daima fitness

daima fitness Mazoezi na Ulaji sahihi ni kinga bora kwa magonjwa mengi

26/02/2023

Changamoto ya homoni kuvurugika imekuwa sababu ya ndoa nyingi kutokuwa na furaha na watu hawafurahii mahusiano yao

K**a baba au kijana unapitia changamoto hii au umeona dalili hizi kwa mwenza wako karibu tuwasiliane

Nipigie 0752535364

Inatatulika hali io ..

24/02/2023

Homon imbalance au kuvurugika kwa homoni
Wakati mwingi ni homoni mama ya mwanamke oestrogen kutokuwa katika kiwango chake halisi hivyo hupelekea homoni zingine kuzalishwa na kuleta mabadiliko hasi katika mwili wa mwanamke .

Ungana nami kufahamu zaidi pia kwa maswali na ushauri wasiliana nami
0752535364

24/02/2023

Changamoto ya kuvurugika kwa homoni imepelekea madhara mengi katika miili yetu haswa wanawake

Mawazo,
Ngozi iliyofubaa ,
Ngozi kujaa mafuta ,
Kuongezeka uzito bila mpangilio ,
Ukavu ukeni na mengineyo

0752535364

24/02/2023

Rangi ya machungwa
Hii hutokea baada ya siku kumi za ujauzito

Yaweza kuashiria Kuharibika kwa mimba ikiambatana na maumivu ,vinyama ukeni,kichomi .

Pia yaweza kuashiria maambukizi ya STI's

Uonapo hali hii wasiliana nami
0752535364

24/02/2023

Rangi ya pink
Hedhi kuchanganyika na ute wa shingo ya kizazi .
Huashiria
Upungufu wa uzito
Upungufu wa damu mwilini
Upungufu wa homoni ya k**e ya oestrogen .

K**a unaona rangi hii katika hedhi yako tuwasiliane mapema

0752535364

Send a message to learn more

24/02/2023

Rangi ya kahawia au nyekundu nyeusi
Huashiria kuwa hedhi imekuwa oxidized kwa kukaa muda mrefu tumboni na hii hutokea
Mwanzo au.mwisho wa hedhi
Lochia hii ni hedhi inayotoka week 4/6 baada ya mwanamke kujifungua

0752535364

24/02/2023

Afya bora ni haki yako ya msingi

0752535364

24/02/2023

Karibu katika mwendelezo wa masomo mbalimbali ya kuweka afya zetu imara

0752535364

24/02/2023

Ukavu sio sehemu yetu tena ...ha ha ha

#0752535364

24/02/2023

Kwa pamoja tuepuke madhara ya saratani

#255752535364

24/02/2023

Fahamu kuhusu nadharia hii

Address

Ubungo
Dar Es Salaam
6026

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255752535364

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when daima fitness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to daima fitness:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram