Fau Health & Wellness

Fau Health & Wellness Fau Health & Wellness

Aina Za Uvimbe Kwenye Kizazi:Kuna aina kuu nne (4) za uvimbe kwenye kizazi kulingana na sehemu unapotokea kwenye mfuko w...
05/05/2024

Aina Za Uvimbe Kwenye Kizazi:
Kuna aina kuu nne (4) za uvimbe kwenye kizazi kulingana na sehemu unapotokea kwenye mfuko wa uzazi ambao ni pamoja na;

1) Intramural Fibroids.
Hii ni aina ya uvimbe ambayo uwapata sana wanawake. Aina hii ya uvimbe hukua na kumea kwenye misuli ya ukuta wa mfuko wa mimba (uterus). Kadri uvimbe huu unavokua basi husababisha kupanuka au kuvutika kwa kizazi na kusababisha dalili k**a hedhi.

2) Subserosal Fibroids.
Aina hii ya uvimbe hukua nje ya ukuta wa mfuko wa mimba, wakati mwingine kuelekea kwenye kibofu cha mkojo. Aina hii ya uvimbe huweza kusababisha maumivu ya chini ya mgongo kutokana na kwamba uvimbe huu unasukuma neva za uti wa mgongo na kusababisha presha kubwa kwenye eneo la chini ya mgongo.

3) Submucosal Fibroids.
Aina hii ya uvimbe hukua karibu na ukuta wa kizazi. Hii inaweza kusababisha kutokwa na damu kwa muda mrefu wakati wa hedhi na shida kwenye kushika ujauzito.

4) Cervical Fibroids.
Huu uvimbe hukua kwenye tishu za mlango wa kizazi ambao huitwa cervix.

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

JE, HUYU NI WEWE UNAYETESEKA NA TATIZO LA UVIMBE KWENYE MASHAVU YA UKE ( BARTHOLIN CYST)....???Bartholin Cyst au uvimbe ...
19/04/2024

JE, HUYU NI WEWE UNAYETESEKA NA TATIZO LA UVIMBE KWENYE MASHAVU YA UKE
( BARTHOLIN CYST)....???

Bartholin Cyst au uvimbe wa kwenye mashavu karibu na mlango wa uke inasababishwa na nin?
Bartholin ni gland ambayo kazi yake kubwa ni kuweka unyevu kwenyebuke hasa wakatibwa tendo la ndoa.
Kuna sababu kubwa 2 zinazofanya mtu atokwe na uvimbe huu

1. Maambukizi ya Bacreria anayeutwa E- coli ambapo anakuja na kuziba njia za kwenye maingilio ya glands hzo

2. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa k**a kisonono na chlamydia

Ukiona dalili zifuatazo ni ishara ya kuwa una tatizo la Bartholin Abcess/ cyst.... yaani uvimbe kwenye mashavu ya uke karibu na mlango wa uke.

1. Umeota Kiuvimbe kwenye mashavu karibu na mlango wa uke

2. Unapata maumivu makali sana wakati mwingine unapata shida hata kutembea au kukaa

3. Inakuwa ngumu kufanya tendo la ndoa kwa sababu ya maumivu

4. Uke wako unakuwa mkavu.

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUSHINDWA KUFANYA KAZI.(FALLOPIAN TUBES DISFUNCTION).Kuna mambo mengi husababisha mirija ya uz...
17/04/2024

TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUSHINDWA KUFANYA KAZI.
(FALLOPIAN TUBES DISFUNCTION).
Kuna mambo mengi husababisha mirija ya uzazi kuziba ni pamoja na.....
โ— Maambukizi ya virusi pamoja na bacteria, na makovu hutokana na ngono zembe mfano Hydrosalpinx.
โ— Magonjwa ya tumbo k**a appendix na colitis ambapo hupelekea makovu na mirija ya uzazi kuziba.
โ— Upasuaji maeneo ya kinena na tumbo huweza kusababisha uharibifu utakaozuia upitaji wa yai.
โ— Mimba Ndani Ya Mirija Ya Uzazi (Ectopic Pregnancy)
โ— Pamoja na matatizo ya kuzaliwa nayo.

