Afya solution

Afya solution ukurasa huu Ni maalumu kwa afya ya uzazi wa mwanaume na mwanamke. KARIBU UPATE SULUHISHO THABITI UPONE KABISA TATIZO LAKO

17/11/2021

IPE THAMANI AFYA YAKO KWA KUTIBU CHANGAMOTO YA MIFUPA NA MAUNGIO BILA UPASUJI.
KARIBU

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEMawasiliano   0627780216            /07799731661)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekun...
16/10/2021

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Mawasiliano
0627780216
/0779973166

1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kukosa Hamu ya Tendo kabisa / kukosa Msisimko/Mihemko

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito sana.

4)MBEGU KUTOKA KIDOGO AU HAZITOKI KABISA/

5)Uume kuwa Lege lege wakati unashiriki Tendo

6)UUME KUSINYAA NA KUWA MDOGO

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Kwa ushauri na tiba tupigie kwa simu namba

06227780216
Kupata SULUHISHO la KUDUMU

*TIBU P.I.D REJESHA FURAHA YAKO ILIYOPOTEA*      Maana halisi ya PID ni hali ya kututumka au kucharuka kwa sehemu ya nji...
15/10/2021

*TIBU P.I.D REJESHA FURAHA YAKO ILIYOPOTEA*
Maana halisi ya PID ni hali ya kututumka au kucharuka kwa sehemu ya njia ya uzazi kwa mwanamke kunasababishwa na magonjwa yanayosambazwa kwa njia ya ngono. Sehemu hizi ni k**a mirija ya uzazi na o***y.

📲0627780216

🎯DALILI ZA P.I.D

📲Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto
📲Sehemu za uke kuwa na ulaini sana
📲Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ngono na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa

📲Kuvurugika kwa hedhi
📲Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani

📲Maumivu wakati wa kukojoa
📲Kupata maumivu wakati wa choo

📲Kupata dalili za homa k**a kizunguzungu, mwili kukosa nguvu, kukosa hamu ya kula na uchovu mwingi.

MADHARA
🎯Kadiri unavoumwa zaidi PID ndivyo hatari ya kupata ugumba inavoongezeka. Mimba kutokea nje ya mfuko wa mimba ni ishu kubwa ya kiafya na inahitaji uangalizi mkubwa wa kidaktari ili kuzuia kuvuja kwa damu na hatimae kupelekea kifo kwa mama.

MAWASILIANO:
📲06227780216

KARIBU UTIBU P.I.D JALI AFYA YAKO

TIBU BAWASILI BILA UPASUAJI KWA MATOKEO YA KUDUMUMawasiliano piga/wasap/SMS      📲0627780216Bawasiri ni nini-Bawasiri ni...
08/10/2021

TIBU BAWASILI BILA UPASUAJI KWA MATOKEO YA KUDUMU

Mawasiliano piga/wasap/SMS
📲0627780216

Bawasiri ni nini
-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk

▶️Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu .

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.?kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.?kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.?kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4.?kupata kinyesi chenye damu
5.?kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6.? Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

▶️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
▶️ Ujauzito
▶️ Unywaji pombe
▶️ Kukaa sana sehemu ngumu
▶️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).
▶️ Kujisaidia Choo Kigumu. Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
▶️ Kula sana nyama nyekundu
▶️ Presha ya kupanda
▶️ Kula sana pilipili
▶️ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)

Mawasiliano piga/wasap/SMS
📲0627780216

Address

Dar Es Salaqma
Dar Es Salaam
15110

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya solution:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram