20/08/2022
Sensa kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa asanteni wakufunzi wetu mlituvumilia katika Kila hali maana class G wasumbufu ila kwa upendo mlituongoza mkatufunza hatimae semina ikaenda vizuri tutawamiss maana tuliishi k**a kaya moja Mungu awabariki sana