21/10/2024
UNAAMINI KUWA UNAWEZA KUPONA NA KUISHI BILA KISUKARI?? HII NI YAKO!!
KISUKARI ni tatizo linalo kera na kutishia amani si tu kwa watu wasio na kisukari bali pia Kwa walio athirika na ugonjwa huu,
Kwa sababu kwa miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa kuwa ugonjwa wa kisukari hauponi bali ni kuchagua kuishi nao na kuanza kujiandaa kufa na Kisukari.
Hali hii imetesa mamilioni ya watu hasa wale walio athirika na ugonjwa huu na kuwakosesha amani na kushindwa kabisa kufurahia maisha hapa duniani tena kwa miongo na miongo.
Unajikuta ukipoteza muda na fedha nyingi katika kuhangaika kutafuta tiba ya kudumu ya kuondoa tatizo lako.
Umejaribu kununua bidhaa mbalimbali zinazosemekana kutibu matatizo yako bila mafanikio.
Wataalam wa mtaa pia wamejaribu kuonyesha maua na miti kadhaa ambayo imesemekana kutibu Kisukari hazijafanya kazi kwako.
Kila mara unajikuta unarudi ulipotoka yaani sukari kupanda mara dufu au kukosa utulivu, mara imeshuka zaidi, mara imepanda zaidi.
Pamoja na kufuata masharti yote ya ugonjwa wa kisukari, umeacha kula vitamu vyote pamoja na sukari lakini bado ni tatizo kwako limekosa suluhisho na linakutesa sana.
Umekuwa muhudhuriaji mzuri wa kliniki ya Sukari na kumeza dawa kwa uaminifu,
Lakini umeambulia Upofu, Ganzi, kukosa nguvu za kiume, umeanzisha na kliniki ya Pressure na kliniki ya Figo.
Nijambo la kuvunja moyo, siyo?
Kila wakati unajaribu Tiba mbadala na kila dawa ya asili unayopewa unatumia tena kwa usahihi ili janga hili liondoke kwako lakini itatulia muda mfupi nakurudi tena kwa kasi zaidi tena kuliko mwanzoni.
Inakufanya uhisi kana kwamba unazunguka katika mduara bila muelekeo.
Hii inakufanya ukose amani na kuwa na wasiwasi na hata ukate tamaa yakununua bidhaa nyingine yeyote.
Umekuwa unatamani siku moja uamke ukiwa huru na janga la kisukari, kuwa mtu ambaye hana masharti makali ya nini ale nini asile,
Unatamani siku moja uwe huru na madawa ya sukari na sindano za insulini.
Unatamani upone donda lako kwa haraka sana ili maisha yako ya utafutaji yaendelee k**a kawaida.
Unatamani kuwa huru na Kisukari na madhira yake??
Mkombozi wako nimekufikia, K**a umeona na umesoma mpaka hapa Mungu amenituma kwako leo kukuambia…
Usikate tamaa, kuna njia ya kuvunja mzunguko huu.
Pili na Fina walikuwa k**a wewe, hadi nilipokutana nao na kuwafundisha mbinu sahihi za kuondoa chanzo cha KISUKARI kwanza kabla ya kukimbilia bidhaa.
Sasa sukari zao zimeshuka na kufikia hatua za ambayo inaleta tumaini kubwa sana. Ndani ya siku 7 Fina alitoka 9 hadi 4.8 na ndani ya siku 14 sukari ya Pili ilitoka 19.9 hadi 9,
Shuhuda za hawa wawili utajionea mwenyewe ukifanya maamuzi ya kuja whatsApp
Hawa ni wachache tu kati ya watu niliyowahudumia kwenye kushusha sukari zao na waliokuwa tayari kutoa shuhuda zao..
Ningependa kukufundisha mbinu hizi kwenye Darasa langu la BURE ambalo litakuonyesha jinsi ya kuondokana na sukari na kuishi maisha huru bila mateso na Sukari lakini unapaswa kuamini kuwa INAWEZEKANA..
K**a uko tayari kwa mabadiliko haya, Bofya alama ya WhatsApp Hapa chini ili nikuunge kwenye Group kwa ajili ya kujipata elimu hii.
Kwakuwa nataka kuwa msimamizi mzuri sitakuwa na watu wengi kwenye group hiyo nahitaji watu 10 tu wenye uhitaji kweli.
Wahi nafasi ni chache sana na wahitaji ni wengi sana.
Ni mimi ninayejali afya yako,
Amida Makubui
ni Utajiri.