Afya Na Mfumo Wa Maisha

Afya Na Mfumo Wa Maisha virutubisho vya Afya

20/09/2024

Namini utajifunza kitu kupitia video hii ungependa nitoe Elimu kwenye swala gani zaidi 🫶👋🏿

28/03/2023

Part 1 ;

*▪︎UELEWA WA WENGI KUHUSU TEZI DUME:*

Kwa uzoefu tuu,
Wanaume wengi huwa wanaona aibu kuzungumzia hali zao, hasa zinazohusu matatizo ya Kiafya.

Pengine ni swala linalochangiwa na mambo ya Kiutamaduni au ni fikra zetu tuu,
Ila wengi huwa naona sababu kubwa ni kukosa ufahamu wa elimu juu ya hiki kiungo cha Tezi Dume, hasa kinapoanza kuleta shida.
Wananume wengi hukaa kimya, na unasubiri uanze kupata Maumivu Makali ndo useme.
Inatakiwa mwanaume uelimike ili usije ukawa mhanga wa kuwasumbua wengine unao kaa nao.

Wapo ambao huanza kupata dalili za awali na wanapoelezwa kuwa hili ni tatizo la tezi dume hukataa na kujiona kuwa wako sawa, Wengine huwaficha hadi wake zao. Wengine huona aibu kabisa kuzungumzia hili swala la tezi dume.

*Fuatilia mafunzo haya kwa kina ili ujue kuanzia kwa nini mwanaume anatezi dume ila mwanamke kwa nini hana👉👉
Itaendelea ................ ✍️

https://wa.me/message/2NADAXG7MXXVA1

*_HIVI HUJAWAHI KUJIULIZA, NI KWANINI KUNA MAFUNZO NA MAKALA NYINGI ZIHUSUZO NGONO, MAPENZI & MAHUSIANO?_* ✍️Kuna wanawa...
08/02/2023

*_HIVI HUJAWAHI KUJIULIZA, NI KWANINI KUNA MAFUNZO NA MAKALA NYINGI ZIHUSUZO NGONO, MAPENZI & MAHUSIANO?_*

✍️Kuna wanawake hawana njaa na pesa au mali za mwanaume. Wao wanataka *_SHOW YA UKWELI BAAAAASI._*

✍️Mambo yanayotusubiri huku Duniani,tunayafanya si kwaajili yetu wenyewe, bali ni kwa ajili yetu pamoja na tuwapendao.

✍️Usisahau kuwa mapenzi yana nguvu k**a Mauti,mtu anaweza akaacha fahari yote kwaajili ya ampendaye *_HUJAWAHI KUSIKIA AU KUONA MTU AKISHINDWA KUFANYA KAZI HATA KUCHANGANYIKIWA KWASABABU YA MAPENZI_*

Sekunde 10, umemwaga na kulala. Hapo umejiridhisha wewe Mkuu.

✍️Hii mambo si ya kibinafsi namna hiyo.
Siku huyo unaempa SEKUNDE 10 akipewa dk 10, na *_Fundi UJENZ_* , utajuta Kwanini hukupewa mafunzo ya Jandoni.

✍️Hata k**a kuna direct route ambayo mwanamke akiandaliwa vizuri anaweza kuwa tayari hadi kufika kileleni bado anahitaji dakika *_20_* wakati mwanaume huhitaji dakika 2 tu.

IKO HIVI_ 📌 *MWANAMKE HUWA K**A PASI HUCHELEWA KUPATA JOTO NA HUTUNZA JOTO KWA MUDA ZAID HATA BAADA YA KUMALIZA KUPIGA PASI.*

✍️Mwanaume ni mfano wa bulb ya umeme uki-switch tu mara moja inawaka wakati mwanamke ni mfano wa pasi ya umeme ambayo huchukua muda hadi ipate joto na hutumia muda zaidi to cool off.

*_Without geography we are no where,bila kujua geography ya mwanamke huwezi kumfikisha pale anahitaji kufika kimapenz_*

*NIFANYE NINI MIMI MWENYE UUME LEGEVU,HATA UKISIMAMA BADO SIWEZ KUMUINGILIA MTU WANGU,INALALA KATIKATI YA MCHEZO,SIWEZ STAILI NYINGINE ZAID YA KIFO CHA MENDE*

MAJIBU haya ni Muhimu sana kwako wewe unaehitaji kuimarika na kumaliza changamoto zote👇👇

Kwa maelezo https://wa.me/message/2NADAXG7MXXVA1

USISUBIRI KUFANYIWA OPERATION MWANAUME FUNGUKA IPO SIRI YA KUEPUKA KUTANUKA KWA TEZI DUME 🙌🙌🙌 ila K**a tayari una dalili...
16/11/2022

USISUBIRI KUFANYIWA OPERATION MWANAUME FUNGUKA IPO SIRI YA KUEPUKA KUTANUKA KWA TEZI DUME 🙌🙌🙌 ila K**a tayari una dalili za awali K**a;
✅kukosa hamu ya tendo la ndoa
✅kushindwa kuzuia mkojo
✅Tumbo kujaa gesi
✅kukojoa mkojo Wenye mtiririko dhaifu
✅maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo , kiuno na mbavu .
Pata msaada mapema kabla tatizo halijawa sugu
👉call 0753260208

BAADA YA KUTESEKA NA UZITO MKUBWA SASA nina furaha ya kuwa huru Na maumivu ya mgongo , kiuno , kuchoka sana, pressure , ...
11/11/2022

BAADA YA KUTESEKA NA UZITO MKUBWA SASA nina furaha ya kuwa huru Na maumivu ya mgongo , kiuno , kuchoka sana, pressure , kukosa choo Na kufurahia tendo limenisaidi kuishi maisha ya tabasamu baada ya kupunguza uzito ✅ Wewe unayepitia hali hii tuwasiliane 0753260208

*UNENE NI HALI YA MKUSANYIKO AU ONGEZEKO LA MAFUTA MWILINI.HII NI HALI AMBAYO MTU ANAKUA NA UZITO MKUBWA KULIKO UZITO AM...
04/11/2022

*UNENE NI HALI YA MKUSANYIKO AU ONGEZEKO LA MAFUTA MWILINI.HII NI HALI AMBAYO MTU ANAKUA NA UZITO MKUBWA KULIKO UZITO AMBAO MTU ANATAKIWA AWE NAO KULINGANA NA UREFU WAKE.*

✍️Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini
Uzito ulio mdogo

01/11/2022

Mwanamke usiendelee kuteseka Na changamoto hizi za kiafya karibu upate huduma sahih 😍
# wanawake maendeleo # Zambia

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Na Mfumo Wa Maisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Na Mfumo Wa Maisha:

Share