ImaraAfya Nutrition

ImaraAfya Nutrition Kuunda Mabadiliko Ya Kiafya.
💊Zaidi Ya Hadithi 453 Za Uponyaji.

Bofya 👇🏽kuweka oda

Tabasamu ni ishara ya afya njema . Mimi natumia tiba Lishe wewe je???
28/10/2024

Tabasamu ni ishara ya afya njema . Mimi natumia tiba Lishe wewe je???

Mimea ni tunu kwetu sisi wanadamu, kwani asilimia kubwa ya matabibu hupendekeza kukitibu kutumia chakula dawa, hii inapu...
28/10/2024

Mimea ni tunu kwetu sisi wanadamu, kwani asilimia kubwa ya matabibu hupendekeza kukitibu kutumia chakula dawa, hii inapunguza asilimia kubwa ya matumizi ya kemikali kwani ni hatari Kwa afya ya binaadam.

Njoo tukuelekeze Nini itumie ili uimarishe afya Yako.

Ishi Kwa muonekano Wa afya na furaha

Chakula dawa/ Virutubisho LisheUsikubali kuzeeka haraka huku ukitawaliwa na maumivu ya mwili na viungo yasiyo na suluhis...
28/10/2024

Chakula dawa/ Virutubisho Lishe
Usikubali kuzeeka haraka huku ukitawaliwa na maumivu ya mwili na viungo yasiyo na suluhisho.

Usikubali kuteseka na maradhi yasiyoambukiza, kwani athari zake ni kubwa sana

Usikubali kuishi bila tabasamu kwani maumivu yanakufanya uwe mwenye uzuni mda wote

Njoo tukuhudumie

Usiogope ni dawa chakula, boredha afya ya Moyo, mapafu, Figo, ngozi, nywele , kucha, mifupa , macho, usagaji Wa chakula,...
26/09/2024

Usiogope ni dawa chakula, boredha afya ya Moyo, mapafu, Figo, ngozi, nywele , kucha, mifupa , macho, usagaji Wa chakula, kusawazisha shinikizo la damu, sukari, nguvu za kiume, tibu via vya uzazi , rudisha Kinga ya mwili Kwa waatnirika Wa maradhi yanayofhoofisha seli za mwili kupitia tibalishe zetu zilizotengenezwa Kwa mimea na kufanyiwa tafiti kisayansi kupitia bodi maalum ya Dunia. Karibu umalize changamoto au ujikinge na changamoto hizo

Tumekuletea suluhisho la kisukari pamoja na shinikizo la damu la juu, bidhaa zetu zinatengenezwa kutumia mimea , matunda...
24/09/2024

Tumekuletea suluhisho la kisukari pamoja na shinikizo la damu la juu, bidhaa zetu zinatengenezwa kutumia mimea , matunda pamoja na mboga mboga ambavyo vimefanyiwa tafiti na wataalamu Wa dawa za binaadamu wakishirikiana na bodi ya sayansi ya Dunia. Bidhaa hizi Zina shuhuda kadha Wa kadha kwani zimeenda kurudisha furaha ya watu wengi Duniani

Karibu tukuhudumie na uwe mwenye afya na furaha tele.

Wasiliana nasi
📞. 0736 505 095
WA. 0787 707 052

AINA ZA FIBROIDSINTRAMURAL FIBROIDSNi Aina Zinawatokea Zaidi Wanawake.Fibroid Hukua Na Kumea Kwene Misuli Ya UkutaWa Ute...
27/08/2024

AINA ZA FIBROIDS
INTRAMURAL FIBROIDS
Ni Aina Zinawatokea Zaidi Wanawake.
Fibroid Hukua Na Kumea Kwene Misuli Ya Ukuta
Wa Uterus. Husababisha Kupanuka/Kuvutika Kwa
Kizazi Na Kusababisha Dalili K**a Hedhi Ya Muda
Mrefu Inayoambatana Na Maumivu Makali Ya
Nyonga.
SUBSEROSAL FIBROIDS
Fibroids Hukua Nje Ya Ukuta Wa Mfuko Wa Mimba,
Wakati Mwingine Kuelekea Kwenye Kibofu Cha
Mkojo. Huweza Kusababisha Maumivu Ya Chi Ya
Mgongo Kutokana Na Kwamba Uvimbe Huu
Unasukuma Neva Za Uti Wa Mgongo Na
Kusababisha Presha Kubwa Kwenye Eneo La Chini
Ya Mgongo.
SUBMUCOSAL FIBROIDS
Fibroid Hukua Karibu Na Ukuta Wa Kizazi. Inaweza
Kusababisha Bleed Ya Muda Mrefu Na Shida
Kwenye Kushika Ujauzito.
CERVICAL FIBROIDS
Hizi Hukua Kwenye Tishu Za Mlango Wa Kizazi
Ambao Huitwa Cervix. Hutokea Mara Chache Sana
Ukilinganisha Na Aina Zingine Za Fibroids.
DALILI ZA FIBROIDS
01. Kupata Hedhi Ya Siku Nyingi Mano Siku Saba
(Damu Nyingi Na Nzito Na K**a Vinyama Nyama)
Hedhi Hii Huweza Kuambatana Na Maumivu
Makali
Karibu upate suluhisho
📞+255 787 707 052

KAZI YA GARLICGarlic ina Kazi nyingi zinazosaidia afya, ikiwa ni pamoja na:1. **Kupunguza Shinikizo la Damu:** Husaidia ...
27/08/2024

KAZI YA GARLIC

Garlic ina Kazi nyingi zinazosaidia afya, ikiwa ni pamoja na:

1. **Kupunguza Shinikizo la Damu:** Husaidia kupunguza shinikizo la damu na kuimarisha afya ya moyo.
2. **Kupambana na Maambukizi:** Ina madhara ya antibayotiki asilia na husaidia kupambana na bakteria, virusi, na fangasi.
3. **Kuimarisha Kinga ya Mwili:** Ina virutubisho k**a vile vitamin C na manganese, ambayo husaidia kuongeza kinga ya mwili.
4. **Kupunguza Hatari ya Saratani:** Utafiti unaonyesha kwamba garlic inaweza kusaidia kupunguza hatari ya baadhi ya aina za saratani.
5. **Kupunguza Viwango vya Cholesterol:** Inaweza kusaidia kupunguza viwango vya cholesterol mbaya (LDL) na kuongeza cholesterol nzuri (HDL).

6. **Madhara ya Kupunguza Uchovu wa Misuli:** Inaweza kusaidia kupunguza uchovu wa misuli na kuboresha utendaji wa mwili, hasa baada ya mazoezi.
7. **Kuimarisha Afya ya Ini:** Husaidia kutengeneza na kuboresha afya ya ini kwa kuondoa sumu na mafuta yaliyojaa.
8. **Kupunguza Uvimbe:** Inaweza kusaidia kupunguza uvimbe na maumivu kwa sababu ya madhara yake ya kupinga uvimbe.
9. **Kusaidia Afya ya Mfumo wa Kumeng'enya Chakula:** Inaweza kusaidia katika utendaji mzuri wa mfumo wa mmeng'enyo na kupunguza matatizo k**a vile gesi na kujaa.
10. **Kusaidia Kupunguza Hatari ya Magonjwa ya Moyo:** Kwa kuongeza kinga ya mwili na kuboresha afya ya damu, garlic husaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
Hizo ni kazi za Garlic katika mwili wa Binadam unapotumia Garlic inakusaidia kuweka Afya yako vizuri.

Karibu tukuhudumie
📞+255 787 707 052

Je una changamoto za unene uliopitiliza ambao unafanya ushindwe kufanya shughuli mbalimbali za kila siku, au zinapelekea...
15/08/2024

Je una changamoto za unene uliopitiliza ambao unafanya ushindwe kufanya shughuli mbalimbali za kila siku, au zinapelekea magonjwa yasiyoambukiza k**a vile
shinikizo la damu,
kisukari
Lehemu nyingi mwilini
Miguu kutuma
Kuchoka bila sababu
Kushindwa kupumua vizuri
Kutokwa na jasho jingi
Basi sisi tuna suluhisho la yote hayo
Kupitia virutubisho Lishe vyetu ambavyo vinatengenezwa kupitia nafaka kamili na matunda, changamoto zote zinaenda kuisha
📞+255 787 707 052

Usisumbuke kwani tunakuletea tiba kupitia matunda, mboga mboga na viungo ambavyo vimechakatwa kisayansi na huku vikikuep...
09/07/2024

Usisumbuke kwani tunakuletea tiba kupitia matunda, mboga mboga na viungo ambavyo vimechakatwa kisayansi na huku vikikuepusha na madhara ya kikemikali
📞0787 707052

Unahisi uchovu, maumivu ya mwili pamoja na viungo? Yawezekana ikawa sio ugonjwa Bali ni upungufu Wa chakula au vitamini ...
25/06/2024

Unahisi uchovu, maumivu ya mwili pamoja na viungo?
Yawezekana ikawa sio ugonjwa Bali ni upungufu Wa chakula au vitamini ndani ya mwili wako.
Je unasumbuliwa na magonjwa yasiyo ambukiza k**a shinikizo la damu, kisukari, vidonga vya tumbo, tezi dume na mengineyo?
Na umekua ukitumia tiba na dawa tofauti tofauti za hospital na hujapata matokea zaidi?
Basi wasiliana nasi tukuhudumie kwani tuna virutubisho Lishe ambavyo vimetengenezwa Kwa ubora Wa hali ya juu.
Virutubisho hivi vimepasishwa na bodi ya sayansi ya Dunia kua ni salama na vyenye matokeo changa katika kuboresha afya ya mwanadamu.
📞+255 736 505095
WA +255 787 707052

Kwa kutumia vijazilizi Lishe unaweza kupambana na changamoto mbali mbali za kiafya, wasiliana nasi ili tukupe ushauri.
01/06/2024

Kwa kutumia vijazilizi Lishe unaweza kupambana na changamoto mbali mbali za kiafya, wasiliana nasi ili tukupe ushauri.

Changamoto za afya hurudisha maendeleo binafsi nyuma, ImaraAfya tuna suluhisho ikiwa una shida zifuatazoa. Magonjwa ya M...
15/05/2024

Changamoto za afya hurudisha maendeleo binafsi nyuma, ImaraAfya tuna suluhisho ikiwa una shida zifuatazo
a. Magonjwa ya Moyo
b. Sukari
c.cancer stage za mwanzo
d.Maradhi ya Figo
e.Nguvu za kiume
f.Changamoto za Hormone
g.Hamu ya kula
h. Kutopata choo
I. Shinikizo la damu
J.Maambukizi kwenye via vya uzazi
K.Upungufu Wa Kinga za mwili
Na mengineyo mengi

Wasiliana nami nikuhudunie
WA 📞+255 787 707 052

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255787707052

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ImaraAfya Nutrition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share