๐Ÿ’SULUHISHO SAHIHI NI๐Ÿ’...
Kuna tiba sahihi pasi na upasuaji bali kutumia bidhaalishe zenye ubora na kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanamke.

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

๐—๐—˜ ๐—จ๐— ๐—˜๐—ง๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—ง๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐— ๐—ฅ๐—˜๐—™๐—จ ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—œ๐—ž๐—œ๐—ข ๐—ก๐—” ๐—›๐—จ๐—๐—จ๐—œ ๐—จ๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—”๐—๐—˜ ๐Ÿ˜ž๐Ÿคท ............... ๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—จ๐—š๐—จ๐— ๐—•๐—” (...
17/04/2024

๐—๐—˜ ๐—จ๐— ๐—˜๐—ง๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—ง๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐— ๐—ฅ๐—˜๐—™๐—จ ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—œ๐—ž๐—œ๐—ข ๐—ก๐—” ๐—›๐—จ๐—๐—จ๐—œ ๐—จ๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—”๐—๐—˜ ๐Ÿ˜ž๐Ÿคท ...............

๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—จ๐—š๐—จ๐— ๐—•๐—” (๐—œ๐—ก๐—™๐—˜๐—ฅ๐—ง๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ง๐—ฌ) ๐Ÿ‘‡
โœ๏ธ Matatizo katika kiwanda cha kuzalisha mayai ya uzazi. ( Ovari)
โœ๏ธ Matatizo ya homoni kutokua sawa( hormonal Imbalance)
โœ๏ธ Matatizo ya hedhi k**a:
โœ๏ธ Kukosa hedhi kabisa
โœ๏ธ Kupata hedhi kidogo sana au nyingi sana
โœ๏ธ Kupata hedhi yenye maumivu makali sana
โœ๏ธ Kupata hedhi nzito au nyepesi sana.
โœ๏ธ Mirija ya uzazi kuziba kutokana na maambukizi katika mfumo wa uzazi.
โœ๏ธ Vimbe kwenye mfumo wa uzazi.
โœ๏ธ Vimbe kwenye Ovari
โœ๏ธ Vimbe kwenye mirija ya uzazi..
โœ๏ธ Fangasi sugu na u.t.i sugu
โœ๏ธ Kukosa uteute wauzazi
โœ๏ธ Maambukizi Kwenye Via Vya Uzazi (PID)

Kwa ushauri na Tiba za magonjwa mbalimbali Kwa KUTUMIA tiba lishe asili kabisa zisizo na kemikali
**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—ญ๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—š๐—ข๐—œ๐—ง๐—”/๐—ฅ๐—ข๐—ฉ๐—จ ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ?;๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ฆ๐—จ๐—”๐—๐—œGoita ni uvimbe usio wa kawaida wa tezi ya thyroid. Thyroid ni...
02/04/2024

๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—ญ๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—š๐—ข๐—œ๐—ง๐—”/๐—ฅ๐—ข๐—ฉ๐—จ ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ?;๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ฆ๐—จ๐—”๐—๐—œ

Goita ni uvimbe usio wa kawaida wa tezi ya thyroid. Thyroid ni tezi yenye umbo la kipepeo iliyo sehemu ya chini ya shingo chini kidogo ya kikoromeo. Pamoja na kuwa goita hazina maumivu, goita kubwa inaweza kuleta kikohozi au kusabaisha matatizo ya kumeza au kupumua.

Chanzo kikubwa cha goita katika sehemu nyingi za dunia ni ukosefu wa madini ya iodine katika chakula. Katika maeneo ambayo madini ya iodine huongezwa kwenye chumvi inayotumika, goita huwa zinatokana na uzidifu au upungufu katika uzalishwaji wa homani ya thyroid au vivimbe vinavyojijenga kwenye tezi ya thyroid.

