Afya leo

Afya leo Nawasaidia watu kutatua changamoto za kiafya kwa kutumia virutubisho (nutritional supplements)

K**a Umekuwa Ukipiga Round Moja tu Unashindwa kabisa kuendelea na Round zinazofuata Basi Usihofu....Nmekuelekeza Namna B...
18/07/2025

K**a Umekuwa Ukipiga Round Moja tu Unashindwa kabisa kuendelea na Round zinazofuata Basi Usihofu....

Nmekuelekeza Namna Bora Yakufanya ili Uweze Kuendelea na Round Zinazofuata kirahisi

๐Ÿ‘‡ Ili uweze kuendelea kwa haraka baada ya round ya kwanza:

โœ… Pumzika kwa Dakika 2โ€“5:
Usichanganyikiwe, pumzisha mwili kwa dakika chache huku mkiwa mnakumbatiana na kupapasana bila kuwa na presha. Usilazimishe Kuendelea hapo hapo utafeli Brother ๐Ÿ˜‚.

โœ… Nafasi ya Kupumua:
Vuta pumzi kwa kina mara kadhaa na kuiachia, hii husaidia kushusha presha na kurudisha nguvu haraka.

โœ… Usiguse Simu wala Usifikirie Sana:
Ubongo unahitaji utulivu kwaio usihamishe mawazo yako mbali na mwenza wako kuwa nae karibu ikiwezekana mkumbatie kabisa.

โœ… Tumia Lishe Sahihi na Virutubisho Asilia:
Vyakula vyenye L-Arginine, Zinc, na Ginseng husaidia kurejesha nguvu ndani ya muda mfupi.

โœ… Epuka Majuto au Hofu:
Usije ukajutia Wala kuweka hofu ya aina yoyote kwa kufika kileleni maana hio ni hali ya kawaida kwa kila mwanaume .Ukiweka hofu tu tayari unajimaliza maana Msongo wa mawazo huchelewesha mwamko wa pili. Ukijiamini na ukatuliza Akili utaona huchukui mda mrefu mnara unarudi Tena 5G

๐Ÿ“ŒUkiona Mbinu zote Zinafeli Jua tu Kwamba unahitaji Suluhisho ili umalize tatizo moja kwa moja

Unaweza unanicheki kwa namba hii 0624993247
Ntakupa Muongozo sahihi kulingana na changamoto yako ilivyo

๐Ÿ“ฉ Afya leo

Sababu Zinazoathiri Nguvu za Kiume ,Bila Wanaume Kujua...Wanaume wengi hujilaumu au kuhisi wamerogwa wanapopoteza nguvu ...
17/07/2025

Sababu Zinazoathiri Nguvu za Kiume ,Bila Wanaume Kujua...

Wanaume wengi hujilaumu au kuhisi wamerogwa wanapopoteza nguvu zao za kiume. Lakini ukweli ni kwamba, matatizo haya mengi yanatokana na maisha yetu ya kila siku.

๐Ÿ‘‡ Hizi ndizo sababu kuu 5 zinazoharibu nguvu za kiume kimya kimya Bila Wewe Kujua:

๐Ÿ”ด 1. Msongo wa Mawazo (Stress):
Unapokosa utulivu wa akili, mwili wako hushusha homoni ya testosterone (homoni ya kiume) kwaio taratibu unaanza kupoteza sifa za mwanaume aliekamilika

๐ŸŸก 2. Lishe Duni:
Vyakula vya mafuta, sukari, na pombe vinaziba mishipa ya damu. Damu isipopita vizuri kwenye maeneo nyeti, itakupelekea kushindwa kuhimili tendo vzr maana msumari hautasimama imara.

๐Ÿ”ด 3. Kukosa Usingizi Bora:
Unapopata Usingizi mzuri unaupa nafasi mwili kurekebisha homoni. Ukijikuta uko bize sana ukashindwa kulala vizuri Walau masaa 6 Hadi 8 Utajikuta Nguvu zinaanza kupungua

๐ŸŸก 4. Kukosa Mazoezi:
Mazoezi husaidia mwili kuwa active mda wote ,pia husaidia Mzunguko wa damu kuwa vzr maeneo yote ya mwili hii husaidia hata Nguvu Zako kuwa bora

๐Ÿ”ด 5. Kuishi Bila Kupima au Kutafuta Msaada: Mwanaume usipojua hali ya afya yake ya ndani (tezi dume, presha, sukari), unakuwa ni k**a unaishi Gizani lolote linaweza tokea

โžก๏ธUkiona Unawahi kufika kileleni ,unashindwa kurudia kwa wakati ,mashine inasimama legelege ,unachoka sana wakati wa tendo n.k ....
Ni taarifa kuwa Mambo hayako sawa kwaio chukua hatua mapema kabla Mambo hayajaharibika zaidi

๐Ÿ“ฉ DM kwa ushauri binafsi & njia salama za kurejesha nguvu zako.
Au click neno WhatsApp chini ya post kufahamu zaidi

๐Ÿ”น Afya leo

WANAUME WENGI WANAVAA USO WA "SHUJAA" WAKATI NDANI WANAVUNJIKA KIMYA KIMYA...Ukiona hizi dalili kwa Mwanaume, ujue kuna ...
14/07/2025

WANAUME WENGI WANAVAA USO WA "SHUJAA" WAKATI NDANI WANAVUNJIKA KIMYA KIMYA...

Ukiona hizi dalili kwa Mwanaume, ujue kuna kilio kisicho na sauti:

1๏ธโƒฃ Anapenda Giza Totoro Wakati wa Tendo
๐Ÿ‘‰ Sio kwamba anapenda mapenzi gizani, ni kuogopa aibu ya kushindwa kuhimili tendo.

