27/07/2022
UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME:
Endapo mwanaume anashindwa
kusimamisha uume umekukosa
nguvu ya kutosha kuingia ndani ya uke au kushindwa kurudia tendo
la ndoa baada ya kumaliza bao moja, huyu tuna mwita anaupungufu wa nguvu za kiume
(importency).
Kusima kwa uume kunatokana na mapigo
ya moyo kupanda baada ya mtu kupata
ashki ya kufanya tendo la ndoa(sex
arousal), hivyo basi moyo husukuma
damu nyingi kuelekea sehemu za uzazi
ambayo damu hio huijaza mishipa
midogomidogo ya damu (sponge-like
bodies) inayotengeneza uume(pen*s).
Sababu zinazosababisha tatizo la nguvu za
kiume zinawekwa katika makundi mawili.
MATATIZO YA KIAFYA NI K**A:
>Magonjwa ya kisukari, (diabetes mellitus).
> Ugonjwa wa presha (blood pressure).
> Matatizo ya tezi dume.
> Upungufu au mvurugiko wa uzalishaji
Homoni za uzazi.
> Athari za matumizi ya dawa kwa muda
mrefu (drug side effect).
> Kuvuta sigara na kunywa pombe kupita kiasi.
TATIZO LA KIFIKWA (Psychological reasons)
> Migogoro katika mahusiano,
> Matatizo ya kimaisha,
DALILI ZA TATIZO HILI:
>Kushindwa kusimamisha uume mara kwa
mara,
> Uume kulala(kusinyaa)katikati ya tendo
la ndoa.
> kushindwa kusimamisha ipasavyo.
> Kukojoa haraka mara baada ya kuanza
kujamiiana. Au kukaa muda mrefu sana
bila kukuojoa.
> Maumivu ya misuli ya uume wakati wa
tendo la ndoa.