Tiba hutegemea ukubwa wa goita, dalili ambazo zimejitokeza na chanzo halis cha goita hiyo. Goita ndogo ambazo hazionekani na ambazo hazileti usumbufu hazihitaji tiba.

๐——๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ด๐—ผ๐—ถ๐˜๐—ฎ/๐—ฅ๐—ผ๐˜ƒ๐˜‚
Si goita zote ambazo huonyesha dalili. Pale mabapo dalili zitaonekana, zinaweza kuwa:

1. Uvimbe unaooneka eneo inapoanzia shingo
2. Kusikia kubanwa kooni
3. Kukohoa
4. Sauti kukwaruza

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

 #  # #FURSA      FURSA    FURSA           ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟBFSUMA TZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.   BFSUMA ni Kampuni inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaj...
18/03/2024

# # #

FURSA FURSA FURSA

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟBFSUMA TZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

BFSUMA ni Kampuni inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaji wa bidhaa za VIRUTUBISHALISHE .Bidhaa hizi huzaliswa katika nchi za MAREKANI ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ HongKong ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ฐ n GERMANY ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช

*** Unaweza KUJISAJILI na Kua WAKALA WA BFSUMA Kwa MTAJI WA Laki moja na Hamsini Elfu ( Tsh 150,000/=)
โ€ขFAIDA za kuwa WAKALA wa BFSUMA
1)UBORA WA BIDHAA,bidhaa zetu ni bora kwa kuwa na matokeo mazuri kwa kila mtumiaji

2)BEI YA BIDHAA,tuna bidhaa nyingi za Bei ya chini Ambazo watu Wengi wana Mudu hivyo itakurahisishia kufanya biashara kwa watu wa matabaka/level zote

3)NAMNA YA KUANZA BIASHARA,ni rahisi kuanza biashara na BFSUMA kwani MTAJI unaohitajika ni (Tsh 150,000/=)Ambayo watu Wengi wana mudu
...Uta Chukua bidhaa ambazo una mteja anaihitaji au unazohitaji kuzitumia

4)MPANGO MASOKO BORA NA UNAOTEKELEZEKA,mpango masoko wa BFSUMA ni rahisi kwa kila Mwenye kujituma katika kufanya kazi hivyo huwezesha WAGAVI/MAWAKALA Kupata BONUS KILA MWEZI,ku QUALIFY SAFARI NA MAGARI

5) UWEPO WA BIDHAA NYINGI Aina TOFAUTI TOFAUTI , HII inakusaidia wewe Mgavi/Wakala KUKUA KI BIASHARA Kwani unakua na Wigo mpana wa SOKO .

Pia Kampuni Ya BFSUMA huzalisha BIDHAA zake zote Yenyewe kitu kinachoiwezesha Kampuni ku Control UBORA WA BIDHAA , Tofauti na Makampuni mengine ambayo huingia Ubia/Mikataba na Viwanda/Wazalishaji ili kuweza kuzalishiwa bidhaa kwa brand/Majina yao.

**FIKIRIA CHUKUA HATUA**
KILA KITU KINAWEZEKANA

JIUNGE NASI TUTAKUWEZESHA KUYAFKIA MALENGO YAKO

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

FAHAMU VYAKULA VYENYE KUMPA HAMU NA FURAHA YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE. โ— SPINACH _ Mboga ya majani ya spinachi ina ma...
14/03/2024

FAHAMU VYAKULA VYENYE KUMPA HAMU NA FURAHA YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE.

โ— SPINACH
_ Mboga ya majani ya spinachi ina madini mengi ya magnesium ambayo kusambaza damu kwa haraka mwili na hali hii humfanya mwanamke kuwahi kufika kileleni mapema akiwa na hamu zaidi na furaha ya tendo la ndoa.

โ— Majani ya mchaichai (Green Tea).
_ Kuna kompaundi itwayo "catechins " ambayo huondoa sumu na kuvunjavunja mafuta ili damu iweze kupita vizuri kwenye mishipa ya damu na kumfanya mwanamke aweze kufurahia tendo la ndoa.

โ— Mafuta ya samaki (Omega3).
_ Ni aina ya mafuta ya samaki ambayo huimarisha afya ya ubongo hasa kuwa na hisia kali na kuleta hamu ya tendo la hasa kufanya homoni na kuweza kutoa cell za Dopamine kuzarisha hisia za mapenzi kwa wingi.

โ— Chocolate
_ Chakula hiki kina muunganiko wa madini k**a potassium, Iron, phosphorus, magnesium, calcium na sodium.
Kulingana na madini haya humfanya mwanamke kumuongezea hamu na kuimarika kwa na kuchochea homoni ya estrogen kwa mwanamke.
**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

MWANAUME USIPITE BILA KUSOMA HAPA JAPO KIDOGO UTATOKA NA KITU.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡       ..MBEGU ZA KIUME DHAIFU Mbegu za ki...
10/03/2024

MWANAUME USIPITE BILA KUSOMA HAPA JAPO KIDOGO UTATOKA NA KITU.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
..MBEGU ZA KIUME DHAIFU
Mbegu za kiume dhaifu au chache ;hizi ni mbegu ambazo huwa nyepesi na mara nyingi huwa na maji mengi na hazina uwezo wa kutungisha mimba

VISABABISHI VYA MBEGU
ZA KIUME DHAIFU AU CHACHE
โ–ชAina ya chakula mfano ukosefu wa vyakula vyenye madini ya zink,selenium,vitamin E,Folic acid,vitamin B12,Vitamin C, na vyakula mbali mbali ambavyo huondoa sumu mwilini.
โ–ชKujichua(punyeto)
โ–ชJoto kupita kiasi(hyperthernia)
โ–ชMafadhaiko(stress)
โ–ชUnywaji wa pombe
โ–ชViuaji vya sumu na hormones mfano pesticide

DALILI ZA MBEGU
ZA KIUME DHAIFU AU CHACHE
โ–ชMbegu kuwa nyepesi
โ–ชZikiingia ukeni hazikai,dakika chache mwanamke anaanza kuhisi mbegu kutoka kwa mtindo wa kuchuruzika k**a maji
โ–ชMwanamke hashiki mimba haraka
โ–ชHazina uwezo wakuogelea ukeni hufia njiani
โ–ชHutoka chache na nyepesi k**a maji
โ–ชHuwa na rangi nyeupe

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

DAWA YA KUNG'ARISHA MENO  Hii ni Dawa Ya Meno Yenye Uwezo mkubwa wa kung'arsha meno(kuwa meupe) Kutokana Na teknolojia y...
07/03/2024

DAWA YA KUNG'ARISHA MENO Hii ni Dawa Ya Meno Yenye Uwezo mkubwa wa kung'arsha meno(kuwa meupe) Kutokana Na teknolojia ya BLUE CLEANING FACTOR,Imetokana na mchanganyiko asilia wa viambata Visivyo na Madhara kwa mtumiaji โ—Inang'arisha Meno Yanakua Meupe,โ€ขKuua vijidudu katika kinywa โ€ขKuondoa harufu mbaya mdomoni โ€ขInasafisha taka zote Kinywani na kuongeza ladha ya chakula โ—Inatibu fizi zinazotoa damu au zinazouma โ€ขKusaidia kutoa ganzi ya meno โ€ขKuondoa maumivu makali ya meno โ€ขInazuia Meno kuoza au kuharibika โ—Inaondoa fangasi kwenye ulimi,koo,na sehemu zingine โ€ขKukausha majeraha ya kuungua au kujikata โ€ขNi salama zaidi kwani haina madini ya fluoride badala yake kuna mimea mchanganyikoโ€ข โ—Imethibitishwa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba Tanzania TMDA โ€ขHaipatikani katika Maduka Ya kawaida โ€ขIna Ujazo Wa Gram 130 Inaweza kutumika hadi miezi 2 matokeo ni wiki moja tu .
**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

*TIBU UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASUAJI KWA MATOKEO YA KUDUMU.*Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua ...
04/03/2024

*TIBU UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASUAJI KWA MATOKEO YA KUDUMU.*

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini.

Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.

Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.

*DALILI ZA MWANAMKE MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI (UTERINE FIBROIDS):*

1.?๏ธKupata damu nyingi wakati wa hedhi.

2.?๏ธMaumivu makali wakati wa siku za hedhi.

3.?๏ธKuvimba miguu.

4.?Unaweza kuhisi una ujauzito.

5.?๏ธMaumivu wakati wa tendo la ndoa.

7.?๏ธKupata haja ndogo kwa taabu.

8.?๏ธKutokwa na uchafu ukeni.

9.?๏ธ Kupata choo kigumu au kufunga choo.

10.?๏ธ Maumivu nyuma ya mgongo.

11.?๏ธMaumivu katika miguu ikiwa ni pamoja

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

*Mambo Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Kutokwa Na Uchafu Ukeni.* Kutokwa na uchafu ukeni ni mchanganyiko wa majimaji, seli, na...
29/02/2024

*Mambo Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Kutokwa Na Uchafu Ukeni.*

Kutokwa na uchafu ukeni ni mchanganyiko wa majimaji, seli, na vijidudu ambavyo hulainisha na kulinda uke. Mchanganyiko huu hutolewa kila mara kupitia seli ndani ya uke na seviksi na hutolewa nje ya mwili wa mwanamke kupitia uwazi wa uke (vaginal opening).
Uke hutoa aina mbalimbali za uchafu katika kujisafisha. Kutokwa na uchafu ukeni ni tukio la kawaida kabisa, japo kuna aina mbalimbali za uchafu ambazo zinaweza kuonyesha maambukizi. Uchafu usiokuwa wa kawaida unaweza kuwa wa kijani au njano na wenye harufu mbaya. Uchafu usio wa kawaida mara nyingi husababishwa na fangasi ama maambukizi ya bakteria (Pelvic Inflammatory Disease).
Soma pia hii makala: Ujue Ugonjwa Wa PID(Pelvic Inflammatory Disease).

*Sababu Za Kutokwa Na Uchafu Ukeni* :

Uchafu wa kawaida utokao ukeni hutokana na utendaji kazi wa mwili wenye afya, na ndio huwa njia pekee ya mwili kujisafisha kulinda uke. Ni jambo la kawaida uchafu kuongezeka kutoka kutokana na mazoezi, kazi nzito, nyege (hisia za kimapenzi) na msongo wa mawazo.Uchafu usio wa kawaida utokao ukeni mara nyingi husababishwa na maambukizi, ambayo ni pamoja na;

(1). Bakteria Ukeni.

Maambukizi ya bakteria katika uke husababisha muongezeko wa kutokwa na uchafu ambao huwa una harufu mbaya, na wakati mwingine unakuwa k**a shombo la samaki ingawa huwa hauonyeshi dalili yoyote. Wanawake wanaokuwa na wapenzi wengi (multiple sexual partners) mara nyingi wanakuwa katika hatari ya kupata maambukizi katika uke. Picha: Muonekano wa uchafu utokao ukeni kutokana na maambukizi ya bakteria.

(2). Ugonjwa Wa Malengelenge (Trichomoniasis).

Hii ni aina nyingine ya maambukizi katika uke ambayo husababishwa na protozoa aitwae Trichomonas Vaginalis. Maambukizi haya mara nyingi huenezwa kwa njia ya kujamiiana lakini pia unaweza kuenezwa kwa kuchangia taulo ama brashi la kuogea. Dalili za ugonjwa huu huonekana katika uchafu wenye rangi ya njano au kijani ambao huwa una harufu mbaya. Pia huwa kuna dalili za maumivu, uvimbe sehemu za mashavu ya uke kwa ndani ama nje, muwasho n.k, japo wengine huwa hawaonyeshi dalili zozote.

(3). Maambukizi Ya Fangasi Ukeni.

Maambukizi ya fangasi ukeni hutoa dalili za uchafu mweupe wenye utando k**a maziwa mgando pamoja na muwasho na hali k**a ya kuungua moto ukeni. Hali ya kuwepo kwa fangasi ukeni huwa ni ya kawaida lakini ukuaji wake unaweza kuongezeka na kushindikana kwa hali fulani. Mambo yafuatayo yanaweza kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi ukeni: Msongo wa mawazo, kisukari, vidonge vya mpango wa uzazi, ujauzito, madawa ya vidonge ikiwa yanatumiwa Zaidi ya miaka 10.

(4). Kisonono (Gonorrhea) Na Pangusa (Chlamydia).

Kisonono na pangusa ni maambukizi ya magonjwa ya zinaa ambayo yanaweza kusababisha kutokwa na uchafu usio kuwa wa kawaida ambao mara nyingi huwa wenye rangi ya njano, kijani au kijivu.

(5). Maambukizi Ya Bakteria Katika Uke (Pelvic Inflammatory Disease-PID).

Maambikizi ya bakteria katika uke nayo pia huenezwa kwa njia ya kujamiina. Huonekana wakati bakteria wanapooenea kwenye uke hadi kwenye viungo vya uzazi. Maambukizi haya yanaweza kumfanya mwanamke kutokwa na uchafu mzito wenye harufu mbaya.

(6). Saratani Ya Shingo Ya Kizazi (Cervical Cancer).

Maambukizi haya ambayo pia huenezwa kwa njia ya ngono yanaweza kusababisha tatizo la saratani ya shingo ya kizazi. Ingawa kunaweza kusiwepo na dalili zozote lakini aina hii ya saratani inaweza kutoa damu, uchafu wa kahawia au majimaji yenye harufu mbaya. Saratani ya shingo ya kizazi inaweza kuzuiwa kwa urahisi kabisa baada ya kupima maambukizi ya virusi waitwao Human Papilloma Virus (HPV) ambao ndio husababisha ugonjwa huu.

*Aina Za Uchafu Unaotoka Ukeni:*

Zipo aina mbalimbali za uchafu unaotoka ukeni. Aina hizi hutofautiana katika rangi na muonekano. Baadhi ya uchafu unaotoka huwa wa kawaida lakini mwingine unaweza kuonyesha hali ya utando ambao unahitaji matibabu.

(1). Uchafu Mweupe ukeni.

Uchafu mweupe kidogo hasa unaotoka mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi kwa mwanamke huwa ni wa kawaida. Hata hivyo ikiwa uchafu huu utaambatana na muwasho na una ute k**a maziwa ya mgando, huu sio wa kawaida na unahitaji matibabu.

Sababu ya kutoka uchafu mweupe ukeni.

Aina hii ya uchafu ukeni yaweza kuwa dalili ya maambukizi ya fangasi.
Picha: Muonekano wa uchafu mweupe utokao ukeni.

(2). Uchafu Mwepesi Wa Majimaji.

Uchafu mwepesi wa majimaji huwa ni wa kawaida na unaweza hukaonekana muda wowote ndani ya mwezi. Unaweza kuwa mzito wakati mwingine hutokana na mazoezi au kazi nzito. Picha: Muonekano wa uchafu mwepesi wa majimaji kwenye nguo ya ndani (chupi).

(3). Uchafu Mweupe Wenye Kuvutika.

Uchafu ukeni unapokuwa mweupe lakini wenye utando na wenye muonekano k**a mak**asik**asi k**a vile ute wa yai, ni ishara ya kwamba mwanamke yuko katika hali ya siku za hatari. Hii huwa ni aina ya kawaida ya uchafu utokao ukeni. Picha: Muonekano wa uchafu mweupe wenye kuvutika.

(4). Uchafu Wa Kahawia ukeni.

Uchafu wa kahawia au wenye damu mara nyingi huwa ni wa kawaida hasa unapoonekana baada ya kutoka hedhini. Uchafu unaochelewa kutoka baada ya hedhi unaweza kuonekana wa kahawia badala ya kuwa na rangi nyekundu. Pia unaweza ukaona kiwango kidogo cha uchafu wenye damu katikati ya mwezi ambao huwa k**a matone ya damu. K**a matone ya damu yanatoka katika kipindi cha kawaida na umekuwa ukifanya tendo la ndoa na mpenzi wako bila kutumia kinga basi hii inaweza kuwa dalili ya Ujauzito. Kutokwa na matone ya damu wakati wa awali wa ujauzito yaweza kuwa ishara ya kuporomoka kwa mimba hivyo yafaa kumuona daktari mapema sana hospitali.
Lakini kwa upande mwingine, uchafu unaotoka ukeni wenye rangi ya njano au damu unaweza kuwa ishara ya tatizo la saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer). Ndio mana wanawake wanashauriwa kupata vipimo vya saratani ya shingo ya kizazi kila mwezi. Picha: Muonekano wa uchafu wenye rangi ya kahawia/wenye damu.

(5). Uchafu Wa Njano/Kijani.

Uchafu wa njano au kijani hasa unapokuwa na mabonge ama uliombatana na harufu mbaya huwa sio wa kawaida. Aina ya uchafu huu yaweza kuwa dalili za maambukizi ya ugonjwa wa malengelenge (Trichomoniasis) ambao kwa kawaida husambaa ama kuenea kwa njia ya Kujamiiana. Picha: Muonekano wa uchafu wa njano/kijani kwenye nguo ya ndani (chupi).

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

BFSuma *Arthroextra (60 Tablets)* Kirutubishilishi cha asili kwa ajili ya mifupa, maungio na gegedu.  *VIAMBATA* ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ *Glu...
27/02/2024

BFSuma
*Arthroextra (60 Tablets)*
Kirutubishilishi cha asili kwa ajili ya mifupa, maungio na gegedu.

*VIAMBATA*
๐Ÿ‘‰๐Ÿพ *Glucosamine* hii ni Amino Acid ambayo hupatikana kwa sana kwenye maungio kwa ajili yakusaidia kurudisha gegedu.
๐Ÿ‘‰๐Ÿพ *Chondroitin* hii ni component ya gegedu inayokuwepo kwenye gegedu kiasili ambayo kazi yake ni kudhibiti kiwango cha maji kwenye maungio nakuongeza unyonyaji wa virutubisho muhimu vya maungio.

*FAIDA ZA VIDONGE VYA ARTHROXTRA*
โ˜‘๏ธHuyafanya maungio yenye nguvu na yenye afya
โ˜‘๏ธChondroitin husaidia kulainisha gegedu hivyo kukuuza ufanisi wa ufanyaji kazi wa maungio.
โ˜‘๏ธInaboresha na kuimarisha gegedu kwenye maungio
โ˜‘๏ธHuondoa maumivu wa maungio
โ˜‘๏ธNi nzuri kwa waliovunjika mfupa
โ˜‘๏ธInarudisha ubora uliopotea wa gwegweju
โ˜‘๏ธNi nzuri kwa wanaougua baridi ya bisi
โ˜‘๏ธInaongeza uzito wa mifupa
โ˜‘๏ธHuondoa maumivu ya maungio

*WALENGWA (WATUMIAJI)*
โ˜‘๏ธWenye matatizo ya maungio na mifupa
โ˜‘๏ธWanaofanya kazi za kutumia nguvu na wazee
โ˜‘๏ธWatu Wanaofanya mazoezi magumu

MATUMIZI
๐Ÿ‘‰๐ŸพItumike 2x2 kwa siku pamoja

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka ๐Ÿ™๐Ÿ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page ๐Ÿ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fau Health & Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share