03/01/2026
Asthma ni ile hali ya mtu kupata shida wakati wa kupumua na hutokea pindi mapafu yanapoingiza na kutoa hewa kwa tabu mnoo na ile hali inayoonekana kwa mgonjwa wa asthma huwa tunaita asthmatic condition.
Sababu za ugonjwa hutokea pindi njia za hewa(air ways) huwa zina sinyaa yaani zinakuwa nyembamba na kushindwa kupitisha hewa vizuri hivyo mahitaji ya hewa mwilini huwa makubwa kuliko njia zake hivyo mapafu hulazimisha kuingiza hewa nyingi mwilini ili kutimiza mahitaji ya oxygen mwilini ili cell zipate mahitaji sasa shinikizo kutokea kwenye njia za hewa ndio tunasema mtu ana tatizo la asthma.
SABABU YA TATIZO
Utu uzima(elder people), matatizo ya presha(blood pressure), magonjwa ya mzio(allergy), matumizi ya vitu vya baridi(cold drink), hali ya hewa ya baridi(cold weather), kupata mashambulizi kwenye mapafu(lungs infection), kurithi(heredity).
NIHETA Dawa bora kabisa kwa matatizo ya kifua na mapafu mchanganyiko wa mimea tiba iliyotengenezwa katika mtindo wa powder.
NIHETA Inatibu matatizo ya pumu kwa uhakika kabisa inauwezo wa kuwasaidia watoto wadogo na watu wazima.
NIHETA Inatibu matatizo ya kukohoa na kifua kikavu hii inasaidia kwa watu wenye shida ya kifua cha mshipa.
NIHETA Inatibu maumivu ya kifua na maumivu makali ya moyo hii ni tiba bora sana kuwai kutokea kwa matatizo haya.
NIHETA Inatibu kubanwa na kifua au kupumua kwa shida hii ni dawa nzuri sana kwa matatizo ya kifua.
Sisi kimimbi herbal clinic wataalamu wa tiba mbadala tiba asili tunashugulika na kutibu magonjwa sugu k**a.
Magonjwa ya Kisukali, Vidonda vya tumbo, Presh, Uzazi, PID, Hedhi, Pumu, Bawasili, UTI sugu, Maralia sugu, Uvimbe tumboni, fangasi, N.K.
Kwa ushauri au matibabu fika katika clinic yetu Daresalaam kiwalani jirani na Airport.
K**a unapenda kujifunza zaidi juu ya afya yako karibu katika group zetu za whattsap, tuandikie neno NIUNGE tuma kwenye namba 0743 068792
Afya salama hukaa katika mwili salama ijali afya yako.