04/10/2024
VIDONDA VYA TUMBO NI NINI? HEBU TEGA SIKIO. Pia Pata vipimo vya mwili mzima kwa ofa ya 30,000 tu. Piga 0765892608.
VIDONDA VYA TUMBO?
Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba. Kuna aina kuu mbili (2) za vidonda vya tumbo
1. Gastric Ulcers: hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula
2. Duodenal Ulcers: hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
1. Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H.pylori)
2. Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
3. Kuwa na mawazo mengi
4. Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
5. Kunywa pombe na vinywaji vikali
6. Uvutaji wa sigara
7. Kuto kula mlo kwa mpangilio
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2. Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
3. Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4. Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5. Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6. Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7. Kushindwa kupumua vizuri
SULUHISHO
Tumia bidhaa zetu ni suluhisho pekee kwa tatizo hili maana huondoa chanzo cha ugonjwa sio kutuliza maumivu. Bidhaa zetu ni 100% NATURAL & HALAL ambazo hufanya mtu kupona na kuimarika afya yake
Tafadhali share taarifa hizi kwa ndugu, jamaa na marafiki. Maelezo zaidi piga 0765892608