14/03/2023
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ,(๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฉบ๐).
๐Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
โบ๏ธUwepo wa sumu mwilini
โบ๏ธUnbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha).
โบ๏ธUmri ukienda sana Kukoma kwa hedhi
โบ๏ธUzito mkubwa.
โบ๏ธMabadiliko ya mazingira
โบ๏ธMsongo wa mawazo
โบ๏ธUpungufu wa lishe mwilini.
โบ๏ธMatumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
โบ๏ธUtoaji wa mimba
โบ๏ธOngezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)
๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
โถ๏ธUke kuwa mkavu
โถ๏ธMaumivu wakati wa tendo la ndoa
โถ๏ธMaumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.
โถ๏ธUpungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
โถ๏ธMabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja).
โถ๏ธKukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
โถ๏ธUchovu wa mara kwa mara.
โถ๏ธHoma za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara.
โถ๏ธMzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula.
โถ๏ธOngezeko la tumbo na nyama uzembe.
โถ๏ธKuharibika kwa ngozi (chunusi, vipeleโฆ n.k).
โถ๏ธKupata hedhi wakati wa ujauzito
โถ๏ธMwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi.
โถ๏ธMaumivu ya kichwa mara kwa mara.
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
โก๏ธKupatwa na maambukizi ukeni mara kwa mara
โก๏ธKutoshika ujauzito kwa muda mrefu
โก๏ธMimba kuharibika mara kwa mara
โก๏ธKukosa mtoto au Ugumba.
โก๏ธMaumivu wakati wa tendo la ndoa.
โก๏ธKuwa na tabia na maumbile ya kiume
โก๏ธUTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara.
โก๏ธKuziba kwa mirija ya uzazi.
โก๏ธkupatwa na saratani ya kizazi
โก๏ธUvimbe kwenye kizazi mwanamke (Fibroids and ovariancysts).
๐๐๐๐๐๐๐๐๐/๐๐๐๐๐๐๐
โก๏ธWanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda
mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na
wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
โก๏ธTiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homo