Virutubisho TIBA

Virutubisho TIBA Virutubisho Tiba

FAHAMU UMUHIMU WA KUNYWA MAJI. Maji ni muhimu katika mwili wa mwanadamu . Tunashauriwa kunywa maji safi na salama, lita ...
05/09/2024

FAHAMU UMUHIMU WA KUNYWA MAJI. Maji ni muhimu katika mwili wa mwanadamu . Tunashauriwa kunywa maji safi na salama, lita 3 kwa siku, kwasababu viungo vingi vya mwili, ili viweze kufanya kazi ipasavyo vinahitaji maji ya kutosha.

Ugonjwa wa figo unaweza kusababishwa na bacteria,na iwapo bacteria hao hawatatibiwa,wanaweza kufika sehemu ya juu ya nji...
22/08/2024

Ugonjwa wa figo unaweza kusababishwa na bacteria,na iwapo bacteria hao hawatatibiwa,wanaweza kufika sehemu ya juu ya njia ya mkojo na kuharibu figo.

Dalili zake pamoja na maumivu ya kichwa mara kwa mara,kuchoka hovyo na kuhisi kulala,kuvimba miguu,kutapika,kukosa hamu ya kula na kukojoa damu au mapovu.

PONYA NA UIMARISHE FIGO ZAKO. Figo ni chujio lenye muunganiko wa mamilioni ya vichujio vingi vidogo vidogo. Matatizo na ...
18/08/2024

PONYA NA UIMARISHE FIGO ZAKO. Figo ni chujio lenye muunganiko wa mamilioni ya vichujio vingi vidogo vidogo. Matatizo na magonjwa huanza pale figo zinaposhindwa kuchuja. Ukisafisha chujio zote za figo, magonjwa na matatizo yote yanaondoka.

Ugonjwa wa figo ni biashara, usitegemee tangazo kutoka kwenye vyombo husika kuhusu dawa ya kuponya figo. Lengo ni uendelee kuuziwa madawa, uwe mteja wa kudumu. Dawa za kemikali zinakupa unafuu, kupunguza maumivu na kusababisha magonjwa mengine ili uendelee kuwa mteja. Inafahamika wazi kwamba matumizi ya muda mrefu ya dawa za kemikali huleta athari kwenye viungo vyote mwilini, hususani Figo, Moyo, Ubongo, Ini na Mapafu.

SULUHISHO LA KUDUMU

Yeyote yule mwenye matatizo ya figo na magonjwa mengine, tumekuandalia mpangilio wa vyakula (Meal Plan) vinavyoendana na group lako la damu, na dawa za kukusaidia kuondokana na ugonjwa wa figo na maradhi mengine yaliyopo mwilini mwako. Dawa zimetokana na mimea, vyakula na matunda zaidi ya 78. Siyo chungu ni tamu, na utamu wake umetokana na matunda. Hazina kemikali.

Dawa zetu zinaamsha na kurejesha uwezo wa mwili wa Kujikarabati, Kujiponya, Kujiimarisha na Kuondoa matatizo, maradhi na magonjwa yaliyopo mwilini mwako. Mwili wako unarejeshwa kwenye hali yake ya kawaida, na kuishi bila magonjwa. Unakaa kwenye utuuzima na afya njema, huku ukifurahia uumbaji wa Mungu.

Mungu aliuumba mwili wako na uwezo wa Kujikarabati, Kujiponya na Kujiimarisha. Unaumwa kwasababu uwezo huo umepungua. Unapona maradhi yote yaliyopo mwilini mwako kwa sababu uwezo huo umerejea. Uwezo huo unadhohofika au unarejea kutokana na dawa na vyakula, unavyokula kila siku.

LOCATION

Tunapatikana maeneo ya Mbezi Beach kwa Zena, karibu na Shoppers Plaza, Jengo letu ni Mbezi Beach Plaza, Ghorofa ya Pili. Kwa mawasiliano zaidi : 0689 733 855

09/08/2024

Address

Mbezi Juu Tatedo, Tanzanite
Dar Es Salaam
14128

Opening Hours

Monday 07:00 - 21:00
Tuesday 07:00 - 21:00
Wednesday 07:00 - 21:00
Thursday 07:00 - 21:00
Friday 07:00 - 21:00
Saturday 07:00 - 21:00
Sunday 07:00 - 21:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Virutubisho TIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram