
25/09/2023
JE? WAJUA KUWA MOYO MPANA UNATIBIKA?
FAHAMU MZUNGUKO WA DAMU NA CHANGAMOTO ZAKE
👉🏻GANZI
👉🏻PRESHA
👉🏻SARATANI
👉🏻KIHARUSI
👉🏻KISUKARI
👉🏻FIGO KUFELI
👉🏻NGUVU ZAKIUME
👉🏻MOYO🫀
✍🏻MOYO nikiungo kinacho sukuma damu mwilini kupitia mishipa ya damu mwilini.
✍🏻MISHIPA YA DAMU (BLOOD VESSELS) ni mirija maalumu ambayo inasambaza damu sehmu zote za mwili
✍🏻DAMU ni kimiminika chenye rangi nyekundu kInachopita kwenye mishipa ya damu. kazi yake nikubeba hewa ya oxygen,chakula,virutubisho, hormones nk nakupeleka sehemu ambako mwili unahitaji
✍🏻MOYO KUPANUKA Ni hali inayosababishwa na ukinzani wa moyo jinsi unavyotoa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na kuelekea sehemu mbalimbali za mwili.
✍🏻 Moyo kupanuka kutokana na kutokana na mazingira ya kusukuma damu kwa nguvu ya ziada tofauti na kawaida, hivyo kusababisha misuli ya moyo kutanuka.
✍🏻Moyo ukiwa mpana hadi uwezo wake wa kusukuma damu unashuka hadi kupelekea kushindwa kabisa kusukuma damu na kupelekea damu safi na chafu huchanganyika
SULUISHO TUNALO
✍🏻tunasuluhisho lachangamoto yako kwenye mfumo wadamu ambalo litaondoa changamoto zote hizo zinatalulika kwamsaada
sm:+255767509843