Urinary Tract Infection)* Ingawa hii ni maambukizi kwenye mfumo wa mkojo, inaweza kusababisha maumivu na miwasho katika maeneo ya karibu na uke.
5. *Matumizi ya Bidhaa Zenye Kemikali* Sabuni zenye harufu kali, sabuni za kuoshea uke, kuweka mate,mafuta ya kulainisha, na bidhaa nyingine za usafi zinaweza kusababisha mizio au miwasho.
6. *Mabadiliko ya Homoni* Wakati wa ujauzito, hedhi, au kukoma kwa hedhi, mabadiliko ya homoni yanaweza kusababisha uke kuwa kavu na kuwasha.
7. *Nguo za Ndani* Mavazi ya ndani yenye nyuzi za sintetiki(nylon)au zinazobana sana zinaweza kusababisha joto na unyevunyevu, ambayo ni mazingira mazuri kwa fangasi na bakteria kukua.
8. *Maambukizi ya Kingono* Maambukizi yanayotokana na mawasiliano ya kingono (STIs) k**a vile herpes, gonorrhea, na chlamydia yanaweza kusababisha miwasho.
9. *Alerji* Alerji kwa kondomu, shahawa za mwanaume, au hata baadhi ya dawa za kutuliza maumivu zinaweza kusababisha miwasho.
10. *Magonjwa ya Ngozi* Magonjwa ya ngozi k**a eczema, psoriasis, au lichen sclerosus yanaweza kuathiri eneo la uke na kusababisha miwasho.
piga au watsap no. 0752400155