scola-afya

scola-afya Nasaidia wanawake wenye changamoto za uzazi hasa
Kutokwa na uchafu
UTI
FANGASI

PID
Piga 0653877272

*MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO*🌹Hapa nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiri...
15/05/2025

*MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO*

🌹Hapa nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya mwanamke kua mgumba au anaelekea kwenye ugumba(kukosa kupata mtoto):

*👉🏾KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA.*

usione ni kawaida kwa siku zako kutokua na mzunguko wa kawaida ambao mara nyingi ni siku 21 mpaka 35.
Kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kuwa hupevushi mayai kila mwezi. Hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi na sio ili mradi yai bali yai bora linaloweza kurutubishwa.

*👉🏾KUACHA KUONA SKU ZAKO GHAFLA.*
K**a hujafikia menopause(kipindi mwanamke anastop kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio Mjamzito na hutumiii njia ya uzazi wa mpango zinazosababisha kubadilika kwa hedhi

Ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo huwezi kubabe ujauzito bila kupevusha yai.

*👉🏾KUTOKWA DAMU NYINGI, NZITO NA YENYE MABONGE K**A VIPANDE VYA MAINI (VINYAMA NYAMA)WAKATI WA HEDHI HUASHIRIA KUWA HORMONE HAZIJABALANCE*
kutobalance kwa hormone huvuruga uzalishaji wa mayai bora.

*👉🏾MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA YANAYOAMBATA NA UCHAFU MWEUPE MZITO K**A MAZIWA YA MGANDO AMBAYO HUASHIRIA KUNA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE.*

*👉🏾KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MAUMIVU CHINI YA KITOVU*

*👉🏾KUKOSA KABISA HAMU YA TENDO LA NDOA PIA KUSIKIA DALILI ZOTE ZA UJAUZITO IKIWA SIO MJAMZITO HUONYESHA KUNA INFECTIONS KATIKA KIZAZI*

✍️Hizo ni baadhi ya dalili mbaya kwa mwanamke ambaye bado hajawahi Kubeba ujauzito, Ni Dalili Mbaya Pia Kwa Mwanamke Ambaye Tayari ana Mtoto/Watoto.

✍️Ni muhimu sana kupata suluhisho la Changamoto hizo maana zinatibika kabisa na *UNAPATA SULUHISHO LA KUDUMU KABISA NA KURUDISHA TABASAMU KATIKA FAMILIA YAKO*

*KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA DR 0653877272*

Siri Kwa Wewe  mwanamke Ambae unachangamoto ya uzazi Ambayo Haiponi Kwa Muda mrefu kazi ya ferlity buster*1 Kupevusha ma...
03/04/2025

Siri Kwa Wewe mwanamke Ambae unachangamoto ya uzazi Ambayo Haiponi Kwa Muda mrefu kazi ya ferlity buster*

1 Kupevusha mayai ya mwanamke
2 Kuweka period Sawa
3 Kuondoa bacteria Na Harufu zote ukeni
5 Kuondoa Uvimbe zote kwenye kizazi
6 Kuzuia mimba zisitoke
7 Kuweka Uteute wa uzazi
8 Kuzuia mimba kuharibika
9 Kukaza misuli ya uke ( kubana uke Uliolegea)

Watu wengi mno wameweza kupona changamoto za Uzazi Ndani ya Siku 10tu! kwa kutumia *fertility boost*

Na kikawaida kupata full Dozi ya ferlity bister hua ni garama 570000 ila Kwasasa Nimeamua ku weka OFFA MAALUM KWA WATU WACHACHE TU
full Dozi ya ferlity buster Unapata kwa *(Lakimbili Na sabuni natano tu full Dozi) 270000* Kabla ofaa haijaisha Pia unaruhusiwa kulipia kwa hawamu*

*Usimamizi ni juu yangu Mimi mpaka pale utakapo pona.
Nipigie simu Sasahivi kwa Namba
*0653877272*. Au jiungea na group langu kupata msaada zaidi
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/LNl7QGEmtWgC91p10RIoYM

*NAPATIKANA DAR ES SALAAM MLIMANI CITY*
Ofsi YAngu ndo ilipo. kwa* MAWASILIANO ZAIDI na kwa huduma piah piga simu *0653877272 (DR SCOLAR)

Siri Kwa Wewe  mwanamke Ambae unachangamoto ya uzazi Ambayo Haiponi Kwa Muda mrefu kazi ya ferlity buster*1 Kupevusha ma...
07/11/2024

Siri Kwa Wewe mwanamke Ambae unachangamoto ya uzazi Ambayo Haiponi Kwa Muda mrefu kazi ya ferlity buster*

1 Kupevusha mayai ya mwanamke
2 Kuweka period Sawa
3 Kuondoa bacteria Na Harufu zote ukeni
5 Kuondoa Uvimbe zote kwenye kizai
6 Kuzuia mimba zisitoke
7 Kuweka Uteute wa uzazi
8 Kuzuia mimba kuharibika
9 Kukaza misuli ya uke ( kubana uke Uliolegea)
10 Ge***al warts (masundosundo)vinyama vidogovidogo sehemu za Siri.
11.PID (pelvic inflammatory disease)

Watu wengi mno wameweza kupona changamoto za Uzazi Ndani ya Siku 10tu! kwa kutumia *fertility boost*

Na kikawaida kupata full Dozi ya ferlity bister hua ni garama 570000 ila Kwasasa Nimeamua ku weka OFFA MAALUM KWA WATU WACHACHE TU
full Dozi ya ferlity buster Unapata kwa *(Lakimbili Na sabuni natano tu full Dozi) 275000* Kabla ofaa haijaisha Pia unaruhusiwa kulipia kwa hawamu*

*Usimamizi ni juu yangu Mimi mpaka pale utakapo pona.

*NAPATIKANA DAR ES SALAAM MLIMANI CITY*
Ofsi YAngu ndo ilipo. Kwa wale wa mikoa natuma kwa njia ya mabasi kikubwa namba Yako iwe hewani mda wote mpaka pale utakapo pokea mzigo wako.

*Pelvic inflammatory disease maambukizi kwenye via vya uzaz wa mwanamke( PID).*Vimelea aina ya Neisseria Gonorhoere Chla...
24/09/2024

*Pelvic inflammatory disease maambukizi kwenye via vya uzaz wa mwanamke( PID).*

Vimelea aina ya Neisseria Gonorhoere Chlamydia Trachomatis ndivyo vinavyo ongoza kusababisha PID Ukishatoa mimba japo kunazo sababu zingine zinazoweza changia kipata PID k**a

📌Ngono zembe
📌Matumizi ya uzazi wa mpango
📌Kukaa na infection kwa mda mrefu k**a U.T.I na fangasi Sugu
📌 Kujichua
📌 Matumizi ya s*x toy
📌 Matumizi ya sabuni zenye manukato makali kujisafishia

Asilimia kubwa ya wanawake wanaogua PID walishawahi kutoa mimba hio ni fact natural

*Moja ya madhara makubwaya PID
📌UGUMBA infertility
📌mimba kutoka (miscarriage ).
📌Mirija ya uzazi kuziba
📌Kizazi kujaa maji maji
📌Husababisha uvimbe kwenye mayai (ovarian cyst)
📌Hormonal imbalance
📌Saratani ya shingo ya kizazi

*PID pelvic inflammatory disease maambukizo kwenye via vya uzazi ni hatari kwa afya yako ya uzazi.*

*Tuwasiline kupitia WhatsApp au piga simu namba 0653877272.*

11/01/2024

Kuziba kwa mirija ya uzazi ni hali ambayo huonyesha
dalili zake kwa nadra sana.

Wanawake wengi hushindwa
hata kutambua kuwa wana tatizo la kuziba kwa mirija ya
uzazi mpaka pale wanapokuwa wakijaribu kutafuta
ujauzito bila mafanikio.

Hata hivyo kwa baadhi ya
wanawake hali hii inaweza kuonyesha dalili zifuatazo;

1) Maumivu makali wakati wa
hedhi.

2) Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

3) Maumivu wakati wa kukojoa.

4) Kutokwa na uchafu ukeni.

5) Mirija ya uzazi kuvimba na kujaa
maji.

6) Maumivu makali chini ya kitovu.

usiendelee kuteseka karibu ☎️0653877272 tukutatulie changamoto hii kwa tiba ilio salama nauhakika

Join link hapo chini kujifunza zaidi
https://chat.whatsapp.com/Ilew4LOeR6WJrYAhkbO5Wm

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi waMwanamke.Magonjwa ya zinaa ndio saba...
19/09/2023

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)
au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa
Mwanamke.
Magonjwa ya zinaa ndio sababu kuu ya
wanawake kupata maambukizi katika mfumo wa
uzazi yani (PID). Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 walipota PID katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata tabu kushika mimba

*(PID) NI NINI?*
PID ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa
mwanamke na mara nyingi husababishwa na
magonjwa ya zinaa k**a gonorrhea na
chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mbali na
magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha
maambukizi ya PID.

*JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza
kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:
- K**a una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa
- Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala
na wanaume tafauti tafauti)
- Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi
nnje
- K**a umekuwepo na historia ya PID hapo
nyuma
- Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara
baada ya kujifungua (au postpartum period)
- Maambukizi ya nji Kwa msaada Zaidi nipigie simu 0653877272

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when scola-afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram