Afya yangu

Afya yangu afya yako

O F A  YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA (FULL BODY CHECKUP) KWA GHARAMA NAFUU YA SHILINGI Eflu 20000TuuKampuni ya kimataifa ya ...
17/11/2023

O F A YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA (FULL BODY CHECKUP) KWA GHARAMA NAFUU YA SHILINGI Eflu 20000Tuu

Kampuni ya kimataifa ya E t e r n a l Imewaletea OFA KABAMBE ya kufanya V I P I M O vya mwili mzima (Full body checkup) kwa gharama nafuu kabisa ya Tshs 20000

Mifumo ya mwili itakayopimwa ni pamoja na:

Mfumo wa damu/mishipa ya damu (moyo na ubongo)
Mifupa na maradhi ya mifupa
Mfumo wa uyeyushaji na mmeng'enyo wa chakula
Afya ya uzazi kwa kinamama na kinababa
Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
Mfumo wa fahamu
Jicho na maradhi ya macho
Mfumo wa upumuaji

Na mengineyo k**a maradhi sugu ya kansa, unene/uzito kupita kiasi, uvutaji sigara, matumizi ya vinywaji vikali, matumizi ya madawa, harufu mbaya ya kinywa na mwili, kinga ya mwili kushuka sana, na ukuaji mbovu kwa watoto wadogo.

MADAKTARI WATAKUPIMA NA KUKUPA USHAURI NA ENDAPO UTAKUTWA NA MATATIZO AMBAYO UNGEHITAJI KUPATIWA SULUHISHO BASI IMEWAANDALIA TIBA ASILIA (TIBALISHE NA VIRUTUBISHO) ZISIZO NA ATHARI KWA MTUMIAJI ZENYE UWEZO MKUBWA WA KUONDOA TATIZO PAMOJA NA KUWEKA KINGA KATIKA MAGONJWA SUGU YANAYOTOKANA NA KUATHIRIKA KWA MIFUMO HIYO K**A VILE:

Mimba kutunga nje ya kizazi, mvurugiko wa homoni/hedhi, kukosa choo kwa muda mrefu/ kupata choo katika hali ya ukavu, mimba kuharibika mara kwa mara, uke kutoa uchafu/harufu mbaya, pumu (asthma), chunusi/vipele sugu, amoeba/amiba, saratani aina zote, fizi kuvimba/kuuma/kutoa damu, matatizo ya ngozi, meno kuoza/kutingishika/kutoboka, fangasi sehemu za siri, kisukari, ganzi, bawasiri/mgoro, presha/shinikizo la damu, kukosa usingizi, uvimbe kwenye kizazi/mirija ya uzazi/koo na sehemu zingine za mwili, miguu/mikono kuwaka moto, maumivu ya kichwa mara kwa mara, mwili kukosa nguvu (uchovu wa mwili hata k**a haujafanya kazi yoyote) masundosundo/vigwaru, kiharusi (stroke), ngiri, UTI, matatizo ya ini na figo, Tezi dume, matatizo ya nguvu za kiume, kutoshika ujauzito, vidonda vya tumbo, matatizo ya macho, maumivu ya mifupa na maungio, kukosa/kupoteza kumbukumbu (uwezo mdogo).

KWA MAWASILIANO NASI PIGA SIMU NAMBA
+255746772817 KALIBUNI SANA.

17/11/2023

Habari Yako unaitwa nani na ulikuwa unahitaji huduma gani tuweze kukuhudumia

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255746772817

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya yangu:

Share