Tiba Mbadala

Tiba Mbadala Ninatoa huduma ya Vipimo&Tiba.

15/05/2025

JE UMESUMBUKA NA CHANGAMOTO YA UZAZI KWA MUDA MREFU?
GCAT HEALTH itakupatia huduma kwa punguzo la Gharama kwa asilimia 40% kwa kila huduma ikiwemo vipimo, matibabu pamoja na Dawa.

🌊 PID, UTI,hedhi
⏺️ Fangasi, Uvimbe
⏺️Ukavu ukeni
⏺️ Mimba kutoka
⏺️ Nguvu za kiume
⏺️Mirija ya uzazi
⏺️ Saratani ya uzazi
⏺️ Kutoshika mimba
⏺️ Mvurugiko wa homoni
⏺️Hamu ya watoto kula
⏺️ Madhara ya punyeto
⏺️Kushindwa kuludia tendo la ndoa

Ofa hii ni mwezi huu tu!

Tunapatikana Dar es Salaam na mikoani. Kwa mawasiliano zaidi tuma ujumbe au WhatsApp au Piga simu namba 0760591347
https://wa.me/message/TUX7EYVQ3V4UE1

11/04/2025

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
đźš‘ âś…, âś… Matatizo ya Moyo na INI
âś…Kansa, âś…Vidonda vya Tumbo,
âś…Kisukari âś…Pumu
âś…Stroku. âś…Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
âś…Matatizo ya mifupa, âś…Matatizo ya miguu
âś…Ngozi, âś…Figo, âś…Fangasi sugu
âś…Kupunguza unene, uzito, na matumbo
âś…Kuongeza kinga mwilini(CD4)
âś…U.T.I sugu,Gesi
âś…Bawasiri, âś…Tenzi dume
âś…Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0760591347

Kwa Whatsapp gusa Link hapa chini 👇https://wa.me/message/TUX7EYVQ3V4UE1

Healthy Fertility
09/04/2025

Healthy Fertility

24/05/2024
MAAMBUKIZI,MADHARA NA DALILI ZA PID.katika via vya uzazi kwa kawaida hujulikana k**a PID, kitaalamu kirefu chake ni Pelv...
22/05/2024

MAAMBUKIZI,MADHARA NA DALILI ZA PID.
katika via vya uzazi kwa kawaida hujulikana k**a PID, kitaalamu kirefu chake ni Pelvic Inflammatory Disease, kwa Kiswahili maana yake ni maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi.
PID, ni maambuki yanayoathiri viungo vya uzazi vya mwanamke na hutokana na mchanganyiko mbalimbali wa magonjwa ya zinaa, hasa yaliyosababishwa na bakteria wa Pangusa (Chlamydia-ugonjwa huu tutaujadili siku zijazo) au kisonono.

Ugonjwa wa PID unapokaa muda mrefu bila kutibiwa, unaweza kusababisha uharibifu mkubwa usiobadilika katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, hasa katika mfuko wa kizazi (uterus), vifuko vya mayai (Ovaries) na mirija ya mayai (fallopian tubes). Ugonjwa huu unapokaa muda mrefu mwilini bila kutibiwa humfanya mwanamke kupatwa na ugumba. Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuka na ugonjwa huu. Ugonjwa wa kisonono pamoja na pangusa (Chlamydia) ndio vyanzo vikuu vya maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke. Mwili wa mawanamke unapokuwa na afya kamili, mlango wa kizazi huwa na nguvu ya kuzuia bakteria wasiweze kuingia katika viungo vya ndani vya uzazi kutoka ukeni. Hata hivyo, wakati mlango wa kizazi unapokuwa wazi na kuruhusu magonjwa ya zinaa kuingia, hasa kisonono na pangusa, mlango wa kizazi hupata maambukizi na kisha hupoteza uwezo wake, hivyo kuruhusu maambukizi na bakteria kuingia na kufika juu kwenye viungo vya uzazi. Hapa kuna mambo ambayo huwafanya wanawake kupatwa na tatizo hili kwa urahisi, mambo hayo ni: Moja, kuwa na wapenzi wengi ama kutoka nje ya ndoa, pili; kuanza mambo ya mapenzi mapema hasa chini ya miaka 20, tatu; kupiga bomba ukeni kwaweza kusaidia vimelea kuingia ndani na kusababisha maambukizi katika viungo vya uzazi.

DALILI ZA MAAMBUKIZI
PID ikianza kuonyesha dalili zaweza kuwa k**a ifuatavyo; maumivu ya tumbo chini ya kitovu, kutokwa na uchafu ukeni, hasa wenye rangi ya njano unaoelekea kuwa kijani kwa mbali ukiwa na harufu mbaya, kuhisi maumivu ama hali ya kuungua wakati wa kukojoa.
Dalili nyingine ni kuwa na homa, kuhisi kichefuchefu ama kutapika, maumivu wakati wa tendo la ndoa ama kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa, kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja.

Kadri inavyoonyesha kuwa huna dalili zozote za PID, ni vyema kila mara kwenda katika zahanati ama hospitali ili kupata vipimo kuweza kukuhakikishia kuwa uko salama, na hauna maambukizi yoyote ya zinaa. Wanawake wadogo chini ya umri wa miaka 20, mara nyingi wanapatwa na janga la maambukizi haya kwa urahisi, na inafaa wapate vipimo angalau mara moja kwa mwaka.Mwanamke unapoona dalili zozote tofauti, usisite kufika hospitalini ili kufanya uchunguzi na kuhakiki tatizo lako. Hakuna kipimo maalumu cha PID, lakini hata hivyo, daktari anaweza kupima maambukizi kwa kuchukua vitu vinavyotoka ukeni, ama mkojo.kwa tiba zaidi.

msg/Whatsapp 0760592347
https://wa.me/message/TUX7EYVQ3V4UE1

Tiba ni ya Uhakika,uponyaji ni wa haraka.Tiba ni baada ya huduma za vipimo.Call/WhatsApp 0760591347
03/05/2024

Tiba ni ya Uhakika,uponyaji ni wa haraka.Tiba ni baada ya huduma za vipimo.
Call/WhatsApp 0760591347

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international tuna madktari waliobobea na vifaa vya kisasa tunatoa huduma ya vipimo kw...
02/05/2024

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
tuna madktari waliobobea na vifaa vya kisasa tunatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.20,000tu
Pia tunatibu magonjwa yafuatayo:
âś…Matatizo ya hedhi kwa wanawake
âś…Kutoshika mimba
âś…Mimba kuharibika
âś…Chango la uzazi
âś…Vimbe aina zote
âś…PID & UTI
âś…Kuzibua mirija ya uzazi
âś…Vidonda vya tumbo
âś…Tezi dume
âś…Nguvu za kiume
âś…Bawasiri
âś…Matatizo ya moyo
âś…Matatizo ya mifupa
âś…Ngiri
âś…Matatizo ya kibofu cha mkojo
âś…Aleji
âś…Bandama
âś…Homa ya Ini
âś…Kiharusi/Stroke
âś…Pumu
âś…Miguu Kuwaka Moto
âś…Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
âś…Presha
âś…Sukari
âś…VVU
Tupo banana Dar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba za simu:
0760591347https://wa.me/message/TUX7EYVQ3V4UE1

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Mbadala posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram