
15/09/2023
Ujumbe muhimu kwa mwanamke mwenye changamoto ya afya ya uzazi
Je, wewe ni mwanamke mwenye changamoto ya afya ya uzazi?
K**a jibu ni ndio ningependa kuongea na wewe.
Kwa jina naitwa Lucy Silima
Ninawasaidia wanawake kutatua changamoto za afya ya uzazi bila ya kutumia dawa za hospitali kupitia njia asilia na salama.
Nataka kuandaa darasa BURE kwa ajili yako la namna ya kutatua changamoto za afya ya uzazi.
K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo naomba ubofye kitufe cha WhatsApp au nitumie ujumbe WhatsApp kwenda namba 0656040308
Ikisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia (wewe pamoja na wenzako) darasa ni BURE kabisa kupitia group la WhatsApp.
Ni mimi mwenye kujali afya yako ya uzazi,
Lucy Silima
Mkurugenzi, Uzazi Tips