Anna afya tips

Anna  afya tips afya

DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada...
13/10/2024

DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada ya muda huona *madhara makubwa* yanayogharimu afya zao za uzazi.

Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo *hupaswi kuzipuuza* pale zinapokutokea.👇

1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,

2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,

3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,

4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,

5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,

6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

8. Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,

9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,

10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
bila kukata zaidi ya siku 7 na
kuendelea,

11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,

13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,

14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,

15. Uke kuwaka Moto.

*USHAURI NA TIBA*
*K**a unapata baadhi ya dalili tajwa usisite kuwasiliana nani kwa tiba na ushauri:+255 620 290 755

Posted  •  LEO NATAKA NIKUPE SIRI AMBAYO NIMETUMIA KUSAIDIA WANAWAKE WENGI KUONDOKANA NA TATIZO LA KUTOKWA NA UCHAFU SEH...
11/10/2024

Posted • LEO NATAKA NIKUPE SIRI AMBAYO NIMETUMIA KUSAIDIA WANAWAKE WENGI KUONDOKANA NA TATIZO LA KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI,PID SUGU,UTI SUGU PAMOJA NA FANGASI SUGU…

KUPITIA VIGINAL DETOX PROGRAM NDANI YA SIKU 30 NIMEWEZA KUSAIDIA WANAWAKE WINGI SANA,,,HII NI PROGRAM AMBAYO UNAPATA USIMAMIZI WA SIKU 30 NAKUA NAKUFUNDISHA NI KWA JINSI GANI K**A MWANAMKE UNAWEZA KUONDOKANA NA TATIZO LA KUTOKWA NA UCHAFU,,,
Piga simu/whatsap 0620290755
Au kuja whatsap moja kwa moja.

FAIDA ZA KUTUMIA VAGINAL DETOX PROGRAM
😍Kukata shombo lile la harufu mbaya sehemu za siri
😍Kuondoa yale majimaji ya sehemu za siri yasiofaa
😍Kukupa hamu ya tendo na kua wet yan unakua na ute k**a woteee wakat mkiwa sita kwa sita na baba chanja👌🏼👌🏼 ukavu wote unaisha
😍 Maumivu ya hedhi huisha kabsaa 😍Inatibu Fungus sugu na PID
😍Hufanya Cleansing na kuondoa Discharge zote k**a kutokwa na Uchafu Mweupe,Njano ,Kijani au Kijivu
😍Wale waliotoka kujifungua hii nzuri sanaa hukata Shombo la Uzazi
😍Inabana uke na kuongeza joto k**a uke wako umelegea

Njoo Tuzungumze
Watsap 0620290755

 Hii ni kwa wale wanaotokwa na uchafu ukeni k**a maziwa mtindi mda mwingine umeambatana na harufu k**a shombo ya samaki ...
11/10/2024

Hii ni kwa wale wanaotokwa na uchafu ukeni k**a maziwa mtindi mda mwingine umeambatana na harufu k**a shombo ya samaki dawa ni 25,000/= tu

Kwa changamoto zingine zote uzazi k**a vile
👉PID
👉UTI SUGU
👉Hormones imbalance
👉Mirija kuziba au kujaa maji
👉Uvimbe kwenye kizazi
👉Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Ukavu ukeni
👉Bawasili
👉Umetafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio
Na Changamoto zingine zote zinazohusu uzazi Tutafute tukusaidie suluhisho la uhakika

Posted  •  Hii ni kwa wale wanaotokwa na uchafu ukeni k**a maziwa mtindi mda mwingine umeambatana na harufu k**a shombo ...
10/07/2024

Posted • Hii ni kwa wale wanaotokwa na uchafu ukeni k**a maziwa mtindi mda mwingine umeambatana na harufu k**a shombo ya samaki dawa ni 55,000/= tu

Kwa changamoto zingine zote uzazi k**a vile
👉PID
👉UTI SUGU
👉Hormones imbalance
👉Mirija kuziba au kujaa maji
👉Uvimbe kwenye kizazi
👉Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Ukavu ukeni
👉Bawasili
👉Umetafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio
Na Changamoto zingine zote zinazohusu uzazi Tutafute tukusaidie suluhisho la uhakika

HAYA DADA MZURI NJOO NIKUPE TIBA…Usiendelee kulalamika…Jana nimeongea na dada mmoja kutoka Songwe yaani mpk nimetetemeka...
01/06/2024

HAYA DADA MZURI NJOO NIKUPE TIBA…Usiendelee kulalamika…Jana nimeongea na dada mmoja kutoka Songwe yaani mpk nimetetemeka…WANAWAKE TUNASHIDA JAMN🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️

FAIDA ZA KUTUMIA VAGINAL DETOX PROGRAMME😍Kukata shombo lile la harufu mbaya sehemu za siri😍Kuondoa yale majimaji ya sehe...
01/06/2024

FAIDA ZA KUTUMIA VAGINAL DETOX PROGRAMME
😍Kukata shombo lile la harufu mbaya sehemu za siri
😍Kuondoa yale majimaji ya sehemu za siri yasiofaa
😍Kukupa hamu ya tendo na kua wet yan unakua na ute k**a woteee wakat mkiwa sita kwa sita na baba chanja👌🏼👌🏼 ukavu wote unaisha
😍 Maumivu ya hedhi huisha kabsaa 😍Inatibu Fungus sugu na PID
😍Hufanya Cleansing na kuondoa Discharge zote k**a kutokwa na Uchafu Mweupe,Njano ,Kijani au Kijivu
😍Wale waliotoka kujifungua hii nzuri sanaa hukata Shombo la Uzazi

Njoo Tuzungumze
Watsap 0620290755

MADHARA YA CHANGO LA UZAZI.Madhara yake kwa mwanamke*Inakuwa ngumu kwake kupata mimba kwasababu inapelekea pia kuvuruga ...
01/06/2024

MADHARA YA CHANGO LA UZAZI.

Madhara yake kwa mwanamke

*Inakuwa ngumu kwake kupata mimba kwasababu inapelekea pia kuvuruga mfumo wa homoni.

*Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa.

*Wakati mwingine akibahatisha kubeba mimba zinakuwa hazikai mpaka kufikia wakati wake wa kujifungua(zinaharibika)

*Mwanamke anakuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni hata mwanaume akipambana awezavyo.

*Kuwa na uke mdogo sana.

Madhara kwa Mwanaume

*Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba kwasababu kiwango kinachozalishwa cha mbegu ni kidogo mno.

*Kusimama na kusinyaa kwa uume.

Tatizo hili linatibika nitafute tuongee.

CHANGO LA UZAZI.DALILI ZA CHANGO LA UZAZI.Kwa mwanaume;Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufik...
01/06/2024

CHANGO LA UZAZI.

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI.

Kwa mwanaume;

Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.Pia wakati mwingine mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.

CHANGO LA UZAZI.DALILI ZA CHANGO LA UZAZI.Kwa mwanamke;Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-Kupata maum...
01/06/2024

CHANGO LA UZAZI.

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI.

Kwa mwanamke;

Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-

Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhiKuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoaSiku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilikaHujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhiKupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.Kuchukia kushiriki tendo la ndoaKupata uvimbe kwenye kizaziMimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.

Hii ni kwa wale wanaotokwa na uchafu ukeni k**a maziwa mtindi mda mwingine umeambatana na harufu k**a shombo ya samaki d...
30/05/2024

Hii ni kwa wale wanaotokwa na uchafu ukeni k**a maziwa mtindi mda mwingine umeambatana na harufu k**a shombo ya samaki dawa ni 25,000/= tu

Kwa changamoto zingine zote uzazi k**a vile
👉PID
👉UTI SUGU
👉Hormones imbalance
👉Mirija kuziba au kujaa maji
👉Uvimbe kwenye kizazi
👉Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Ukavu ukeni
👉Bawasili
👉Umetafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio
Na Changamoto zingine zote zinazohusu uzazi Tutafute tukusaidie suluhisho la uhakika

Kwa ushauri zaidi piga au Whatsapp #0620290755

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam
16108

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anna afya tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Anna afya tips:

Share

Category