Dr Meshack

Dr Meshack Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Meshack, Medical and health, Dar es Salaam.

Wasailiana nasi kwa ushauri na tiba

Namba 0 7 5 6 4 2 3 5 0 1

YOUR HEALTH IS WEALTH

soma zaidi kujua huduma zetu

https://wa.me/p/8064762333562463/255756423501

HII NI CHANGAMOTO INAYOSUMBUA WANAUME WENGI SANA.TATIZO AMBALO LINATOKANA NA UNYOAJI.ENDAPO UNA DALILI ZA VIPELE NA HUJA...
13/10/2024

HII NI CHANGAMOTO INAYOSUMBUA WANAUME WENGI SANA.

TATIZO AMBALO LINATOKANA NA UNYOAJI.

ENDAPO UNA DALILI ZA VIPELE NA HUJAFIKIA HATUA HII NINA SULUHISHO LAKO.

゚viralシ ゚viralシfypシ゚

*MDA SIO MLEFU UTAITWAAMA MUNGU NI MWEMA*           ゚viralシ  ゚viralシfypシ゚
13/10/2024

*MDA SIO MLEFU UTAITWAAMA MUNGU NI MWEMA*
゚viralシ ゚viralシfypシ゚

Itching, rashes or sores on the va**na can be symptoms of various problems that may require professional advice from a d...
22/09/2024

Itching, rashes or sores on the va**na can be symptoms of various problems that may require professional advice from a doctor. Common causes of va**nal itching and sores include:

1. **Fungal infection (Candida albicans)**: This is a very common type of infection caused by Candida fungi. This condition can cause swelling, itching, and discharge that looks like "sand" or cheese.

2. **Bacteria (bacterial vaginosis)**: This is a condition caused by changing the ratio of good and bad bacteria in the va**na. It can cause discharge of different colored mucus or bad smell.

3. **HIV, herpes, or HPV infection**: These infections can cause symptoms such as itching, sores, or swelling in the va**na.

4. **Physical irritation (Physical irritation)**: The use of cosmetics, soaps with strong or thin ingredients, clothes that are not good for the body, dirt, or other inappropriate practices can cause irritation and sores.

5. **Allergic reactions (allergic diseases)**: Some women may be allergic to some materials such as male balls, cosmetics, or even to***co pesticides.

6. **Irritable skin conditions**: Some skin conditions such as contact dermatitis, psoriasis

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Nobathembu Mabovu Mese
22/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Nobathembu Mabovu Mese

A tumor on the cervix may have the following symptoms or signs:   1. **Heavy menstrual bleeding:** Cervical cysts can ca...
22/09/2024

A tumor on the cervix may have the following symptoms or signs: 1. **Heavy menstrual bleeding:** Cervical cysts can cause heavy menstrual bleeding (menorrhagia). 2. **Lower abdominal pain:** Lower abdominal pain that can be tight or throbbing is one of the symptoms of cervical cancer. 3. **Menstrual cycle changes:** Changes such as longer or shorter periods or irregular cycles can indicate a problem with the cervix. 4. **Pain during in*******se:** Cervical swelling can cause pain during in*******se. 5. **Frequent urination:** A tumor on the cervix can put pressure on the bladder and cause a feeling of wanting to urinate frequently. 6. **Reproductive problems:** Cervical tumors can cause problems of failure to get pregnant or miscarriage. 7. **Back pain:** A large tumor in the cervix can cause back pain. It is important to note that these symptoms can be caused by other health problems as well, so it is important to see a doctor for a thorough examination and get proper instructions and a
゚viralシ ゚viralシfypシ゚

20/09/2024
*MADHARA YA KUTOMRIDHISHA MWANAMKE KATIKA TENDO LA NDOA*Kwa mwanaume➖Kupoteza ujasiri k**a mwanaume➖Hofu na wasiwasi kil...
20/09/2024

*MADHARA YA KUTOMRIDHISHA MWANAMKE KATIKA TENDO LA NDOA*

Kwa mwanaume
➖Kupoteza ujasiri k**a mwanaume
➖Hofu na wasiwasi kila unapotaka kushiriki
➖Huchochea tatizo la nguvu za kiume liitwalo *Psychological erectile dysfunction*
➖Kuwa na wivu mkali na mwenza usiokuwa na msingi

*Kwa mwanamke*
➖Kushindwa kukuheshimu
➖Kukinai tendo na wewe
➖Chanzo cha usaliti
➖Kwa na visingizio vingi k**a kuumwa au kuchoka
➖Kupoteza usikivu na kuwa mwenye hasira
➖Kupoteza ukaribu na wewe
➖Hali ikizidi anaweza kuonyesha dharau za wazi k**a kutoheshimu mamuzi yako k**a mwanaume pindi mkiwa na mazungumzo

*SULUHISHO*
K**a hutaki haya yatokee au yasiendelee kubali kubadilika kimtazamo na kuacha kujifikiria wewe wakati wa tendo kwa kufanya haya hapa👇🏽👇🏽

1. Fanya mazoezi
2. Lala vya kutosha
3. Kunywa maji yautosha
4. Kula vyakula sahihi na kiwango sahihi (mimea kwa wingi)
5. Suluhisha migongano au migogoro ya kimahusiano haraka
6. Tibu maradhi nyemelezi k**a kisukari, pressure na punguza uzito

*Karibu uhudumiwe*

Ge***al warts, which are caused by certain strains of the human papillomavirus (HPV), can have various effects on women....
19/09/2024

Ge***al warts, which are caused by certain strains of the human papillomavirus (HPV), can have various effects on women. Here are some ways in which ge***al warts can impact women:

1. **Physical discomfort**: Ge***al warts can cause physical discomfort, such as itching, pain, and tenderness in the ge***al area. In some cases, they can also cause bleeding, especially during sexual in*******se.

2. **Psychological impact**: Ge***al warts can have a significant psychological impact on women. They can cause feelings of embarrassment, shame, anxiety, and depression, particularly due to the stigma associated with sexually transmitted infections (STIs).

3. **Sexual health**: Ge***al warts can affect a woman's sexual health and intimate relationships. The presence of warts may lead to a decrease in sexual desire and satisfaction, as well as difficulties in intimate relationships due to concerns about transmission of the virus to sexual partners.

4. **Cancer risk**: Certain strains of HPV that cause ge***al warts are also linked to an increased risk of cervical cancer. Regular screening, such as Pap smears and HPV testing, is essential to monitor for any potential development of cervical abnormalities.

5. **Pregnancy complications**: In pregnant women, ge***al warts can pose risks to both the mother and the baby. The warts can grow larger during pregnancy due to hormonal changes and may cause bleeding during childbirth. In some cases, cesarean section may be recommended to prevent transmission of the virus to the infant during va**nal delivery.

6. **Transmission to partners**: Ge***al warts are highly contagious and can be transmitted through sexual contact. It is important for women with ge***al warts to communicate openly with their sexual partners about the infection and take precautions to reduce the risk of transmission, such as using condoms.

7. **Recurrence**: Ge***al warts can recur even after treatment. This can be frustrating for women as it may lead to multi

Mama mjamzito anahitaji lishe bora na yenye afya ili kuhakikisha ujauzito unakua vizuri na mtoto anazaliwa akiwa na afya...
08/09/2024

Mama mjamzito anahitaji lishe bora na yenye afya ili kuhakikisha ujauzito unakua vizuri na mtoto anazaliwa akiwa na afya nzuri. Hapa kuna orodha ya vyakula muhimu kwa mama mjamzito:

1. **Protini**: Protini ni muhimu kwa ukuaji mzuri wa mtoto. Chanzo bora cha protini ni k**a vile nyama ya kuku, dagaa, maharagwe, njugu, na maziwa.

2. **Vitamini na madini**: Mama mjamzito anahitaji vitamini na madini k**a vile folate (asidi ya folic), vitamin C, vitamin D, iron, na calcium. Vyakula k**a matunda na mboga za majani, nafaka nzima, maziwa, mayai, na samaki ni muhimu katika kutoa virutubisho hivi.

3. **Mafuta yenye afya**: Mafuta yenye afya k**a vile mafuta ya samaki, parachichi, na mbegu za chia ni muhimu kwa maendeleo ya ubongo wa mtoto na ustawi wa mama mjamzito.

4. **Wanga**: Wanga hutoa nishati kwa mama mjamzito. Chagua nafaka nzima k**a vile ulezi, viazi vitamu, na mchele wa kahawia badala ya nafaka zilizosafishwa.

5. **Tunda safi**: Matunda yana vitamini, madini, na nyuzinyuzi muhimu. Matumizi ya matunda mbalimbali yanayopatikana majira yote ya mwaka ni muhimu.

6. **Maji**: Kudumisha mwili ukiwa unyevunyevu ni muhimu wakati wa ujauzito. Mama mjamzito anashauriwa kunywa maji ya kutosha kila siku.

Ni muhimu kwa mama mjamzito kupata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa daktari

SABABU ZA KUKOSA HISIA WAKATI WA TENDO.1. *Hofu* ....Hii ni kwa jinsia zote, muda mwingine unakwenda kukutana na mwenzi ...
06/09/2024

SABABU ZA KUKOSA HISIA WAKATI WA TENDO.

1. *Hofu* ....

Hii ni kwa jinsia zote, muda mwingine unakwenda kukutana na mwenzi wako ukiwa na hofu ya kupeana ujauzito,
au maadili ya kidini yanakataza, au kuhisi hautaweza kushiriki labda kisa mpenzi wako ana umbo kubwa sana, anakuzidi Elimu, Pesa na mafanikio (kwa wanaume) inakufanya upoteze focus.

2. *Maumivu ya mapenzi (kukwazika)*

Unaingia kwenye tendo huku mmekwazana na hamjaombana msamaha mkayamaliza,
unashiriki tendo huku una gubu, maumivu na kisasi hapa hisia hutazipata kamwe,

unampa ili mwanaume amalize, na mwanaume unaweza shindwa kabisa kusimamisha.

3. *Wasiwasi*

Hii hutokea pale ambapo unafanya na mtu hujapima naye, au unajua ni mke wa mtu, ama la kuhisi ana majini nk.. hupoteza hisia ghafla

4. *Mazingira*

Unakwenda kushiriki mazingira ambayo hupo comfortable nayo mfano Lodge, nyumbani kwa mke wa mtu (mumewe kasafiri) 😄 au kwenye mazingira unayohisi kuna watu wanatazama au kuna camera zinawarekodi..
hapa hisia zitapotea.
゚viralシfypシ゚ ゚viralシ

SABABU ZA KUKOSA HISIA WAKATI WA TENDO.1. *Hofu* ....Hii ni kwa jinsia zote, muda mwingine unakwenda kukutana na mwenzi ...
06/09/2024

SABABU ZA KUKOSA HISIA WAKATI WA TENDO.

1. *Hofu* ....

Hii ni kwa jinsia zote, muda mwingine unakwenda kukutana na mwenzi wako ukiwa na hofu ya kupeana ujauzito,
au maadili ya kidini yanakataza, au kuhisi hautaweza kushiriki labda kisa mpenzi wako ana umbo kubwa sana, anakuzidi Elimu, Pesa na mafanikio (kwa wanaume) inakufanya upoteze focus.

2. *Maumivu ya mapenzi (kukwazika)*

Unaingia kwenye tendo huku mmekwazana na hamjaombana msamaha mkayamaliza,
unashiriki tendo huku una gubu, maumivu na kisasi hapa hisia hutazipata kamwe,

unampa ili mwanaume amalize, na mwanaume unaweza shindwa kabisa kusimamisha.

3. *Wasiwasi*

Hii hutokea pale ambapo unafanya na mtu hujapima naye, au unajua ni mke wa mtu, ama la kuhisi ana majini nk.. hupoteza hisia ghafla

4. *Mazingira*

Unakwenda kushiriki mazingira ambayo hupo comfortable nayo mfano Lodge, nyumbani kwa mke wa mtu (mumewe kasafiri) 😄 au kwenye mazingira unayohisi kuna watu wanatazama au kuna camera zinawarekodi..
hapa hisia zitapotea.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Meshack posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram