Tatua changamoto za kiafya

Tatua changamoto za kiafya karibu utatue changamoto za kiafya sasa upate suluhisho la uhakika

🟢 HATUA 6 ZA KUSAIDIA KUSAFISHA INI LAKOKunywa maji ya kutosha kila siku• Punguza mafuta na sukari nyingi• Kula mboga za...
09/02/2026

🟢 HATUA 6 ZA KUSAIDIA KUSAFISHA INI LAKO
Kunywa maji ya kutosha kila siku
• Punguza mafuta na sukari nyingi
• Kula mboga za majani na matunda
• Epuka pombe na kemikali zisizo za lazima
• Fanya mazoezi mara kwa mara
• Lala vya kutosha

MAUMIVU WA MGONGO 0792445017
09/02/2026

MAUMIVU WA MGONGO 0792445017

0792445017
09/02/2026

0792445017

PONA KISUKARI LEO PIGA SM 0792445017
09/02/2026

PONA KISUKARI LEO PIGA SM 0792445017

04/01/2026

Sikiliza mpaka mwisho

18/12/2025

KISUKARI
BLOOD SUGAR 0753895485

Hili ni miongoni mwa matatizo ambayo yanatokana na upungufu wa kinga mwilini,

Ifahamike kisukari kina mpata mtu ni kutokana na zile kinga za mwili kushindwa kufanya kazi yake vizuri,

Na ili kinga za mwili ziweze kufanya kazi yake vizuri inahitajika mfumo wa taarifa uwe imara,

Mfumo wa taarifa ndio unao ongoza mwili mzima kwa mfano umwagaji wa insulin kutoka kwenye kongosho inahitajika taarifa moja kwa moja kutoka kwenye ubongo,

Kazi ya figo ni kudhibiti kiwango cha sukari mwilini, maji, chumvi, madini, na acid,

Na katika mwili wa binaadam chumvi ikiingia mwilini inahesabika k**a sukari baada ya madini joto baadhi kuchukuliwa,

Tuangalie moja kwa moja sasa sababu zinazo perekea tatizo hili la kisukari na sukari inabidi iwe 5 tu mwilini haitakiwi kushuka wala kupanda,

Kuna aina mbili ya kisukari hypergreshimier
Hypogreshimier

Yaani sukari kupanda na kushuka

SABABU ZA KISUKARI
1. Msongo wa mawazo
2. Ulaji wa vyakula vyenye sukari kwa wingi
3. Kushuka kwa kinga za mwili
4. Virusi vya ukimwi
5. Presha
6. Uchujaji katika figo kushuka

DALILI ZA KISUKARI
1. Kuhisi njaa mara kwa mara
2. Kuhisi mkojo mara kwa mara
3. Mkojo kunata k**a asili ya sukari
4. Mkojo kua wa njano
5. Macho kua ya chano
6. Kuchoka mara kwa mara
7. Mwili kuishiwa nguvu
8. Kuhisi kiu mara kwa mara
9.ganzi

USHAURI
1. Epuka kula vyakula vyenye sukari
2. Fanya mazoezi
3. Kunywa maji ya kutosha
4. Epuka mawazo
5. Epuka umezaji wa dawa za kemikali kwa muda mrefu

Kisukari kinatibika
Karibu tukupatie huduma bora za matibabu

Wasiliana nasi sasa
0792445017

29/03/2025

1. Kukaa kwa muda mrefu

2. Kuharisha au kukosa choo kwa muda mrefu

3. Lishe yenye upungufu wa nyuzinyuzi

4. Unene kupita kiasi

5. Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara

6. Kukosa mazoezi

7. Ujauzito

8. Uzee

9. Kukohoa sugu au kupiga chafya mara kwa mara

10. Kurithi (msukumo wa vinasaba)

Sababu 7 za Mawe Kwenye Figo:1. Kula chakula chenye kiwango kikubwa cha madini ya calcium2. Ukosefu wa maji mwilini (deh...
27/03/2025

Sababu 7 za Mawe Kwenye Figo:

1. Kula chakula chenye kiwango kikubwa cha madini ya calcium

2. Ukosefu wa maji mwilini (dehydration)

3. Maumbile ya urithi

4. Vidonda vya figo au magonjwa ya figo

5. Kula vyakula vyenye oxalates nyingi

6. Kushindwa kwa mfumo wa neva

7. Ushiriki wa baadhi ya dawa

Dalili 7 za Mawe Kwenye Figo:

1. Maumivu makali (mgongoni, tumbo au ubavuni)

2. Damu kwenye mkojo

3. Kihara (kujisikia kutapika)

4. Kutapika

5. Mkojo wenye harufu kali

6. Kushindwa kupumua kwa urahisi

7. Kichwa kuuma na uchovu

Madhara 7 ya Mawe Kwenye Figo:

1. Uharibifu wa figo

2. Kushindwa kwa figo

3. Kuzuia mkojo

4. Maambukizi ya mkojo

5. Kupata msh*tuko wa figo (renal colic)

6. Kuharibika kwa afya ya mwili

7. Kushindwa kwa utendaji wa figo

24/03/2025

wasiliana nasi kwa namba 0753895485 upate suluhisho la uhakika

Address

Kimara
Dar Es Salaam
432

Telephone

+255753895485

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tatua changamoto za kiafya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tatua changamoto za kiafya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram