26/03/2025
HOMONI NA UTE/MTOKO WA UKENI??
UTE unaotoka Ukeni Ni Matokeo Ya Mabadiliko Ya Homoni, Na Ute Uu Unaweza Kubadilika Harufu,Rangi Na Ata Muonekano.Kumbuka Homoni Huongoza Uzazi,Hedhi Afya Yote Ya Uke. HOMONI K**a Progesteroni,Estrojeni,Testesteroni,Prolactin Na Cortisol Zinaweza Kuathiriwa Kutokana Na Mabadiliki Ya Homoni; Aina Za Ute Kutokana Na Mabadiliko Ya Homoni Baadhi Ni Izi....
UTE WENYE HARUFU MBAYA
(ROTTEN/FISH SMELL)
📌Hutokea Kutokana Na Ph Ya Uke Kuathiriwa Na Homoni, Na Kupelekea Kuzaliana Kwa Bakteria.Pia Kubadilika Kwa Homoni Za Uzazi Kunaweza Kupelekea Uke Kutoa Harufu Mbaya.
📌Rangi Yoyote Inayoambatana Na Harufu Mbaya Au Harufu Isiyo Ya Kawaida K**a Ya Samaki ETC.
UTE WA KUNATA/UNAOVUTIKA
(K**A YA KIINI CHEUPE)
📌Hutokea Wakati Wa Kupevuka Kwa Yai(Ovulation) Hutokea Ikiwa Estrogen Ipo Juu,Husaidia Sperms Kusafiri Kirahisi.
K**a Ute Huu Ni Mwingi Kupita Kawaida Ni Ishara Ya Shida Ya Vimbe Maji(PCOS),Ambapo Mwili Huzalisha Estrogen Nyingi Lakini Mzunguko Wa Hedhi Hauko Sawa.
📌Rangi Yake Ni Transparent/Nyeupe Na Muonekano Wa Unaovutika Ukiushika , Yaani K**a Yai Bichi(Kiini Cheupe).
UTE WA KAHAWIA AU MWEUSI
(BROWN OR DARK)
📌Huashiria Progesteroni Haiko Sawa(Mvurugiko Wa Homoni) Kwa Sababu Ya Uzazi Wa Mpango,Mabaki Ya Zamani Damu Na Ujauzito/Mimba Kuharibika
📌Rangi Yake Ni Kahawia,Nyeusi Au Dark Red.
UTE WA NJANO AU KIJANI
(YELLOWISH/GREENISH)
📌Huashiria Kuzidi kwa Homoni Ya Estrogen Au Magonjwa Ya Zinaa K**a Gonorrhea,Chlamydia Yanayotokana Na Bacteria Ambao Hushusha Kinga Za Mwili
📌Rangi Yake Ni Kijani Au Njano Na Muonekano Mzito K**a Povu.
UTE MZITO,MWEUPE WA MABONGE K**A MTINDI
(THICK,WHITE AND CLUMPY)
📌Huonesha Kiwango Cha Juu Cha Estrojeni ,Labda Kutokana Na Fangasi,Uzazi Wa Mpango Na Matumizi Holela Ya Antibiotik.
📌Rangi Yake Yawezakua Nyeupe/Maziwa,Nzito Na Mabonge K**a Mtindi.
UTE MWEMBAMBA NA MAJIMAJI
(THIN AND WATERY)
📌Huonesha Kiwango Cha Chini Cha Homoni Ya Estrojeni, Labda Kutokana Na Umri,Stress Au Kunyonyesha.
📌Rangi Yake Huezakua Nyeupe/Transparent Na Mwembamba K**a Maji.
KUMBUKA
📌Changamoto Izi Zinatibika Na Afya Yako Inatibika,Usikubali Maeneo Nyeti Ya Mwili Wako Yaathirike Kwa Namna Yoyote Ile.
📌Amua Saa Hii Tupigie Au Tutext Au Tuma Text Kwenda Katika Namba 0763981901
MgodiWaAfya Upo Karibu Yako,Afya Ni Dhahabu.