Uwe mzazi leo

Uwe mzazi leo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uwe mzazi leo, Health & Wellness Website, Dar es Salaam.

27/05/2024

HII NI KWA MUHANGA WA UZAZI TU!. BILA KUJALISHA UMEKUWA MUHANGA SANA KIASI GANI, UTAJISKIAJE?
Maana ili mwanamke ashike ujauzito kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yake hasa katika mfumo wa uzazi kwa ujumla. Mambo makubwa ni
👉🏻Lazima mzunguko wa mwezi ukae sawa (perfect menstral circle)
👉🏻Homoni zinazochochea kupevushwa kwa mayai na kuchochea mabadiliko wakati wa kushika mimba ziwe zinatolewa kila moja kwa kiwango stahiki
👉🏻 Mirija ya uzazi isiwe na matatizo.
Ukuta wa mji wa mimba usiwe na tatizo lolote mfano kutokana na kusafishwasafishwa kwa mimba kutoka eidha kwa tatizo la homoni au kwa maksudi ya kutoa
Ukiona hayo mambo hayako sawa labda kwa sababu
@ uliwahi kutumia njia za Uzazi Wa mpango za kisasa zikakudhuru
@ uliwahi kufanya abortion (kutoa mimba) ikakuathiri
@ Umewahi kutumia madawa kwa muda mrefu yakakuathiri
@ umewahi kuugua sana haijalishi PID ya kutokana na fangasi au UTI kubwa ya muda mrefu na ikakuathiri
@ Unaambiwa kizazi kiko mbali
@ Unaambiwa kizazi kimegeuka au unaambiwa una uvimbe ( Fibroids/Myoma au cyst)
@ Unajiona k**a period yako haina tatizo lakini bado unaendelea kuwa muhanga wa uzazi
@ Umesafishwa maranyingi mpaka umepata makovu yanayosababisha mimba zisishike tena kirahisi
@ Ushafanya matibabu ya uvimbe au mirija lakini bado tu mimba zinatoka au hazishiki kabisa. Hii ni ili usiendelee kujaribu yasiyofaa yanayoweza kukuza zaidi ghafla tatizo
Unaweza kujikuta tu hivo kwamba hayo mambo hayajaa sawa bila kujua sababu nini inaweza kuwa kijenetiki pia
Nimekuandalia msaada wa uhakika na hutokuwa disappointed kwa namna yoyote kikubwa gusa liki kujiunga na group la wenzako kwa lengo hilo tu basi. KIKUBWA TUKUSAIDIE WEWE NA KUPITIA WEWE WENGINE PIA WAPONE
https://chat.whatsapp.com/DK5Ffi4teSr3IssYuWDWQj
K**a tatizo lako ni tofauti na uzazi nifikie kivingine 0788512033 ila usitumie hiyo link ni special.

27/05/2024

KWA MUHANGA WA UZAZI TU JAMANI!!
Anasema"nilipoona chapisho lenu kwenye mtandao kuhusu kuwasaidia wahanga wa uzazi nilitaka kupuuza kwani mengi yaliyoelezwa yalifanana na mengi ambayo nimewahi kuyaamini bila mafanikio japo mwishoni mliandika kwa namna ya tofauti sikuwahi kuona nikachukua namba zenu...miezi 3 mbele mmenibadilishia historia ya maisha yangu kabisa nawashukuru sana".
Hata hivo tunazingatia kwamba huenda umekuwa muhanga kwasababu tofauti na za mwingine maana kuna ambaye sababu zako ni:
Tangu kuvunja ungo mambo yako hayako vizuri hata ukiangalia mzunguko wako
Tangu ulipojifungua baada ya hapo muda kidogo mbele changamoto zikaanza. Au ni tangu ulipoolewa tu
Tangu ulipotoa tu mimba badae kidogo mambo yakaanza kubadilika mpaka leo
Tangu ulipotumia dawa za kisasa za uzazi wa mpango mambo yakabadilika hata ulipokuja kusitisha ili ufanye uzazi mpaka leo mambo ni tafrani hadi wanakufikiria vingine kwamba unakusudia.
Tangu uanze kuwa unaumwa UTI za marakwamara au Fangasi na mengine yakaanza kuingia mara utokwe uchafu ukeni mara uwe na harufu mara usiwe na harufu na wakati mwingine usitoke mpaka uwe umekutana na mwenzako na hata kuhusu uzazi mambo hayaendi kabisa.
Tangu ulivopata mimba ECTOPIC na wakati mwingine ulipopima ukaambiwa una ENDOMETRIOSIS lakini ussichanganye na ENDOMETRITIS na wakati mwingine unachanganyikiwa kuona hata hedhi unayopata mara iko kahawia au nyeusi na wakati mwingine iko na mabonge au nzito unashindwa kuelewa hasa pale unapojikuta hadi siku zako zingezokuwa za hatari lazima upate maumivu mara upande wa kushoto mara kulia. Na uzazi wenyewe ni shida yaani sasaivi umejaribu muda mrefu bila mafanikio. Au tangu ulivopata MOLAR PREGNANCY tangu hapo kuna mambo hayaendi kabisa
Tangu uanze kuwa unajiskia hovyo sana ukikaribia period na kila ukipima mara homoni hii mara ile kwamba hazijabalance hadi wakati mwingine ukute na maziwa kabisa yanaingilia kwenye wakati mwingine kuuma, au kujaa au hizo chuchu tu kuuma na wakati mwingine hisia za kuwa k**a mjamzito wakati ukipima huna mimba basi na uzazi umekataa.
Ukizingatia tangu uambiwe mirija imeziba au una uvimbe na usikute ushawahi kusafishwa kabisa au kufanya oparesheni ya uvimbe lakini mambo bado. Tunajua huwa ni kwanini bado na kwanini huwa uvimbe wenyewe unaweza kurudi.
Unaweza kuwa na changamoto ambazo haziko kati ya tumeyogusia, haimaanishi usichukue hatua kuhusu ya kwako, chukua namba hiyo piga uulizie kuhusu lako na tukigundua ni kati ya ambayo tumekuwa tukitatua na kwamba tunaweza kukusaidia basi tutakusaidia na isipowezekana tutakushauri namna nyingine pia.
Kuna hii link hapa chini ibofye na ufuate maelekezo mapaka mwisho kwa wepesi wa kusaidiwa na unaweza kuchukua hii namba 0788512033 ukatupigia mojakwamoja huu ni wakati wako sasa maana kiza kimekuwa kinene muda mrefu kwako na sasa ni mapambazuko k**a ukichukua hatua leo leo.
0788512033
https://chat.whatsapp.com/DhTSCQ8wbow1VG9A4RiOCv
Na link ni hiyo hapo juu

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255788512033

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwe mzazi leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share