NGOZI YANGU NA VIPODOZI-pata ushauri,tiba na jinsi ya kutunza ngozi

NGOZI YANGU NA VIPODOZI-pata ushauri,tiba na jinsi ya kutunza ngozi NJOO UPATE USHAURI WA BURE KUHUSU NGOZI YAKO NA KAMA UNA UNATATIZO TUNA TIBA MBADALA , BIDHAA ZA KUT

JE UNA CHANGAMOTO YOYOTE YA NGOZI AU UNATAKA KUJIFUNZA JINSI YA K*TUNZA NGOZI YAKO , AU UNAHITAJI BIDHAA ORIGINAL ZA NGO...
21/08/2024

JE UNA CHANGAMOTO YOYOTE YA NGOZI AU UNATAKA KUJIFUNZA JINSI YA K*TUNZA NGOZI YAKO , AU UNAHITAJI BIDHAA ORIGINAL ZA NGOZI ZENYE UBORA NA MATOKEO YA UHAKIKA 100% KARIBU Mulunji Skincare tz, tukuhudumie TUNA GROUP LA MAFUNZO NA BIDHAA ZA NGOZI TUNATOA BURE KABISA KUJIUNGA BONYEZA LINK HAPO CHINI

HUMO UTAK*TANA NA MTÀALAMU NA MSHAURI WA MASUALA YA NGOZI

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ButmeGa4uqyGwU9m5Jwy8q









MAELEZO ZAIDI PIGA 0676131229

SIRI YA NGOZI NZURINgozi k**a kiooHii ni siri kubwa kuwa na ngozi nyororo, nzuri ya kuvutiaEXFOLIATION EXFOLIATION NI NI...
03/08/2024

SIRI YA NGOZI NZURI
Ngozi k**a kioo
Hii ni siri kubwa kuwa na ngozi nyororo, nzuri ya kuvutia

EXFOLIATION
EXFOLIATION NI NINI?
EXFOLIATION NI KITENDO CHA NGOZI YA BINADAMU K*TOA SELI ZA NGOZI ZILIZOKUFA ILI KURUHUSU SELI MPYA KUZALISHWA NA SELI HIZI ZA NGOZI ZILIZOKUFA HUTOKA PAMOJA NA SUMU YOYOTE ILIYOINGIA KATIKA NGOZI.
KAWAIDA NGOZI HUFANYA EXFOLIATION KILA BAADA YA SIKU 30 ILA KADRI UMRI UNAVYOSOGEA,MATUMIZI YA VIPODOZI,JUA,HALI YA HEWA NGOZI HUSHINDWA KABISA KUFANYA HILO

ZOEZI LA K*TOA SELI ZILIZOKUFA NA SUMU KATIKA NGOZI NA HII HUSABABISHA MAMBO YAFUATAYO

NGOZI KUFUBAA

NGOZI KUKOSA NURU
NGOZI KUWASHA

NGOZI KUWA NA RANGI ZAIDI YA MOJA

NGOZI KUWA NA MATUNDU MAKUBWA

UKITEMBEA JUANI UNAKUWA MWEKUNDU

K**A UNATUMIA VIPODOZI VYA KEMIKALI NDO KABISA NGOZI INAUNGUA NA KUWA NYEUSI NA NGUMU K**A BOX

NGOZI KUZEEKA MAPEMA NA KUJIKUNJAKUNJA

NGOZI KUZALISHA MAFUTA MENGI HASA USONI NA KUSABABISHA CHUNUSI ZISIZOISHA

NGOZI KUWASHA NA K*TOA RASHES NDOGONDOGO AMBAZO NI MKUSANYIKO WA SUMU NDANI YA NGOZI

K*TOKANA NA ZOEZI LA K*T0A SELI ZA NGOZI ZILIZOKUFA NA SUMU KATIKA NGOZI NI LAZIMA KUFANYA EXFOLIATIATION KWA K*TUMIA VITU ILI KUEPUKA MADHARA TAJWA HAPO JUU

AINA ZA EXFOLIATION AU NJIA ZA K*TOA SELI ZA NGOZI ZILIZOKUFA NA SUMU KATIKA NGOZI.
Kuna aina 2 za exfoliation katika ngozi

1.PHYSICAL EXFOLIATION
Hii ni njia ya kutumia vifaa kusugulia au kupaka katika ngozi
Vitendea kazi hizi ni k**a vile:
BRUSH
DODOKI
MASHINE
MIKONO
katika njia hii kuna bidhaa za kutumia k**a vile scrub,mask,body wash,cleanser n.k

2.CHEMICAL EXFOLIATION
Hii ni njia ya kutoa seli za ngozi zilizokufa na sumu katika ngozi kwa kupaka asidi za asili zilizotengenezwa kitaalam katika ngozi bila kusugua unapaka na kukaa nayo kwa muda fulani kisha unanawa na zingine unawi
Bidhaa hizi za ngozi zipo katika mifumo k**a vile
Serum
Cream
Lotion
Unga na jeli .
Mfano wa asidi za kufanyia exfoliation zimegawanyika katika makundi mawili

kundi la kwanza ni kundi la AhA humo kuna:
Glycolic asidi _ Miwa
Lactic asidi_Maziwa mgando
Citric asidi_matunda
Malic asidi_ Apple
Tartaric asidi_ zabibu

Kundi la pili ni BHA
salicylic asidi_

KITAALAM UNATAKIWA KUFANYA EXFOLIATING KILA WIKI MARA 2 ILI KUFANYA NGOZI I GLOW
KARIBUNI BIDHAA KWA AJILI YA EXFOLIATING TUNAZO






KUNA WAUZA VIPODOZI LAKINI SISI NI WATAALAM WA NGOZI, ACHA KUHANGAHIKA MITANDAONI K*TAFUTA VIPODOZI KARIBU UK*TANE NA MT...
28/07/2024

KUNA WAUZA VIPODOZI LAKINI SISI NI WATAALAM WA NGOZI, ACHA KUHANGAHIKA MITANDAONI K*TAFUTA VIPODOZI KARIBU UK*TANE NA MTÀALAMU WA NGOZI NA VIPODOZI UPENDEZE.

TUNATOA USHAURI BURE
BIDHAA ZETU TUNATOA KWA WARRANTY
MATOKEO UHAKIKA 100%
BIDHAA ZETU NI OG
TUNA :

CLEANSERS
TONERS
SERUMS
MOISTURIZER
SHOWERGEL
BODY BATH
SCRUBS
LOTION
BODY CREAM
BODY BUTTER
CREAM
SUPPLEMENT ZA NGOZI N.K

KARIBU TUKUSAIDIE USHAURI NA BIDHAA ZA :
USO WA MAFUTA NA CHUNUSI
MADOA NA WEUSI AINA ZOTE
MICHIRIZI
MAKOVU
PUMU YA NGOZI
MAKOVU SUGU NA MADOA
KUKAZA NYAMA
MIKUNJO YA KIZEE
KUONDOA SUMU KATIKA NGOZI
KUREPAIR NGOZI ZILIZOHARIBIKA
KUACHA VIPODOZI VIKALI
KURUDISHA NGOZI N. K
TUPO KKOO BIGBON NA POSTA SAMORA MAELEZO ZAIDI PIGA 0676131229
TUNATOA HUDUMA YA USHAURI ONLINE BIDHAA UNAWEZA KUFUATA, TUNAFANYA DERIVERY NDANI NA MIKONI KWA UAMINI KARIBUNI

CEO MULUNJI HOME APPLIANCE TZ,MULUNJI SKINCARE TZ,MULUNJI ACCESSORIES TZ Zelef Consultancy , Mulunji BeautyHealth Supple...
25/07/2024

CEO
MULUNJI HOME APPLIANCE TZ,
MULUNJI SKINCARE TZ,
MULUNJI ACCESSORIES TZ
Zelef Consultancy ,
Mulunji BeautyHealth Supplementtz ,

🌹SOME IMPORTANT TIPS!!!1. Pure honey + Extra virgin Olive oil = Skinmoisturizer2. Pure honey + Brown sugar = Face/Bodyex...
08/10/2021

🌹SOME IMPORTANT TIPS!!!

1. Pure honey + Extra virgin Olive oil = Skin
moisturizer
2. Pure honey + Brown sugar = Face/Body
exfoliator
3. Vaseline + White sugar = Lips exfoliator
4. Egg yolk + Lemon juice = Anti - reddening
facial
5. Rice water + Lemon juice = Face toner
6. Raw honey only = Facial mask
7. Rosewater + Beetroot juice OR Carrot
juice + Beetroot juice = Pink lips naturally
8. Palm oil + Honey + Turmeric powder
(optional) OR Vitamin A oil = Wrinkles
remedy
9. Lemon juice + Honey = Remedy for dark
knuckles
10. Sugar + Lemon juice + Extra virgin olive
oil = Scrub for dark neck
11. Turmeric powder + Milk + Lemon juice =
Dark spots removal
12. Milk + Honey = Cleopatra Bath
13. Red onions + Honey = Hair growth
14. Honey + Hot bath water = Dry skin
15. Liquid Castile soap + Honey + Glycerin =
Facial wash
16. Fermented rice water = Dandruff killer
17. Turmeric, Lemon, Cucumber, Orange,
Papaya, Aloe vera, Honey, Yogurt, Carrot,
Milk, etc = Skin lightening agents
18. Coconut oil + Lemon juice = Dark thighs
fader
19. Baking soda + Lemon juice = Remedy
for body odor
20. Avocado + Banana + Almond oil = Hair
breakage remedy
21. Aloe vera, Coconut oil + Lemon juice,
Honey = Remedies for minor burns
22. Peel, Wash, Boil, Cut, Dry, Grind =
Turmeric powder process
23. Egg whites = Sagging skin
24. Aloe vera gel + Extra virgin olive oil +
Vitamin E oil + Vitamin A oil = Stretch
marks cream
25. Carrot + Olive oil + Almond oil + Honey
= Pink lips balm
26. Extra virgin olive oil + Ginger oil = Hair
growth oil
27. Aloe gel + Turmeric powder + Honey +
Milk + Rosewater = Acne remedy
28. Cucumber juice + Lime juice = Oily skin
29. Beeswax + Honey + Olive oil = Dry skin
30. Extra virgin olive oil OR Virgin Coconut
oil = Natural makeup remover
31. Rosewater + Lemon juice + Glycerin =
Sunburn remedy
32. Apple Cider Vinegar + Water = Cellulite
remover
33. Yogurt + Vit. E oil + Fenugreek oil + Egg
= Breast firming mask
34. Apple cider vinegar + Mineral water +
Aspirin tablets = Dull skin remedy
35. Lemon juice + Plain yogurt + Honey +
Egg white = Acne scars
36. Turmeric + Milk or Water = Unwanted
hair
37. Lemon juice + Salt = Mouth odor
remedy
38. Fenugreek powder + Water = Breast
enlargement
39. Turmeric + Baking soda + Coconut oil =
Teeth whitener
40. Activated charcoal + Honey = Dark
underarm (instant result)
41. Lemon juice + Honey OR Lemon juice +
Coconut oil = Dark knees/elbows
42. Coconut oil, Olive oil, Glycerin =
Cracked feet
43. Organic Extra Virgin Coconut oil =
Moisturizer
44. Lemon juice + Honey + Egg white =Acne
clearing facial mask
45. Baking soda + water =
Blackheads remover.

MAFUTA MENGI,CHUNUSI NA VITUNDU USONI TUMIA HIYO TONER NA SERUM NAKUPA WIKI 1 TUUVYOTE 115000/=0713029229
14/07/2021

MAFUTA MENGI,CHUNUSI NA VITUNDU USONI TUMIA HIYO TONER NA SERUM NAKUPA WIKI 1 TUU
VYOTE 115000/=
0713029229

TUNAZO BIDHAA ZOTE TOKA BRAND YA ORDINARY USA KULINGANA NA TATIZO LAKONJOO WASAP 0713029229
14/07/2021

TUNAZO BIDHAA ZOTE TOKA BRAND YA ORDINARY USA KULINGANA NA TATIZO LAKO
NJOO WASAP 0713029229

UNA MAFUTA MENGI NA VISHIMO USONI TUMIA HII SERUM VISHIMO VINAONDOKA FASTABEI NI 50,000/=071309229 WASAP NA KUPIGA
14/07/2021

UNA MAFUTA MENGI NA VISHIMO USONI TUMIA HII SERUM VISHIMO VINAONDOKA FASTA
BEI NI 50,000/=
071309229 WASAP NA KUPIGA

USIHARIBU NGOZI YAKO NA VIPODOZI VYENYE VIAMBATA SUMU UKAFIKIA HAPA KARIBU KWA USHAURI NA BIDHAA SALAMA KWA NGOZI YAKO P...
22/06/2021

USIHARIBU NGOZI YAKO NA VIPODOZI VYENYE VIAMBATA SUMU UKAFIKIA HAPA KARIBU KWA USHAURI NA BIDHAA SALAMA KWA NGOZI YAKO PIGA 0713029229

UMEKUWA UKIHANGAHIKA KUHUSU NGOZI YAKO BILA MAFANIKIO  AU UNAHITAJI KUBADILI MUONEKANO WAKO NA UMEISHIA KUPOTEZA PESA?Ji...
14/06/2021

UMEKUWA UKIHANGAHIKA KUHUSU NGOZI YAKO BILA MAFANIKIO AU UNAHITAJI KUBADILI MUONEKANO WAKO NA UMEISHIA KUPOTEZA PESA?

Jibu hili hapa chini
K*TANA NA MTAALAM SIYO MUUZA VIPODOZI
UTAPATA USHAURI NA SOMO BURE KUHUSU NGOZI YAKO

TUNA BIDHAA ORIGINAL NA ZA ASILI ZAIDI YA 100,000/= ZISIZO NA MADHARA NA ZIMERUHUSIWA KUUZWA POPOTE DUNIANI UKITAKA UTHIBITISHO TUNAKUPA

TUNAKUUNGANISHA NA WATUMIAJI WA BIDHAA ZETU WALIOAMUA KUUNDA GROUP MOJA

HUMO BIDHAA NA MASOMO YA NGOZI YAPO BURE KILA SIKU.

NGOZI YAKO ISIWE DAMPO AU SEHEMU YA MAJARIBIO HUJACHELEWA ANAZA SAFARI NA SISI
TUNA BIDHAA ZA KUPAKA NA KUMEZA, KUNYWA PIA KWAAJILI YA

KUPUNGUZA MAFUTA NA K*TIBU CHUNUSI MOJA KWA MOJA

KUONDOA WEUSI AINA ZOTE NA MADOA

KUONDOA UKAVU KATIKA NGOZI NA MIKUNJO YA KIZEE

KUONDOA SUMU KATIKA VITUNDU VYA NGOZI YAKO

KUONDOA VISHIMO USONI

KUWA NA RANGI MOJA NZURI MWILI MZIMA

KUONDOA SUGU

KUACHA KEMIKALI BILA KUHARIBIKA

MICHIRIZI

MAPOVUKWENYE MAPAJA( CELULITIES)

KULAINISHA NGOZI MWILI MZIMA ( SOFTENING)

BIDHAA ZA MA BLACK BEUTY

KUONDOA KITAMBI MINYAMA UZEMBE NA MIKONO MIKUBWA

KUKAZA NYAMA ZILIZOLEGEA

KUPUNGUZA MWILI WOTE KILO UNAZOTAKA

KUONGEZA MAKALIO NA HIPS

KUWA MWEUPE P*E KISTAR

USIOGOPE BEI ZETU NI RAFIKI TUNARUHUSU KUWEKEZA UKIMALIZA UNACHUKUA

MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA UKITAKA

TUPO DAR SINZA MORI NA KKOO
MAELEZO ZAIDI PIGA 0713029229
WASAP 0784526877
KUJIUNGA NA GROUP BURE BONYEZA LINK HAPO CHINI

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/JTxye26OPq0LmCPZH5VHd3
HUTOJUTIA

WhatsApp Group Invite

WAPENDWA WATEJA WETU TUNAPENDA KUWATAARIFU KUWA  DAWA ZA KUONDOA MAKOVU ZIMEWASILI ZIPO AINA 3 TOFAUTI CREAMGELSERUMBEI ...
11/06/2021

WAPENDWA WATEJA WETU TUNAPENDA KUWATAARIFU KUWA DAWA ZA KUONDOA MAKOVU ZIMEWASILI ZIPO AINA 3 TOFAUTI
CREAM
GEL
SERUM
BEI NI 100,000/= KWA SET AMBAZO NI
SERUM NA CREAM AU SERUM NA GEL.
MAKOVU YA MOTO
MAKOVU YA OPARATION
MAKOVU YA AJALI
MAKOVU YA CHUNUSI
MADOA SUGU INAONDOA KABISA TUPO DAR SINZA MORI NA KKOO BIGBON
MIKOANI NATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713029229

JAPO WENGI HAWAPENDI UKWELI ILA HUO NDO UKWELI UAMUZI NI WAKOBIDHAA ZOTE HAPO CHINI ZIMEPIGWA MARUFUKU NA TBS K*TUMIKA N...
08/06/2021

JAPO WENGI HAWAPENDI UKWELI ILA HUO NDO UKWELI UAMUZI NI WAKO
BIDHAA ZOTE HAPO CHINI ZIMEPIGWA MARUFUKU NA TBS K*TUMIKA NI UBISHI, RUSHWA NA MENGINEYO NDO MAANA ZIPO MADUKANI
JALI AFYA YAKO USIFANYE NGOZI YAKO DAMPO LA SUMU

Address

Sinza Mori
Dar Es Salaam

Telephone

+255713029229

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NGOZI YANGU NA VIPODOZI-pata ushauri,tiba na jinsi ya kutunza ngozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to NGOZI YANGU NA VIPODOZI-pata ushauri,tiba na jinsi ya kutunza ngozi:

Share