2๏ธโƒฃ Anakimbilia Usingizi Baada ya Round ya Kwanza
๐Ÿ‘‰ Mwili umechoka ,Hana uwezo wakurudia tendo kwa wakati.

3๏ธโƒฃ Anatengeneza Visababu Kabla ya Tendo
๐Ÿ‘‰Utasikia Ooh "Nimechoka", "Leo nina stress", "tuangalie movie" sababu zisizoeleweka.

4๏ธโƒฃ Huchukia Mazungumzo ya Mapenzi
๐Ÿ‘‰ Anakuwa mkali au anakwepa kabisa mada ya chumbani.

5๏ธโƒฃ Ni Simba Kwa Watu, Kinyonge Kwa Mwenza Wake
๐Ÿ‘‰ Anavaa mask ya ujasiri kwa watu, lakini moyoni hana tena nguvu wala kujiamini.

๐Ÿ’กUkweli ni kwamba, changamoto hii haihitaji aibu wala kujilaumu.
Sababu zinaweza kuwa msongo wa mawazo, lishe duni, uchovu au mfumo mbovu wa maisha.
Lakini SULUHISHO LIPO ni SALAMA na LAKUDUMU.

๐Ÿ“ฉ DM sasa hivi ili kupata msaada, ushauri na njia ya kurejesha NGUVU, FURAHA na KUJIAMINI KWAKO k**a mwanaume ๐Ÿ’ช

Au click neno WhatsApp chini ya post

USISUBIRI HALI IWE MBAYA ZAIDI ๐Ÿ”ฅWanaume wengi wamekuwa wakinyamaza kimya wanapopitia changamoto ya kupungua kwa nguvu za...
12/07/2025

USISUBIRI HALI IWE MBAYA ZAIDI ๐Ÿ”ฅ

Wanaume wengi wamekuwa wakinyamaza kimya wanapopitia changamoto ya kupungua kwa nguvu za kiume ,wakiamini ni jambo la kawaida au la kupita....

Lakini ukweli ni kwamba: hali ikiachwa bila kushughulikiwa, huweza kuathiri afya ya kisaikolojia, mahusiano, na heshima yako binafsi.

๐Ÿ“Œ Dalili k**a kushindwa kudumu muda mrefu, kukosa msisimko wa kutosha, au kushindwa kabisa kushiriki tendo si za kupuuzia.
๐Ÿ“Œ Hatua ndogo unayochukua leo, itakuwa ni hatua Bora ambayo itakuepusha na gharama kubwa ambazo utazitumia kutatua tatizo likiwa kubwa zaidi

Chukua hatua mapema. Usisubiri hadi hali iwe mbaya zaidi.

Kwa Tiba na Ushauri Usisite Kunipigia Kwa Namba Hii 0624 993 247

Au click namba hio โ˜๏ธkunichek WhatsApp

Mwanaume Ukiwa Imara Sehemu Hizi Nne (4) Tatizo la NGUVU ZA KIUME na TEZI DUME Hutolipata Kabisa...Ili Uwe Na Afya Imara...
17/06/2025

Mwanaume Ukiwa Imara Sehemu Hizi Nne (4) Tatizo la NGUVU ZA KIUME na TEZI DUME Hutolipata Kabisa...

Ili Uwe Na Afya Imara Katika Afya Ya Uzazi, Tendo la Ndoa na Tezi Dume ,
Mwanaume Unapaswa Kuwa na Afya Imara Katika Maeneo Haya Manne:

1. BLOOD CIRCULATION SYSTEM (Mzunguko Mzuri wa Damu)*

Unapopata hisia na kuhitaji tendo ni lazima mfumo wa Mzunguko wa damu uwe active, Damu itiririke kwa wakati sahihi Kutoka Kwenye Moyo kwenda kwenye tissue za uume na kuujaza ili uwe imara na ngangali tayari kwa tendo.

Ukiwa na mfumo mbovu wa Mzunguko wa damu kwenye uume, au mishipa ya damu kuwa michafu, dhaifu, yenye mafuta machafu basi uume utashindwa kupokea damu na mwisho uume utashindwa kusimama au Utasimama Ukiwa Legelege na kusinyaa mapema wakati wa Tendo

2. S*XUAL STAMINA (Nguvu na Stamina)

Hapa Mwanaume lazima work rate yako iwe na stamina sahihi ya kumudu tendo la ndoa na mwanamke uliye naye, kila mwanamke anamahitaji yake kihisia, mwingine dk 4 Amefika kileleni na mwingine dk 16-20 ndipo anafika.

Mwanaume unatakiwa kuwa na duration nzuri ya kuperfom tendo, aidha dk 5 - 10 kwa round ya kwanza, dk 10 - 24 kwa round zinazoendelea

Au dk 20+ kwa round ya kwanza, dk 35+ kwa round ya pili, hapo ni tofauti kati ya mwanaume na mwanaume kulingana na factors za afya, saikolojia, hormones nk.

Inapofika mahali hauna stamina, dk kiduchu umeshamaliza, unakosa hamu ya kurudia au unashindwa kabisa kuendelea hiyo ni shida na unapoteza sifa ya mwanaume rijali.

3. EJ*******ON (Kufika kileleni)

Mwanaume yeyote anayekuwa rijali ni lazima amalize kwa kumwaga manii (sperms) ishara ya kufika kileleni, Mwanamke aliyekamilika anahitaji sana kufikiwa na bao kamili ukeni mwake.

Bao la mwanaume lina uzani wake, uwingi wa mbegu na mobility yake.(Uwezo wa mbegu za kiume kuogelea kupitia ute wa Mwanamke ili kulifikia yai la Mwanamke na kulirutubisha)

K**a ni bao kidogo, au haumwagi kabisa, au unamwaga mbegu majimaji na si mnato, au nyingi ila chafu basi unapoteza sifa ya mwanaume rijali.

Hakikisha unapata bao zuri, lenye ujazo, lenye afya na harufu safi.

4. GOOD DIGESTIVE SYSTEM (Mmeng'enyo Bora wa Chakula)

Mmeng'enyo bora wa Chakula, unasaidia kuwa na Ufyonzwaji Mzuri wa Virutubisho Mwilini.

Mwanaume Ukiwa Huna Mmeng'enyo Mzuri wa Chakula Matatizo ya Tumbo Kujaa Gas, Vidonda vya Tumbo, Hernia, Kutopata Choo Kwa Wakati na Choo Ngumu itakuwa ni Sehemu Maisha Yako.

Hali hii Huathiri sana Uwezo Wa Mwanaume Katika Tendo pia Katika Afya ya Tezi Dume.

Nini Ufanye Kumaliza Changamoto Hii Moja Kwa Moja......

Tumia MEN VITALITY/ BEDROOM PACKAGE

Hii ni seti ya bidhaa (virutubisho) iliyoundwa mahsusi kusaidia afya ya mwanaume (nguvu za kiume, tezi dume (prostate) na uzazi kwa ujumla)
Bidhaa hizi zina virutubisho asilia vinavyosaidia mwili kujijenga, kurekebisha homoni, na kuboresha mzunguko wa damu.

Faida Kuu za Kutumia BEDROOM PACKAGE kwa Mwanaume

1. Kuongeza Nguvu za Kiume
โœ…Huongeza stamina na nguvu ya mwili kwa ujumla.
โœ… Huchochea hamu ya Tendo la Ndoa (libido)
โœ…Husaidia kwa tatizo la kushindwa kusimamisha uume au kumaliza mapema

2. Afya ya Tezi Dume (Prostate Health)
โœ…Husaidia *kupunguza uvimbe* wa tezi dume na kuurudisha katika size yake ya kawaida.
โœ… Huondoa dalili zote za Tezi Dume k**a vile *kukojoa mara kwa mara*, maumivu ya nyonga, au *kukojoa usiku mara nyingi, kuumwa kiuno.
- Husaidia *kuzuia matatizo ya Tezi Dume (Prostate)*, hasa kwa wanaume waliovuka miaka 35.

3. Kuboresha Homoni ya Kiume (Testosterone)
โœ…Kutokana na kuwa na Virutubisho k**a vile *Maca, Zinc, na Vitamin D* huchochea uzalishaji wa Testosterone (hormone ya kiume )
โœ…Husaidia kuondoa hali ya uchovu, msongo wa mawazo, na kupungua kwa nguvu za kiume.

4. Kuboresha Mzunguko wa Damu
โœ…Bidhaa k**a *ARG+* husaidia kupanua mishipa ya damu (Vasodilation) na kuongeza mtiririko mzuri wa damu, hili ni jambo muhimu sana kwa kuboresha Nguvu za kiume.

5. Kusafisha Mwili na Kuimarisha Mfumo wa Kinga
โœ…Kuna juice ya Aloe Vera ambayo husaidia kusafisha mwili na kusaidia usagaji wa chakula, detox, na kufyonzwa kwa virutubisho.
โœ…Hii huleta Afya bora kwa Mfumo wa Uzazi na Tezi Dume pia.

๐Ÿ“ฆ Bedroom Package(Men Vitality) ni Suluhisho Sahihi na la Kudumu la Changamoto Ya Tezi Dume na Nguvu za Kiume.

*NIMETOA OFA YA MWEZI HUU WA JUNE

๐ŸŸขUtaipata Full Dozi Hii Kwa Tsh. 480,000/=

๐ŸŸขNusu Dozi Utaipata Kwa Tsh. 245,000/= na

๐ŸŸขRobo Dozi Utaipata Kwa Tsh. 165,000/=

Wahi Mapema Kabla OFA hii Haijafungwa.

Unaweza gusa neno WhatsApp chini ya post hii
Au ukantumia ujumbe au kunpigia kwa namba hii 0624 993 247 ili nkupe Muongozo sahihi
Na namna ya kupata mahali ulipo

Karibu Sana ๐Ÿ™

๐Ÿ”ฅ *TESTOSTERONE IKISHUKA NA NGUVU ZINASHUKA* ๐Ÿ’ชTestosterone ni homoni kuu kwa wanaume, inayozalishwa kwenye korodani na s...
20/02/2025

๐Ÿ”ฅ *TESTOSTERONE IKISHUKA NA NGUVU ZINASHUKA* ๐Ÿ’ช

Testosterone ni homoni kuu kwa wanaume, inayozalishwa kwenye korodani na seli za Leydig. Homoni hii huchochea ukuaji wa misuli, viungo vya uzazi, mifupa, na hata afya ya akili ๐Ÿง .

Lakini kadri umri unavyosonga, kiwango cha uzalishaji wa testosterone hupungua. Tafiti zinaonyesha kuwa kufikia umri wa miaka 60, kiwango cha testosterone hushuka kwa asilimia 50 ๐Ÿ•ฐ๏ธ. Hata hivyo, leo hii, hata wanaume wadogo wanakutana na tatizo hili kutokana na msongo wa mawazo ๐Ÿ˜Ÿ, lishe duni ๐Ÿ”, utumiaji wa madawa ๐Ÿ’Š, na mtindo wa maisha usiofaa.

๐Ÿšจ *DALILI ZA KUSHUKA KWA TESTOSTERONE* :

Wakati testosterone inashuka, mwanaume anaweza kukutana na changamoto zifuatazo:

โŒ Kukosa hamu ya tendo la ndoa ๐Ÿ’
โŒ Maumbile kuwa madogo na ukosefu wa nguvu za kiume ๐Ÿ›๏ธ
โŒ Kupungua kwa misuli na kuongezeka kwa mafuta mwilini ๐Ÿ•
โŒ Kupata msongo wa mawazo na uchovu wa mara kwa mara ๐Ÿ˜ซ
โŒ Kupungua kwa kujiamini ๐Ÿ˜”
โŒ Kuongezeka kwa hatari ya magonjwa ya moyo โค๏ธ

๐Ÿ’ก *JINSI YA KUREJESHA NA KUTUNZA TESTOSTERONE KATIKA KIWANGO SAHIHI* :

Ili kuhakikisha testosterone yako inabaki katika hali nzuri, zingatia haya:

โœ… *KULA LISHE BORA* ๐Ÿ

Kula vyakula vyenye mafuta mazuri k**a parachichi ๐Ÿฅ‘, karanga ๐Ÿฅœ, na samaki wa mafuta (salmon ๐ŸŸ).

Ongeza protini kutoka kwa mayai ๐Ÿณ, nyama isiyo na mafuta ๐Ÿ—, na kunde ๐ŸŒฑ.

Epuka vyakula vya sukari nyingi na vyakula vya kusindikwa ๐Ÿฉ.

โœ… *FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA* ๐Ÿ‹๏ธ

Mazoezi ya uzito (strength training) na HIIT huchochea mwili kuzalisha testosterone zaidi.

Epuka kukaa bila mazoezi kwa muda mrefu.

โœ… *PATA USINGIZI WA KUTOSHA* ๐Ÿ›Œ

Usingizi wa masaa 6-8 husaidia mwili kuzalisha testosterone kwa kiwango cha juu.

Kulala vibaya huathiri homoni zako na kupunguza nguvu za kiume.

โœ… EPUKA MSONGO WA MAWAZO ๐Ÿ˜ฃ

Msongo wa mawazo husababisha uzalishaji wa Cortisol, homoni inayopunguza testosterone.

Tumia njia za kupumzika k**a meditation ๐Ÿง˜โ€โ™‚๏ธ, mazoezi, na kupumzika.

โœ… TUMIA VIRUTUBISHO ASILIA VYA KUONGEZA TESTOSTERONE ๐Ÿ’Š
Mbali na lishe bora,
Virutubisho vitakusaidia kuongezea pale ulipopungukiwa na kupata Matokeo ya Haraka zaidi na hivi ni virutubisho ambavyo vinagusa Hilo eneo moja kwa moja

1๏ธโƒฃ Forever Multi-Maca โ€“ Husaidia kuongeza stamina ๐Ÿ’ฅ, nguvu za mwili ๐Ÿ’ช, na uzalishaji wa testosterone.
2๏ธโƒฃ Argi+ โ€“ Ina L-Arginine, amino acid inayosaidia mzunguko wa damu, kuongeza nguvu za kiume, na kuchochea testosterone.
3๏ธโƒฃ Forever Bee Pollenโ€“ Hupunguza uchovu, huimarisha stamina, na kuongeza nguvu za mwili.
4๏ธโƒฃ Forever Vitolize for Menโ€“ Inasaidia afya ya uzazi wa mwanaume na kuongeza testosterone.
5๏ธโƒฃ Forever Aloe Vera Gel โ€“ Husafisha mwili na kusaidia mfumo wa mmengโ€™enyo wa chakula.

Unaweza kuvipata Ukiwa Sehemu yoyote nijulishe chini apa ntakupa Muongozo Pamoja na gharama zake

Hongera kwa kusoma Hadi mwisho naamini Kuna kitu umejifunza ๐Ÿ™

Ukihitaji kupata Virutubisho hivyo nitafte kwa hii namba 0624 993 247

KUTOKANA NA UMUHIMUNimekaa nikafikiria nikasema niwarudishie nini watu wangu wanguvu ambao mmekuwa mkinifuatilia na kuji...
20/12/2024

KUTOKANA NA UMUHIMU

Nimekaa nikafikiria nikasema niwarudishie nini watu wangu wanguvu ambao mmekuwa mkinifuatilia na kujifunza kutoka kwangu basi nikaona niwape zawadi maalumu. . .

Kwasababu tunaelekea kufunga mwaka na pengine unatamani uanze mwaka mpya huku ukiwa umemaliza tatizo lako la nguvu za kiume moja kwa moja basi hii ni kwaajili yako

Nimeamua Kuwasaidia watu 10 wa mwanzo katika msimu huu wa sikukuu kwa kuwapatia hii dozi maalumu kwa Bei ya Offer ili kuweza kutatua changamoto moja kwa Moja

K**a unapitia changamoto moja wapo Kati ya nlizozieleza kwenye hii post basi kuwa wakwanza kunicheki ili nikupe Muongozo wakuipata mahali ulipo na nikupatie Muongozo sahihi kuhakikisha tatizo lako linaisha

Unaweza nicheck kwa hii namba

Call/WhatsApp +255624993247

Au Gusa Neno whatsap chini ya Post kwa Maelezo zaidi

*Saikolojia Ya Mwanamke Katika Tendo Ipo hivi* . . .Mungu alipotuumba sisi wanadamu aliamua kutuweka katika jinsia mbili...
05/12/2024

*Saikolojia Ya Mwanamke Katika Tendo Ipo hivi* . . .

