Gcat Health Care

  • Home
  • Gcat Health Care

Gcat Health Care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gcat Health Care, Medical and health, .

NAFASI MPYA ZA KAZI > Kazi ya kusambaza taarifa za kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi VIGEZO  *Umri kuanzia miaka ...
18/10/2024

NAFASI MPYA ZA KAZI
> Kazi ya kusambaza taarifa za kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi

VIGEZO
*Umri kuanzia miaka 18
*Uwe na simu kubwa(Smart phone)
*Uwe na bidii ya kazi
*Uwe Dar es salaam tu

Malipo ni ya uhakika kwa kila siku na kila mwisho wa mwezi.
Karibuni sana katika Hospitali ya wachina iliyopo Tegeta Nyuki. Na kwa maelekezo zaidi
Wasiliana nasi kwa simu namba 0747 969 196

*Au gusa Link hapa chini ili kupata muongozo wa namna ya kufika
https://wa.me/255 677198333

11/10/2024
*UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)*```Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngon...
11/10/2024

*UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)*
```
Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono. Ugonjwa huu husababisha na bakteria na huathiri sehemu za mirija ya mkojo (urthra) puru ama koo.

DALILI ZA UGONJWA WA GONORIA (GONORRHEA)

Kwa wanaume
1.Maumivu wakati wa kukojoa
2.Kutokwa na usaha kwenye kichwa cha uume
3.Maumivu ama kuvimba kwa korodani moja

Kwa wanawake

1.kutokwa na uchavu wenye harufu ukeni
2.Maumivu wakat wa kukojoa
3.Kutokwa na damu isiyokuwa ya hedhi ama baada ya kukutana kimwili(Baada ya s*x)
4.Maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu
5.Maumivu ya nyonga```

*Kujua namna rahisi ya kumaliza kabisa tatizo hili, Usisite kuwasiliana nami moja kwa Moja*
📞0747 969 196

*Hakikisha unaipambania Afya yako*💯✅

KWA WANAUME TUU ,TAMBUA UBORA WA MBEGU ZAKO na UWEZO WA KUTUNGA MIMBAa) Wingi wa Mbegu za KiumeMbegu za kiume kila tendo...
08/10/2024

KWA WANAUME TUU ,TAMBUA UBORA WA MBEGU ZAKO na UWEZO WA KUTUNGA MIMBA
a) Wingi wa Mbegu za Kiume
Mbegu za kiume kila tendo kamilifu moja linalofanywa zinatakiwa zisipungue milioni 40. Kiasi hiki sio rahisi kukitambua tu kwa macho. Lakini kila unapotoa uteute kidogo wa mbegu, basi kuna uwezekano wa kuwa na mbegu za kiume chache tu. Mshindo dhaifu au kufika kileleni haraka kirahisi rahisi ni moja wapo ya dalili kwamba mbegu unazotoa sio nyingi, inaweza kuwa na maji mengi badala ya kuwa na mbegu nyingi.
b)Uzito wa mbegu za kiume na kuchelewa kuyeyuka
Kwa kawaida majimaji ya mbegu huwa na mbegu za kiume, na uteute huo huwa ni majimaji yanayobeba mbegu za kiume. Kazi ya uteute ni kusafirisha mbegu za kiume katika hali ya usalama mpaka kulifikia yai la mwanamke.
Ikiwa shahawa zitakuwa nyepesi, basi ndipo hutengana na mbegu haraka mno mara tu zinapotoka nje, na hivyo kuathiri uwezo wa mbegu kusafiri haraka na kulifikia yai.
c)Uwezo wa mbegu kuogelea na kwenda mbele
Kwa kawaida mbegu za mwanaume zenye afya bora zina kichwa kikubwa kilichochongoka na mkia mrefu unaoanza mkubwa kichwani na kuishilia mdogo mkiani. Sifa hizi zinazipatia mbegu uwezo wa kuogelea kwenda mbele katika mstari ulionyooka. Lakini ikiwa k**a mbegu za mwanaume zitasafiri katika mstari wa kupindapinda au maumbomaumbo, basi ndipo hupoteza uwezo wa kufika haraka ili kuliwahi yai. Hii ni kwasababu zinachoka haraka. Mbegu zinazoenda katika mstari mnyoofu zinawahi kufika kwakuwa safari inakuwa ni fupi tu.
d)Uwezo wa kuishi
Mbegu bora inafaa iishi sio chini ya masaa 72 kuanzia muda ule inapotoka kwa mwanaume na kuingia kwa mwanamke, maisha mafupi ya mbegu yanaifanya mbegu kuwa na wakati mgumu wa kuliwahi yai ili kulirutubisha.
e) Rangi ya mbegu
Kwa kawaida uteute wenye mbegu zilizo bora huwa una rangi nyeupe inayoelekea kuwa ya kijivu, na kwa wazee inakuwa nyeupe na kuelekea kuwa ya njano. Kwahiyo huwezi kuona rangi hii mara kwa mara kwasababu mbalimbali za kiafya, hasa kutokana na ulaji wa chakula na hali ya hewa. Lakini kwa watu wazima kuanzia miaka 40 kwenda juu, ni kawaida sana kuonekana wenye rangi nyeupe au njano. Tambua suluhisho sasa
✅Wasiliana nas kwa whatsapp number 0747 969 196

_*_JINSI NGIRI AU HERNIA INAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME*_ _ 🍇Ngiri (Hernia) ni tatizo la kiafya ambalo huathiri watu wa umr...
08/10/2024

_*_JINSI NGIRI AU HERNIA INAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME*_
_
🍇Ngiri (Hernia) ni tatizo la kiafya ambalo huathiri watu wa umri wote na jinsia zote. Hutokea wakati tishu hujitokeza kupitia eneo dhaifu katika ukuta wa tumbo. Hii inaweza kutokea katika sehemu mbalimbali za mwili, lakini aina za kawaida za ngiri hutokea kwenye kinena ( inguinal hernia ) au kitovu ( umbilical hernia ).

🍇Mara nyingi hali hiyo husababishwa:-
✅ kunyanyua vitu vizito,
✅kukohoa.
✅kusukuma choo kwa nguvu wakati wa haja kubwa (yaani constipation.

🍇Hernia au Ngiri huwatokea zaidi wanaume kuliko wanawake. kuruhusu kiungo au tish

_
_JE NGIRI AU HERNIA INAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME?*_
Ngiri inaweza kuathiri afya ya tendo la ndoa kwa njia mbalimbali k**a vile

➡️kusababisha uume kushindwa kusimama vyema.

➡️Maumivu: Ngiri inaweza kusababisha maumivu na usumbufu katika eneo lililoathiriwa, ambalo linaweza kuingilia kati shughuli za tendo la ndoa. Kwa mfano, ikiwa mwanamume ana maumivu na usumbufu katika eneo la kinena huweza kuwa vigumu kudumisha usimamaji wa uume wakati wa kujamiiana.

➡️Upasuaji: Katika baadhi ya matukio, upasuaji unaweza kuhitajika ili kurekebisha henia. Hii inaweza kuhusisha kukata au kushona tishu karibu na ngiri, ambayo inaweza kuharibu mishipa ya damu ambayo ni muhimu kwa utendaji wa tendo la ndoa. Hii inaweza kusababisha shida ya nguvu za kiume, pamoja na wasiwasi mwingine wa kijinsia k**a kupungua kwa libido na ugumu wa kufikia kilele.

➡️Dawa : Baadhi ya dawa ambazo kwa kawaida huagizwa kwa ajili ya hali hiyo, k**a vile dawa za kutuliza maumivu na kutuliza misuli, zinaweza pia kuwa na athari zinazoathiri utendaji wa ngono. Kwa mfano, dawa za kutuliza maumivu k**a vile opioids zinaweza kusababisha kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa na ugumu wa kufikia kilele, wakati dawa za kutuliza misuli zinaweza kusababisha uchovu na kusinzia, jambo ambalo linaweza kuingilia shughuli za ngono.

➡️Sababu za kisaikolojia: Kukabiliana na hali hiyo kunaweza pia kusababisha msongo wa kisaikolojia na wasiwasi, ambayo inaweza kuathiri afya ya ngono. Kwa mfano, mwanamume ambaye ana wasiwasi kuhusu henia au uwezo wake wa kufanya ngono anaweza kupata wasiwasi na msongo, ambayo inaweza kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume.

➡️Athari zisizo za moja kwa moja: Ngiri pia inaweza kuathiri kwa njia isiyo ya moja kwa moja afya ya ngono kwa kusababisha maswala mengine ya kiafya ambayo yanaweza kuathiri utendaji wa ngono. Kwa mfano, ikiwa henia husababisha maumivu ya muda mrefu au usumbufu, inaweza kusababisha unyogovu, ambayo inaweza kusababisha wasiwasi wa ngono. Vile vile, ikiwa henia inasababisha matatizo ya usagaji chakula k**a vile asidi reflux au kuvimbiwa, haya yanaweza kuingilia shughuli za ngono.

➡️Mishipa ya neva, misuli na homoni: Ngiri huathiri mishipa ya neva iliyo kwenye uume na kuvuruga mifumo ya kihomoni na kudhoofisha misuli ya uume na kuifanya kuregea hali ambayo husababisha kupungua kwa nguvu za kiume. Henia ya kinena "inguinal hernia" hugandamiza (compression) ya mishipa ambayo ni muhimu kwa kazi ya ngono, na kusababisha uume kushindwa kusimama vizuri.

➡️Mishipa ya fahamu ambayo huathirika zaidi katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume inayohusiana na ngiri ya kinena ni mishipa ya ilioinguinal na genitofemoral, ambayo hutoa hisia kwenye eneo la kinena na kuchukua jukumu la kuamsha ngono na kilele. Mishipa hii ya fahamu inapobanwa au kuharibiwa na ngiri ya inguinal, inaweza kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume.
Afya ya tendo la ndoa ni muhimu k**a afya ya mwili na akili. Wasiliana nasi kwa matibabu ya uhakika ya nguvu za kiume
Wasiliana nasi kwa 0747 969 196

04/10/2024

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
tuna madktari waliobobea na vifaa vya kisasa tunatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.20,000tu
Pia tunatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo Tanzania nzima tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba 0747 969 196

02/10/2024

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
tuna madktari waliobobea na vifaa vya kisasa tunatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.20,000tu
Pia tunatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo banana Dar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba 0747 969 196

HIZI NDIO FAIDA ZA KUJICHUA   MADHARA  👇👇👇👇👇👇👇👇🍇Kushindwa kumuandaa mwanamke kuhofia atafika kileleni kabla ya tendo len...
02/10/2024

HIZI NDIO FAIDA ZA KUJICHUA
MADHARA 👇👇👇👇👇👇👇👇

🍇Kushindwa kumuandaa mwanamke kuhofia atafika kileleni kabla ya tendo lenyewe

🍇Ukiwa na mpenzi wako uume hausimami lakini akiondoka tu utaona unasimama na kupata hamu k**a kawaida

🍇Hata akirishiriki tendo hawezi kufurahia ataona k**a haridhishwi

🍇Akimaliza kushiriki bado utaenda bafuni/chooni kujichua tena

🍇Rahaa ya kujichua hupitiliza kuliko ile ya kushiriki tendo kwa njia halali yani

🍇Akishiriki na mwanamke humaliza ndani ya sekunde au muda mfupi sana pia huaptwa na usingizi saiyoiyo na kuchoka zaidi

🍇Hukosa KUJIAMINI akiwa na mpenzi/mke wake

🍇Anapojichua hukandamiza mishipa ya uume wake ndio maana mishipa inakuwa legevu sana

🍇Kutoa mbegu dhaifu hadi husababisha kushindwa kumpa mwanamke mimba

🍇Aliye jichua hupata maumivu ya kiuno na nyonga

🍇Aliye jichua uume wake hurudi tumboni au ndani yaani unakuwa mdogo sana k**a wa mtoto mdogo

🍇Kupata maumivu unaporudia tendo round ya pili

🍇Kukosa hisia baada ya kufika kileleni round ya 1

🍇Hupoteza stamina wakati wa tendo na akiwa anabadilisha staili uume hulala
Wasiliana nasi kwa kutuma neno afya ya nisuli kwenda whatsApp namba 0747 969 196

💥 SABABU ZA UGUMBA KWA MWANAUME.👉Mwanaume anaweza kuwa mgumba au kushindwa kutungisha mimba kutokana na sababu mbalimbal...
25/09/2024

💥 SABABU ZA UGUMBA KWA MWANAUME.
👉Mwanaume anaweza kuwa mgumba au kushindwa kutungisha mimba kutokana na sababu mbalimbali:
🌑 Kupungukiwa na nguvu za kiume
🌑.Manii kuwa kidogo na nyepesi Sana kiasi kwamba baada ya tendo la ndoa mwanamke akisimama zinamwagika zote
🌑.Manii kushindwa kuogelea au kutembea baada au wakati wa tendo la ndoa (hutokana na mbegu kuwa na mikia mifupi).
🌑.Manii kuwa na umbo lisilo la kawaida kiasi kwamba haliwezi kutungisha mimba.
🌼🌼NB:TATIZO LA MBEGU KWA MWANAUME LINAWEZA KUTOKAMA NA:
✍️.Kuvuta sigara.
✍️.Dawa za kulevya.
✍️.Mionzi(Rediation eg X-rays)
✍️.Unywaji pombe kwa wingi.
✍️. Kufanya Kazi mazingira yenye joto Kali K**a viwandani hasa viwanda vya Chuma.
✍️ Kuziba kwa mirija ya mbegu za kiume kutokana na magonjwa ya zinaa.
✍️. Kisukari.
✍️.kuwa na uzito uliopitiza hii pia kwa mwanamke hutokea.
✍️. Kufanya mazoezi kupita kiasi(Excessive Exercising) .
Nk. Piga Simu au WhatsApp 0747 969 196

LIJUE TATIZO LA U.T.I SUGU (CHANZO,DALILI ,MADHARA NA SULUHISHO SAHIHI)U.T.I Ni maambukizo ya njia ya mkojo(chlonic U ri...
25/09/2024

LIJUE TATIZO LA U.T.I SUGU (CHANZO,DALILI ,MADHARA NA SULUHISHO SAHIHI)

U.T.I Ni maambukizo ya njia ya mkojo(chlonic U rinary Track Infections)ambayo hayatibiki kwa urahisi au yanajirudia Mara kwa Mara.

Maambukizi haya yasipopata tiba yanaweza kuendelea kuathiri njia ya mkojo Hata baada ya kupata matibabu au yanaweza kujirudia Tena muda mfupi baada ya matibabu.

Maambukizi kwenye njia ya mkojo yanaweza kutokea sehemu yeyote na pale yanapo athiri njia ya mkojo pekee Ni rahisi kutibika.

Pale yanapo sambaa mpaka kwenye Figo unaweza kuumwa zaidi,

Wanawake ndio wanaongoza Sana kupata UTI kutokana na maumbile yao.

Maambukizi ya njia ya mkojo husababishwa na BACTERIA.

Bacteria Hawa huingia kwenye mfumo wa mkojo kupitia Uretha.

Dalili za U.T.I sugu Ni pamoja na
- kukojoa Mara kwa Mara.
-Mkojo kuchoma au maumivu wakati wa kukojoa.
-Maumivu kwenye Figo Yaan chini ya mgongo au chini ya mbavu.
-Maumivu chini ya kitovu.
Maumivu kwenye kibofu Cha mkojo.


Madhara ya U.T.I Sugu .
Kupata maambukizi kwenye Figo.
Figo kufeli.
Kuharibika kwa Figo hasa kwa watoto wadogo.
Saratani ya kibofu Cha mkojo.

Kuongezeka hatari ya kuzaa watoto njiti kwa wajawazito.

Tunalo suluhisho la tatizo la UTI sugu.
Tupigie 0747 969 196

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram