
24/09/2024
UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA TIBA YAKE
Nini maana ya shinikizo la damu?
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza damu,virutubishi,vitamin,protein,madini, oksijeni N.K Kuvipeleka sehemu mbali mbali za mwili nakutoa uchafu.
SABABU ZA MTU KUUGUA UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA JUU LA DAMU)
☑Uvutaji sigara
☑ Unene na uzito kupita kiasi
☑Unywaji wa pombe
☑Upungufu wa madini ya potassium
☑ Upungufu wa vitamin D
☑Umri mkubwa
☑Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
☑Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
*Uanishaji wa shinikizo la damu
☑Presha ya kawaida