Mungu alipotuumba sisi wanadamu aliamua kutuweka katika jinsia mbili tofauti, jinsia ya kiume na jinsia ya k**e

Na baada ya kutuweka katika jinsia hizo Mbili alitufanya tutofautiane katika mambo mbalimbali,

Alitutofautisha katika maumbile, Akili, mawazo hisia na mambo mengineyo ili tuweze kusaidiana katika mambo mbalimbali.

Katika saikolojia ya tendo la ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume anavyolichukulia tendo la ndoa na mwanamke anavyolichukulia tendo la ndoa.

Ni muhimu kwa kila mwanaume kufahamu utofauti huo ili iwe rahisi kwake kumridhisha mwenza wake kihisia au kumfikisha kileleni.

Twende moja kwa moja katika kuona saikolojia ya Mwanamke katika tendo la ndoa ukilinganisha na saikolojia ya mwanaume.

๐ŸŸข *HISIA ZA MWANAMKE NI ZA KUTAFTA*

Linapokuja swala la hisia katika tendo la ndoa mwanaume na Mwanamke hutofautiana kwa kiasi kikubwa,

Hisia za Mwanamke zipo mbali sana na ni za kutafuta ukilinganisha na hisia mwanaume,

Na ndio maana Mwanaume unaweza kumvulia mwanamke nguo zote ukasimama mbele yake hata masaa mawili lakini asipate hisia yoyote ya kushiriki tendo.

Lakini mwanamke akimvulia mwanaume nguo mnara husimama hapo hapo na hisia za tendo hupanda.

Hapa tunajifunza kwamba unapotaka kushiriki tendo la ndoa na mwanamke usifike tu na kuanza kufanya,

Anza kwa kufanya maandalizi ( Fore Play ) ili kupandisha hisia zake, mshike sehemu mbalimbali zinazoamsha hisia zake na baada ya hapo ndio uendelee na mambo mengine.

๐ŸŸข*TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE NI MAISHA LAKINI KWA MWANAUME NI STAREHE TU*

Kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke namna wanavyolichukulia tendo la Ndoa,

Mwanamke anapokubali kushiriki tendo la ndoa na wewe inamaanisha kwamba amekukubali, amekuthamini, na ni k**a amekupa maisha yake.

Kwa ufupi ni kwamba mwanamke hashiriki tendo la ndoa na mwanaume asie mpenda na kumthamini labda kahaba ndio anaweza hilo.

Tofauti na ilivyo kwa mwanaume tendo la ndoa yeye anachukulia ni k**a starehe tu.

Anaweza kushiriki na mwanamke yeyote yule awe ana mthamini mwanamke huyo au hamthamini.

Hapa tunajifunza kwamba k**a unataka mwanamke alifurahie tendo la ndoa hakikisha unamtengenezea mazingira ya kukufanya akupende na kukuthamini ili muweze kulifurahia tendo kwa Pamoja

๐ŸŸข *STRESS ,MIGOGORO AU WASIWASI VINAWEZA SABABISHA MWANAMKE ASIRIDHIKE NA TENDO*

Mwanaume unatakiwa kutambua kuwa ni ngum sana kumfikisha kileleni Mwanamke ambae upo nae kwenye mgogoro au Mwanamke mwenye stress,

Tofauti na ilivyo kwetu sisi wanaume pamoja na kwamba Stress zinaweza kuathiri hisiร  kwa namna moja au nyingine,

Lakini kwa upande mwingine mwanaume anaweza kuwa na Stress na migogoro na bado akafika kileleni vizuri tu na akafurahia tendo.

Hivyo basi ni muhimu kwa wewe mwanaume kuweka mazingira ya mke wako sawa na ujitahidi kumpunguzia Stress, na ujitahidi kusuluhisha migogoro iliyopo baina yenu ili kuweza kumridhisha mwenza wako kimapenzi.

๐ŸŸข *TENDO LA NDOA PEKEE HALITOSHI KUMFIKISHA MKE WAKO KILELENI*

Wanaume wengi huamini kwamba akiwa na uwezo wa kupiga show kwa muda mrefu, akiwa na uwezo wa kurudia Tendo, akiwa na Mashine kubwa anaamini kwamba inatosha kumfikisha mwenza wake kileleni,

Lakini kumbe kuridhika kwa mwanamke kwenye tendo la ndoa kunategemea pia namna unavyoishi nae, unavyomjali na kumthamini,

Hebu nikuulize swali mara ya mwisho kumletea zawadi mke wako anayoipenda ilikuwa ni lini??

Mara ya mwisho kumtoa out mke wako ilikuwa ni lini??

Kiufupi ni kwamba namna unavyoishi na mwanamke nje ya tendo la ndoa inaakisi k**a atalifurahia tendo na kufika kileleni.
Mambo mnayofanya Kabla Ya kuanza Tendo Yanaleta Picha ya Furaha au Huzuni Wakati wa tendo?

๐ŸŸข *MWANAMKE HUCHELEWA SANA KUFIKA KILELENI KULIKO MWANAUME*

Hii ni saikolojia ya kimaumbile ambayo kila mwanaume anatakiwa kuijua.

Kiasili ni kwamba Mwanamke hafiki kileleni kirahisi k**a ilivyo kwa mwanaume.

Tafiti zinaonesha kwamba mwanamke anahitaji dakika 15 Mpaka 27 ili kufika kileleni,

Hili linatufundisha kwamba kutegemea tendo la ndoa pekee kumfikisha Mwanamke kileleni K**a Mwanaume Afya yako ya Tendo la Ndoa ni Dhaifu, Inaweza kuwa ni ngum sana kwako.

Kwa sababu k**a wewe una tatizo la kufika kileleni mapema, wewe utamaliza na yeye atakuwa bado,

Kutokana na hilo ndio maana wataalamu wanashauri jitahidi kuanza na maandalizi mazuri kabla ya tendo ( Foreplay ) ili kukurahisishia wewe mwanaume unaewahi kufika kileleni kumfikisha mwenza wako kileleni.
Huku ukiendelea kutafuta njia ya kutibu tatizo lako.

By the Way

Saikolojia ya mwanamke ni pana sana lakini haya niliyokufundisha leo ni baadhi tu na ya muhimu kwa wewe mwanaume kuyajua ili kukurahisishia katika safari yako ya Kumfikisha Mwenza Wako Kileleni.
K**a una Changamoto ni vizuri kuifanyia kazi mapema

Nicheck kupitia namba hii niweze kukusaidia๐Ÿ‘‡

Call/WhatsApp 0624 993 247

๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—ž๐—˜ ๐—ž๐—จ๐— ๐—ช๐—”๐—š๐—” ๐— ๐—”๐—๐—œ ๐Ÿ’ฆSasa iko hivi almost kila mwanamke anauwezo wa kumwaga maji ni suala la kujua batani gani uiguse ...
23/11/2024

๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—ž๐—˜ ๐—ž๐—จ๐— ๐—ช๐—”๐—š๐—” ๐— ๐—”๐—๐—œ ๐Ÿ’ฆ

Sasa iko hivi almost kila mwanamke anauwezo wa kumwaga maji ni suala la kujua batani gani uiguse amwage maji ya mteraaa

Na asikwambie mtu mwanamke ukimfanya akamwaga maji hawezi kukusahau trusrt me

๐—ก๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐—ป๐—ป๐—ฒ ๐Ÿฐ:

๐—ฌ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ....
Hakikisha ameloana na amelainika vya kutosha ndipo uingize dushelele yako

Hapa wakuu unaniagusha sana...

hakikisha unamchezea maeneo mengine ndipo uchezee uke na finaly uingize dushelele

Usikurupuke yaani ndo mko kitandani we ushaanza kuchezea uke hapo hapo ushaingiza

aysee hapo hawezi kukojoa

Sawa, umeelewaaa???

๐—ก๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—ถ...
Mchezee G sport

Najua unajua G spot ilipo

K**a hujuia ni kwamba G spot ni eneo lililoko ukeni ambalo likishikwa mwanamke anasisimka kuliko hata anapo chezewa kisimi

G spot ni kijieneo flani hivi kinapatikana ukeni sehemu ya juu kwa ndani...

Yaani unapoingiza vidole k**a inch 2 tu kwa juu unakutana na eneo hilo

Na namna ya kupachezea hakikisha unaanza kupachezea taratibu,
...usitumie nguvu k**a unapiga gitaa na hakikisha kucha zako ni fupi kwa sababu ukimchezea vibaya akahisi maumivu hawezi kumwaga.

๐—ก๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚....
Hakikisha unamuangalia anavyo respond ...

Yaani wakati unamchezea G spot muangalie usoni au mskilizie anavyoitika...

Na akikwambia hapo hapo usijitie ufundi wa kubadilisha

Fanya hivyo hivyo usiongeze wala kupunguza spidi fata anachokwambia ..

Wengi mnakwama hapo akikwambia hapo hapo,, like that we unaanza kubadilisha mapigo unaharibu mzeeee๐Ÿ˜ณ

๐—ก๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ป๐—ฒ....
Mfanya awe confortable(huru) kukojoa

Najua hapa wanaume wengi mtajiuliza kivipi..

Iko hivi suala la kukojoa ni jambo ambalo k**a hujalizoea unaweza kuona k**a ni baya na wakati mwingine mwanamke anaweza kujiona k**a ana kasoro....

Kwa hiyo mfanye awe confortbale awe huru kwako ajiachie trust me utaona ana kojoa shwaaaa ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆ

Na k**a akihisi k**a anataka kukojoa mwambie akojoe wala asiogope kwa sababu ule sio mkojo wa kawaida๐Ÿ˜

๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถe๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ธ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚๐Ÿ™Œ

Kwaushauri na tiba nipigie Sasa 0624 993 247

Pia unaweza follow Afya leo kujifunza zaidi

Nguvu za Kiume Zibaki Historia โ€“ Usikubali Zikupunguzie Kujiamini, Suluhisho Lipo!Kupungua Kwa Nguvu Za Kiume Ni Changam...
10/10/2024

Nguvu za Kiume Zibaki Historia โ€“ Usikubali Zikupunguzie Kujiamini, Suluhisho Lipo!

Kupungua Kwa Nguvu Za Kiume Ni Changamoto inayowapata wanaume wengi, lakini si lazima iwe sehemu ya maisha yako. Ikiwa unakabiliana na hali hii, usijali, hujachelewa. Kuna suluhisho salama, la uhakika na lililothibitishwa ambalo linaweza kusaidia kurejesha uwezo wako wa kiume na kuimarisha afya yako Kwaujumla. . .

Suluhisho Nalokupatia Linaenda Kukusaidia Kwa Njia salama na ya kitaalamu ili urudishe nguvu zako na kujiamini. Haijalishi umekuwa ukikabiliana na tatizo hili kwa muda gani, hatua unayochukua sasa inaweza kurejesha furaha yako na kukuletea maisha yenye utulivu.

Nakupatia....
๐ŸŒŸ Suluhisho La Kitaalamu Na La Uhakika

๐ŸŒŸ Hakuna Tena Wasiwasi au Aibu

๐ŸŒŸ Rudisha Nguvu Zako Na Kujiamini

Wasiliana nami leo kwa ushauri wa kitaalamu.
Kupitia namba hii +255624993247

Ntakusaidia kwenye Maeneo yafuatayo

1.Kufahamu chanzo Cha tatizo lako ili ukipata Tiba Tatizo Lisijirudie

2.Kukupa Muongozo Sahihi Namna Gani ufanye Ili Umalize tatizo Kwa Njia salama

3. Mbinu Gani Utumie ili Kustahimili tendo Uwe na Uwezo wakumfikisha mwenza wako Kileleni kirahisi kabla yakufika wewe

4. Nini Ufanye Baada ya Kumaliza Round ili urudi mchezon Kirahisi Chini ya DAKIKA 5

Karibu Sana ๐Ÿ™

Follow Afya leo
Call/whatsap +255624993247

JINSI PUNYETO INAVOATHIRI UWEZO WAKO KATIKA TENDO NA NAMNA YA KUTATUA MADHARA YAKEPunyeto huathiri ubongo na Mishipa Ya ...
29/09/2024

JINSI PUNYETO INAVOATHIRI UWEZO WAKO KATIKA TENDO NA NAMNA YA KUTATUA MADHARA YAKE

Punyeto huathiri ubongo na Mishipa Ya Uume kwa asilimia kubwa, Hivyo ukihitaji kutatua madhara ya punyeto unahitaji kushughulikia Saikolojia Yako Katika Ubongo, Mishipa Ya Damu na Misuli Ya Uume.

Hii inamaanisha HAKUNA MADAWA yanayoweza kumaliza Matizo haya...
Soma hapa โคต๏ธโคต๏ธ

1. Kuchoka Kingono (sexual exhaustion):

Unaweza kuhisi kuchoka sana na kupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na mwenzi wako.

2. Matatizo ya kisaikolojia:

Hii ni pamoja na kuwa na hisia za aibu, au kujishuku kwasababu punyeto hufanywa Kwa Siri na ni kitendo cha aibu

3. Kupungua kwa msisimko wa kimapenzi:

Baadhi ya wanaume wanaweza kuwa na tatizo la kupata msisimko wanapokuwa na mwenzi kutokana na kuzoea mbinu fulani wakati wa kujichua ambazo hazifanani na tendo la ndoa halisi.

4. Uume kutokusimama kwa uharaka au kusimama ukiwa legelege:

Hii ni kwasababu punyeto hupunguza hisia na kuharibu mishipa ya uume inayopeleka damu kwenye uume.

5. Uume kuwa mfupi na mwembamba

Ni kwasababu mishipa inayopokea damu na tishu zinazo imarisha misuli ya uume huharibiwa sana na punyeto.

JINSI YA KUTATUA CHANGAMOTO HIZO

A. Kisaikolojia
1. Jisamehe mwenyewe:

Ni kweli umepiga punyeto umejiharibu, uwezo umepungua. Acha kujihukumu kupita kiasi. Ona ulifanya kwa kutokujua, ona ni kosa la kawaida k**a makosa mengine.

Hii itakusaidia kuondoa msongo wa mawazo, wasiwasi na kutokujiamini. Ukifanya hivo, kiwango cha homoni ya testosterone kitaanza kuzalishwa tena vizuri mwilini mwako.

B. Utimamu wa Mwili.
2. Chukua hatua kufanyia kazi Tatizo Lako Mapema:

Tumia Program ya Virutubisho Itakayokusaidia kuondoa tatizo la kuwahi kumaliza tendo la ndoa, Uwezo wa Kurudia tendo nk.
Anza Kutumia Program Nzima, Nusu Program au Robo ya Program taratibu ili uweze kuanza kuondoa changamoto yako mapema.

Ikiwa haujawahi kupiga punyeto ni vyema Tuzungumze ili nifahamu changamoto Yako imeanzia wapi.

Kwahiyo Ukitumia Program ya Virutubisho inakupa matokeo haya:
1. Kurejesha uwezo wa kutumia Hadi zaidi ya dakika 15 Katika Tendo
2. Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
3. Kurejesha uwezo wa kurudia zaidi ya bao moja
4. Kuongeza uwezo wa kusimamisha haraka uume na
5. Kurejesha Uwezo wa Uume kuwa mgumu na Imara.

Ili Kupata Muongozo Sahihi Wakumaliza Changamoto Yako ...
Ntumie Ujumbe Whatsap kwenye namba 0624 993 247

Au Click Neno whatsap kwenye chini ya post...

Ntakupatia Muongozo Wa Bure na Pia Ntakuelekeza ni Program gani Utumie Kulingana na Tatizo Lako Lilivyo Kwasasa

Karibu Sana ๐Ÿ™

Kutokana Na Janga La Kuwahi Kufika Kileleni Kuzidi Kuongezeka Siku Hadi Siku ,Nimekuandalia Mbinu Ambazo Zitakusaidia Ku...
08/06/2024

Kutokana Na Janga La Kuwahi Kufika Kileleni Kuzidi Kuongezeka Siku Hadi Siku ,Nimekuandalia Mbinu Ambazo Zitakusaidia Kumaliza Hio Changamoto. Twende Pamoja Mwanzo Hadi Mwisho . . .

1. START - STOP METHOD

Hii njia unaitumiaje . . .
Unapokuwa Unashiriki Tendo Ukihisi Tu Unataka Kumwaga Chomoa Mashine Na Tulia K**a Sekunde 30 Hadi dkk 1...
Hii Inasaidia Kupunguza Joto Na Msisimko Hivyo Hauta Mwaga

2. THE SQUEEZING METHOD

Hii Ni Njia Ya Kubana Msumari Kwenye Kichwa Unaweka Katikati Ya Vidole Viwili Halafu Unaubana Kwasekunde 30 Hadi dkk1 ....
Fanya Hivyo Pale Ambapo Unahisi Unataka Kufika Kileleni Na Hutakiwi Kusubiri Hadi Mbegu Zitoke Hapo Utakuwa Umefeli Kabisa๐Ÿ˜€
Au Njia Hii Unaweza Ifanya Kwa Kuchomoa Uume na Kuzuia Shahawa K**a Unavyozuia Mkojo

3.DESTRUCTING FEELING

Hii Ni Njia Ya Kuidanganya Akili Yako , Kiaje Sasa....
Ukiwa Kwenye Game Usiweke Concentration Yote Pale Jaribu Kufikiri Kitu Kingine Ili Kupoteza Mawazo ,Mfano๐Ÿ‘‡..
Taja Wachezaji Wa Mpira Wa Timu Unayoipenda.....
Au Hesabu namba mfano 100, 99, 98 ,97 .....
Hio Unafanya Kimyakimya bila Kutoa Sauti

4. WEAR A CONDOM

Hii Njia Inahusisha Kuvaa Condom ...
Ukivaa Condom Unapunguza Stimulation Kutokana na Unakuwa Umeondoa Mgusano Wa Moja Kwa Moja Hivyo Utachelewa Kufika Kileleni.

Condom Zipi ni Salama....
Aina Ya Dulex Condom Ndio Salama Na Ndio Inayopunguza Hizo Stimulation Ukilinganisha Na Condom Zingine

5.CHANGE S*X POSITION REGULARLY

Hii iko vipi .....
Ukiwa Kwenye Shoo Usitumie Style Moja Kwa Mda Mrefu Hii Itakufanya Uwahi Kumaliza...
Fanya Kidogo Halafu Badili Kabla Hujafika Kileleni Hii Itakufanya Utumie Mda Mrefu

6.SPEND MORE TIME ON FORE PLAY

Fanya Maandalizi Kwa Mda Mrefu ....
Sasa Hapa Usikurupuke Tu Kufanya Kitendo ๐Ÿ˜‚ Utakuja Uaibike
Tumia Mda Mrefu Kumuandaa Hii Itakusaidia Kwanza Kujiamini Na Itakuwa Ni Rahisi Kumfikisha Kileleni Na Utachelewa Kumaliza

7. DO LOUD KISS WITH SWEET WORDS

Moja Kati Ya Kitu Kitakachokufanga Udumu Kwa Mda Mrefu Ni Kuwa Unamkiss Mwenza Wako Huku Unampa Maneno Matamu๐Ÿ˜Š....
Hii Inampa Hamasa Na pia Haikufanyi Uconcentrate Sana Kwenye Kupump Mashine Hivyo Utachelewa Kumaliza

8. DON'T WAIT FOR ROUND TWO

Hapa Sasa Wengi Huwa Wanafanya Makosa ,Asee Ukifanya Hili kosa Unaweza Usiendelee Hadi Siku Nyingine๐Ÿค”
Unatakiwa Ufanye Nini.....
Ukishakuwa Umemaliza Round Ya Kwanza Usikae K**a Mtu Aliyekaa Kwenye Foleni Anasubiri Huduma ๐Ÿ˜€
Anza Kufanya K**a Wakati Ulipokuwa Unamuandaa ,Mshike ,Mkiss ,Romance n.k Utaona Mzigo Tu Wenyewe Unasoma 5G Chap๐Ÿ˜‚

9. STRENGTHEN YOUR PELVIC FLOOR MUSCLES

Hii Ni Njia Nyingine Ambayo Itakusaidia Kuchelewa Kufika Kileleni , Kiaje....
Hii inakuhitaji Ufanye Mazoezi Ya Kegeli ,Haya ni Mazoezi Muhimu Kwasababu Yatakusaidia Kupunguza Volume Ya Mrija Unaopitisha Shahawa Hivyo Hazitakuwa Zinatoka Kwa Haraka
Pia Mazoezi Haya Ya Kegeli Yanasaidia Kuimarisha Misuli Ya Uume
Ukitaka Kupata Sample Ya Mazoezi nicheck Whatsap 0624993247

10. DON'T BE QUIET DURING S*X

Msifanye Mapenzi K**a Maroboti๐Ÿ˜€ Mwambie Matamu Yakumpa Hamasa ...
Mwanamke Akiwa Anatoa Sauti Si Huwa Unaona Unapata Hamasa Eeh ....
Sasa Pia Na Wewe Inabidi Uwe unamwambia Maneno Mazuri ,Kwasababu Za Kimaadili siwez Yataja Hapa ๐Ÿ˜€๐Ÿซต

11. DISCOVER THE EXCITING PART OF YOUR PARTNER

Kila Mwanamke Huwa Anasehemu Zake Ambazo Ukimgusa Huwa Anaenjoy Zaidi Utazijuaje .....
Utazijua Kwakuongea Naye ,Sio Siku Mnafanya Kitendo NO Muulize Siku Za Kawaida Mkiwa Mnapiga Story
Hii Itakusaidia Hata Kumfikisha Kileleni Kwa Urahisi

12. SHOW APPRECIATION BEFORE AND AFTER S*X

Mpongeze Mpenz Wako๐Ÿ˜Š Na Msifie Kabla na Baada Ya Tendo
Hii Inaonyesha Hali Ya Kujali Na Upendo , Usimalize tu Shoo Kila Mtu Akashika Zake Hapana
Kwanini Unapaswa Ufanye Ivo .....
Hii ni Kwaajili Ya Kujenga Mahusiano Mazuri na Kuweka Maandalizi Mazuri Kwa Shoo Inayofuataโœ…๐Ÿ˜€
Enjoy
Follow Afya leo

Kwa Tiba na Ushauri
Call/Whatsap +255624993247

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00

Telephone

+255624993247

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya leo:

Share