Tiba ya Bawasiri bila upasuaji.0733658876

Tiba ya Bawasiri bila upasuaji.0733658876 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba ya Bawasiri bila upasuaji.0733658876, Medical and health, Dar es Salaam.

Dr elia natoa huduma ya afya kutoka kampuni ya Bf SUMA , pia nina bidhaa mbali mbali ambazo zinatibu matatizo ya kiafya, MIMI NAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0672961274WHATSAPP/ CALL/ SMS

30/03/2022

Tiba ya Bawasiri bila upasuaji;
✓Bawasiri ni uvimbe au kinyama kinacho ota njia ya haja kubwa. Huu uvimbe unaweza kua wa Ndani(Bawasiri ya Ndani) au unaweza kua wa Nje)Bawasiri ya Nje.
Dalili Za Bawasiri.
*Kupata miwasho njia ya hajakubwa
*Kupata choo kigumu
*Kupata maumivu wakati wa haja.
Madhara ya Bawasiri
*Kushindwa kutembea au kukaa kwa Uhuru.
*Msongo wa mawazo.
*Kansa ya utumbo
*Maumivu makali wakati wa haja.
Kwa wanaume husababisha tatizo lakukosa ufanisi katika tendo.
SURUHISHO.
✓Bawasiri inatibika,Njoo update uponyaji kwa kutumia virutubisho lishe vinavyo patikana Kwenye shirika la Sayansi na tiba toka marekani.
Tunapatikana Dar es salaam.:ofisi etu zipo ILALA BOMA,MBEZI NA MLIMANI TOWER.
Mawasiliano;0733658873.

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke n...
29/01/2022

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kukosa Hamu ya Tendo kabisa / kukosa Msisimko/Mihemko

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito sana.

4)MBEGU KUTOKA KIDOGO AU HAZITOKI KABISA/

5)Uume kuwa Lege lege wakati unashiriki Tendo

6)UUME KUSINYAA NA KUWA MDOGO

7) Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Kwa ushauri na tiba tupigie kwa simu namba 0672961274WHATSAPP/CALL/SMS
Kupata SULUHISHO la KUDUMU

UGONJWA WA U.T.I SUGU UNATIBIKA,ACHA KUHANGAIKA...         Ninayo FEMICARE ni Tiba Ya Uhakika👌👌                Njoo What...
11/11/2021

UGONJWA WA U.T.I SUGU UNATIBIKA,ACHA KUHANGAIKA...

Ninayo FEMICARE ni Tiba Ya Uhakika👌👌
Njoo WhatsApp 0672961274
U.T.I (Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.
UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo

KISABABISHI CHA UTI

Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja,

DALILI ZA UTI

1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo
3.Maumivu ya misuli na tumbo chini ya kitovu
4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu nk
5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza kuwa na maumivu mgongoni au kwenye mbavu pia kichefuchefu na kutapika
6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo

KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?

Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje

1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu

2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake

WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI
vyoo vya jumuia k**a sokoni n.k
‪ #‎Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo
‪ #‎Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo
‪ #‎Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra
‪ #‎Baadhi ya njia za uzazi k**a kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk

KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)

Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo

1.Kutokumaliza dose na Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena

2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao bakteria

FEMICARE FEMININE CLEANSER

Ni tiba maalum kwa ajili ya kutibu UTI sugu zilizoshindikana kwa dawa za hospitalini pamoja maaambukizi mengine k**a fangasi katika via vya uzazi,Haipatikani Katika Maduka Ya dawa inapatikana kwangu tu! Njoo upate suluhisho la kudumu 0672961274

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255733658876

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba ya Bawasiri bila upasuaji.0733658876 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba ya Bawasiri bila upasuaji.0733658876:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram