Kamna Clinic:Ruqya and Hijama Center

  • Home
  • Kamna Clinic:Ruqya and Hijama Center

Kamna Clinic:Ruqya and Hijama Center Tunatibu magonjwa yote sugu kama vile kisukari,presha,tezi dume nk pamoja na majini na uchaw

29/08/2024
KAZI YA FIGO KTK MWILIFigo ni kiungo cha mwili ambacho ni cha kutatanisha: figo hufanya kazi mbalimbali muhimu katika mw...
29/08/2024

KAZI YA FIGO KTK MWILI

Figo ni kiungo cha mwili
ambacho ni cha kutatanisha: figo hufanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa binadamu na wanyama wengi. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe k**a vile urea na minerali katika damu na kuchuja hizo, pamoja na maji na mkojo.

Figo ya binadamu.
Kwa maana figo zimeumbwa kuhisi ukolezi wa plazma ya ioni k**a vile sodiamu, potasiamu, hidrojeni, oksijeni, hewa na msombo k**a vile asidi amino, kreatini, bikaboneti na glukosi, figo husawazisha shinikizo la damu, hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundu).

Sayansi ichunguzayo figo na maradhi ya figo inaitwa nefrolojia. Kiambishi awali "[nefro]" kimaanishacho figo kimetoka kwa lugha ya Kigiriki cha kale, "[nefros] [νεφρός]".

Utambi na kipimo chake ni sentimeta 9 mpaka 13 kwa kipenyo, kipimo cha figo la kushoto ni kikubwa kidogo kuliko cha la kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba T12 na L3.

Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na ubavu wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na tezi ya adrenali zimefunikwa na ngozi mbili zenye mafuta na renal fascia inayosaidia kuimarisha figo.

Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hali hiyo hujulikana k**a "unilateral agenesis" kwa Kiingereza, pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo lolote, hali hiyo inajulikana k**a "bilateral agenesis".

Figo hupata damu chafu kwenye mkole wa tumbo ambayo imegawika katika matawi mawili, ateri moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa [kushoto]. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye vena ya damu safi, inayoelekea kwa vena kava ya chini ya kuendelea mpaka moyo. Damu safi ni k**a asilimia 20-25 za uzalishaji wa moyo

29/11/2023

Ingia YouTube andika (Kamna clinic) utapata video zangu kisha like na subscribe nakoment ili usipitwe na video mbalimbali zakuelimisha nitakazokuwa natuma kila wiki ahsante

07/11/2023

TIBA YA MAJINI/MASHETWANI NA UCHAWI NA MAGONJWA MENGINE SUGU YANAYOSUMBUA WANADAMU..MAZINGIRA YA CLINIC YETU

  # OFA # OFA #...TANGAZO TANGAZO TANGAZO...TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU KWA KUONDOA DAMU CHAFU MWILINI....TUNATIBU MASHE...
06/11/2023

# OFA # OFA #...TANGAZO TANGAZO TANGAZO...
TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU KWA KUONDOA DAMU CHAFU MWILINI....TUNATIBU MASHETWANI/MAJINI NA UCHAWI KWA NJIA RAHISI NA NYEPESI SANA TENA KWA GHARAMA NAFUU MNO....
Kuondoa damu chafu mwilini huponyesha magonjwa mengi sana k**a vile:
1.Kisukari
2.Presha
3.Pumu
4.maumivu ya mgongo
5.Maumivu ya kiuno
6.maumivu ya miguu
7.ganzi
8.matatizo ya uzazi
9.Tumbo la chango kwa kina mama
10.Stroko
11.mtoto wa jicho
12.maumivu ya mifupa
13.huondoa uchawi
14.Huponyesha majini/mashwetani na kurogwa
na mengineyo mengi sana.kitendo hiki huitwa HIJAMA....karibu katika clinic yetu iliyopo Chanika upate kutibiwa na kupata nafuu ndani ya mda mfupi sana kwa uwezo wa mungu...tunatibu kwa kutumia RUQYA na Sunna ya Mtume(S.W).KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0717519111

06/11/2023

# OFA # OFA #...TANGAZO TANGAZO TANGAZO...
TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU KWA KUONDOA DAMU CHAFU MWILINI....TUNATIBU MASHETWANI/MAJINI NA UCHAWI KWA NJIA RAHISI NA NYEPESI SANA TENA KWA GHARAMA NAFUU MNO....
Kuondoa damu chafu mwilini huponyesha magonjwa mengi sana k**a vile:
1.Kisukari
2.Presha
3.Pumu
4.maumivu ya mgongo
5.Maumivu ya kiuno
6.maumivu ya miguu
7.ganzi
8.matatizo ya uzazi
9.Tumbo la chango kwa kina mama
10.Stroko
11.mtoto wa jicho
12.maumivu ya mifupa
13.huondoa uchawi
14.Huponyesha majini/mashwetani na kurogwa
na mengineyo mengi sana.kitendo hiki huitwa HIJAMA....karibu katika clinic yetu iliyopo Chanika upate kutibiwa na kupata nafuu ndani ya mda mfupi sana kwa uwezo wa mungu...tunatibu kwa kutumia RUQYA na Sunna ya Mtume(S.W).KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0717 519 111

03/11/2023

Kuondoa damu chafu mwilini huponyesha magonjwa mengi sana k**a vile:
1.Kisukari
2.Presha
3.Pumu
4.maumivu ya mgongo
5.Maumivu ya kiuno
6.maumivu ya miguu
7.ganzi
8.matatizo ya uzazi
9.Tumbo la chango kwa kina mama
10.Stroko
11.mtoto wa jicho
12.maumivu ya mifupa
13.huondoa uchawi
14.Huponyesha majini/mashwetani na kurogwa
na mengineyo mengi sana.kitendo hiki huitwa HIJAMA....karibu katika clinic yetu iliyopo Chanika upate kutibiwa na kupata nafuu ndani ya mda mfupi sana kwa uwezo wa mungu...tunatibu kwa kutumia RUQYA na Sunna ya Mtume(S.W).KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0717 519 111

TIBA YA HIJAMA NDIO MKOMBOZI WA AFYA ZETU KWAMAGONJWA MAKUBWA NA MADOGO KM TEZIDUME,PRESHA, KISUKARI, PUMU, UZAZI, STROC...
03/11/2023

TIBA YA HIJAMA NDIO MKOMBOZI WA AFYA ZETU KWAMAGONJWA MAKUBWA NA MADOGO KM TEZIDUME,PRESHA, KISUKARI, PUMU, UZAZI, STROCK, MASHAITWANI NA MARADHI YA UCHAWI NAMENGINE MENGI KWAMATIBABU TUWASILIANE 0717519111/ 0764706448

Address

CHANIKA

16104

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamna Clinic:Ruqya and Hijama Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kamna Clinic:Ruqya and Hijama Center:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram