faith health care

  • Home
  • faith health care

faith health care All

faith health care   ,Ugonjwa wa presha sim wa.me/255748073179Dalili za Ugonjwa wa presha mara nyingi hazipatkani kirahis...
26/01/2024

faith health care ,Ugonjwa wa presha sim wa.me/255748073179
Dalili za Ugonjwa wa presha mara nyingi hazipatkani kirahisi ila dalili zifuatazo mara nyingi huwa ni tatizo lapresha
1) Kichwa kuuma
2)Kutokwa damu puani
3)Kupumua kwa shida
4)Moyo Kukimbia sana
5)Kutokwa jasho kwa wingi nk .
Ili kujikinga nugonjwa huu wa presha
1)Epuka unywaji wa pombe kupita kiasi kwani unywaji wa pombe kupita kiasi huathili mifumo mingi ya mwili
2)Fanya mazoezi dkk 30 - 45 kwasiku kwani ufanyaji wamazoezi utakusaidia kupunguza mafuta yaliyo Ganda ndani ya mishipa ya damu na cholesterol ambayo ni hatari sana kwa afya

3 Acha kula nyama nyekundu na mafuta yawanyama kwani hivi huongeza unene na mafuta mengi mwilini badala yake kula nyama nyeupe namafuta ya mimea
Nyama nyeupe k**a vile
Sungura
Kuku
Bata
Njiwa
Samaki nk...

Mafuta ya mimea k**a vile
Mafuta ya Alizeti
Mafuta ya samaki
Mafuta ya n**i
Mafuta yamawese
Mafuta ya karanga nk...

K**a unatatizo la presha fika ofcn kwetu upate matibabu wengi wame pona

faith health care  Je, Nini Husababisha Hali Hii?Muongezeko wa damu kuvuia unaweza kusababishwa na mzunguko mfupi wa hed...
11/01/2024

faith health care Je, Nini Husababisha Hali Hii?
Muongezeko wa damu kuvuia unaweza kusababishwa na mzunguko mfupi wa hedhi au matatizo ya afya ambayo husababisha uke kutoa damu.

Je, Vyanzo Vya Mzunguko Mfupi Wa Hedhi Vinakuwaje?

K**a mzunguko wako wa hedhi unapokuwa mfupi ghafla tu, basi inaweza kutokana na tatizo lolote kati ya haya yafuatayo:

*Yai kutopevuka
*Kufikia umri wa kukoma hedhi
*Tezi ya thyroid kutokufanya kazi
*Ubarehe
*Uvimbe kwenye kizazi au vifuko vya mayai
*Msongo wa mawazo
*Kuwa na uzito mkubwa au kupungukiwa uzito
*Matumizi ya madawa ya mpango wa uzazi.

Tunatoa suluhisho la changamoto K**a hizo 👆tupigie kwa msaada zaidi 0748073179

Health Care (0748073179) Tunatoa huduma za upimaji wa magonjwa sugu (buree). Utatakiwa kuwa na kiasi cha Sh 20,000 kwa a...
05/01/2024

Health Care (0748073179) Tunatoa huduma za upimaji wa magonjwa sugu (buree). Utatakiwa kuwa na kiasi cha Sh 20,000 kwa ajili ya kufungua faili kabla ya kuingia kwa daktari. Gharama za matibabu zitakuwa juu ya mgonjwa baada ya vipimo.
Baadhi ya magonjwa tunayopima na kutibu;
*Matatizo ya kisukari
*matatizo ya vidonda vya tumbo
*Matatizo ya macho
*Matatizo ya uzazi
*Matatizo ya meno
*Kujikojolea kitandani
*Pia tunazo dawa za kupunguza mwili na uzito
*Nguvu zakiume
*Matatizo ya presha Moyo, Ini , Ngiri
*Magonjwa ya ngozi nk...
*Magonjwa ya watu wazima na wazee.

Tunapatikana Mkoa wa Dar-es-salaam Kariakoo .Njoo ukutane na madaktari bingwa Wakarimu na wenye Uzoefu.

Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya faith health care  ]  kwa  ...
01/01/2024

Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya faith health care ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya kizazi imeenea tafadhali epuka kuosha sehemu zako za siri kwa kutumia sabuni, osha kwa kutumia maji tu, kuna kemikali mbali mbali kwenye sabuni ambazo kiujumla wake ni hatari sana naupo uwezekano zinasababisha saratani ya kizazi, kesi za saratani ya kizazi zimatapakaa katika hospitali nyingi kubwa kwa hiyo tahadhari na ujumbe huu muhimu.
K**a unawaonea huruma wafikishie ujumbe huu ambao pia ni muhimu kwako.
⭕ Wasichana 56 wamefariki kwa kutumia (Pedi) Whisper, Stayfree nk.

⭕ Usitumie pedi moja kwa kutwa nzima kwa sababu kemikali zilizotumika (kuitengenezea) inabadilisha maji maji na kuwa rojo rojo ambayo inasababisha saratani katika kibofu cha mkojo na kwenye fuko la uzazi. Kwa hiyo tafadhali jaribu kutumia pedi zilizotengenezwa kwa kutumia pamba, au kam unatumia aina nyengine ya pedi tafadhali angalau badilisha kila baada ya masaa matano kwa siku. Unapopitiliza muda damu (iliyopo kwenye pedi) hugeuka rangi na kuwa ya kijani na kuotesha ukungu (fungus) unaoingia ndani ya fuko la uzazi na kwenye mwili.

⭕ Tafadhali usione aibu kuusambaza ujumbe huu kwa wasichana na hata kwa wavulana watakao usambaza pia kwa marafiki zao na wake zao wanaowajali.

⭕ DHAMIRIA

Kutokomeza saratani ya matiti "Breast Cancer".

🔺 Mtunze mtoto wako (Kumuweka nadhifu).

🔺Fua sidiria yako kila siku.

🔺Epuka kuvaa sidiria nyeusi wakati wa kiangazi (Summer).

🔺Usivae sidiria wakati wa kulala.

🔺Usivae sidiria zenye chuma kwa muda mrefu.

🔺Unapokuwa juani ziba kifua chako chote kwa mtandio au kitambaa (Scarf).

🔺Tumia deodorant na usitumie Anti Perspirant.

Kwa faida yako. "Deodorant ni manukato yanayotumika kupaka chini ya kwapa kwa kuleta harufu nzuri na wakati huo huo sehemu ile ya mwili iliyopaka deodorant mwili kufanya kazi k**a kawaida kwa kuruhusu vipenyo kupitisha jasho. Wakati Anti Perspirant huwa haifanyi hivyo, kazi yake ni kuzui jasho lisitoke na kuifanya sehemu hiyo ya mwili kuwa kavu jambo ambalo ni hatari kiafya na linaweza kusababisha saratani".

FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE.“Ni Mimi Mshauri Makini 0748073179👉🏽 Vidonda vya tumbo (Ulcers) ni ugonjwa ...
31/12/2023

FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE.

“Ni Mimi Mshauri Makini 0748073179

👉🏽 Vidonda vya tumbo (Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na mfumo wa Maisha, ulaji mbaya na Mazingira tunayoishi Kwa ujumla.

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

1️⃣ BAKTERIA
Chanzo kikubwa cha ugonjwa wa vidonda vya tumbo ni Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori). Bakteria hawa huenezwa kwa kula chakula na kunywa maji. Katika mwili wa binadamu Bakteria hawa wapo katika mate na katika ute unaotanda juu ya kuta za Sehemu ya Utumbo Mwembamba (Duodenum) na mfuko wa tumbo.

2️⃣ MADAWA:
Matumizi makubwa ya dawa za kupunguza maumivu ya kichwa na maumivu mengine madogo madogo. Dawa hizo ni k**a aspirin, diclofenac, naproxen, ibuprofen n.k. Dawa hizi hupunguza uwezo wa tumbo wa kutengeneza utando wa ute wa kulikinga tumbo hivyo kulifanya liweze kuliwa kirahisi zaidi na tindikali.

4️⃣ Kutokula chakula kwa wakati au kula vyakula vyenye viungo vingi na pilipili nyingi.

5️⃣ Msongo mkubwa wa Mawazo N.K

DALILI YA VIDONDA VYA TUMBO

▶️ Tumbo kujaa gesi.
▶️ Tumbo kuwaka moto.
▶️ Kukosa choo au kupata choo kwa shida.
▶️ Kutapika nyongo
▶️ Kutapika damu au kuharisha.
▶️ Sehemu za mwili kupata ganzi.
▶️ Kukosa hamu ya kula.

MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO

3️⃣ Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease).

5️⃣ SARATANI YA TUMBO
Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata Saratani ya tumbo (stomach cancer).

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Kwa matatizo ya vidonda vya tumbo, watu wengi wamekuwa hakihangaika sana kupata matibabu sahihi na badala yake wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo na si kutibu chanzo cha tatizo moja kwa moja.

Tunayo TIBA nzuri sana ya kutibu vidonda vya tumbo hakika utapona kabisa. TIBA hii ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo hata k**a vimekuwa sugu Kwa miaka mingi vitapona tu kwa sababu tunazuia *CHANZO CHA TATIZO na KUTIBU TATIZO LENYEWE*
0748073179

UGONJWA WA KISUKARI👉Ugonjwa kisukari au kitaalamu tunaita (diabete mellitus)  ni tatizo linalosababishwa na ukosefu wa i...
31/12/2023

UGONJWA WA KISUKARI

👉Ugonjwa kisukari au kitaalamu tunaita (diabete mellitus) ni tatizo linalosababishwa na ukosefu wa insulin ambayo hutoka katika kongosho

💫Kuna aina mbili za ugonjwa wa sukari
1️⃣ Kisukari type 1
2️⃣Kisukari type 2

📌 KISUKARI TYPE 1
👉 hii ni aina ya kisukari ambayo kitaalamu tunaiita JUVENILE DIABETES ambayo mara nyingi inawapata watoto wadogo mara nyingi ugonjwa huu huwa wa inheritance yani ni moja ya Magonjwa ya kurithi ugonjwa huu husababishwa pia na kuharibiwa kwa seli za kongosho hivyo kushindwa kutoa insulin ya kutosha

💫
DALILI ZA KISUKARI TYPE1
👉 Kuhisi kiu sana
👉 Mdomo kuwa mkavu sana
👉 Matatizo ya ngozi na njia za mkojo
👉 Kiungulia na kichefu chefu kikali
👉 Kukojoa mara kwa mara
👉 Kuhisi njaa kila wakati
👉 Mwili kukosa nguvu
👉 Jasho sana hasa nyakati za usiku
👉 Kushindwa kujiamini

2️⃣ DIABETES TYPE 2

💫hii ni aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ambayo huwapata watu wazima umri kuanzia miaka 45 plus hapa inaeeezekana insulin ipo ila haifanyi kazi kabisaa

Kwa dawa,ushauri,tiba lishe na jinsi ya kujikinga tupi
🇹🇿0748073179

Je unasumbuliwa na changamoto za uzito ulipitiliza,nyama zembe, kitambi?Jibu ni moja tu tumia C9 product Ni bidhaa inayo...
31/12/2023

Je unasumbuliwa na changamoto za uzito ulipitiliza,nyama zembe, kitambi?
Jibu ni moja tu tumia C9 product
Ni bidhaa inayokusaidia kupunguza uzito ndani ya siku 9 pasipo madhara yoyote ya kiafya.
Kusafisha mfumo wa chakula na kuondoa taka mwili
Wasiliana nasi WhatsApp/call 📞 0748073179

31/12/2023
faith health care    (0748073179) tunatibu magonjwa yote sugu k**a vilei.Matatizo ya kisukariii.matatizo  ya kansa iii.m...
31/12/2023

faith health care (0748073179) tunatibu magonjwa yote sugu k**a vile
i.Matatizo ya kisukari
ii.matatizo ya kansa
iii.matatizo ya vidonda vya tumbo
iv.matatizo ya macho
v.matatizo ya uzazi
v.matatizo ya mano
v.kujikojolea kitandani
vi.pia tunazo dawa za kupunguza mwili na uzito
vii.magonjwa ya watu wazima na wazee
tunapatikana mkoa wa dar-es-salaam gorofa la china plaza kariakoo mtaa wa uhuru .Njoo ukutane na madaktari bingwa na wazoefu na wakarimu
huduma nyingine zitolewazo ni pamoja na ;-
head message machine-hii ni mashine nzuri kwa wale wanaosumbuliwa na matatizo ya kichwa kuuma na kukosa usingizi pia huondoa maumivu ya kichwa na shingo wa.me/ 0748073179

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when faith health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram