21/01/2023
Ninatafuta mawakala wa hii sabuni, maelezo ya sabuni yapo chini utasoma. Bei ya jumla sh. 7000, Utakwenda kuuza rejareja sh. 10000, Faida sh. 3000. Imagine ukiuza sabuni zako 5 tu Kwa siku hio ni Kwa uchache sana.
Pia jambo la kuzingatia ukimuuzia mtu sabuni hii Usiache kumpa namba yako kwamaana lazima atataka kukutafuta baadae anunue nyingine. Bei ya jumla Kuanzia sabuni 5. 0717174151.
*ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)*
{PRODUCT FROM U.S.A}
*0% chemical*
Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa kwa viambata asilia k**a vifuatavyo
*INGREDIENTS (VIAMBATA)*
1.....Wild honey (asali mwitu)
2....Green Tea (mchai çhai)
3.... Grape fruit (mbegu za zabibu)
4.Lisa
*KAZI MUHIMU*
1.Hupambana na mzee na kuondoa makunyanzi
2.Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na muinekano nadhifu
3.Huondoa mapunye,chunusi,na mafuta yaliyozidi kwenye ngozi.
4.Inavuta uchafu uliopo ndani ya ngozi,pamoja na uchafu unaosababisha chunusi na mapele.
5..inaomdoa *madoa/makovu* kwenye ngozi
6..Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hivyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo
7...Inazibua(inafungua) njia za jasho kwenye vinyweleo hivyo kudhibiti tatizo la harufu mbaya ya mwili
8...Inatibu vidonda vya kuungua, jeraha, na vidonda vya kisukari
9..Inaua vijidudu (bacteria) wa kinywa,fangasi,upele na mapunye
10..Inatumika k**a mafuta ya kupaka pia.
11..Inatunza ngozi ya mtoto mdogo.