24/08/2024
KISUKARI
BLOOD SUGAR
Hili ni miongoni mwa matatizo ambayo yanatokana na upungufu wa kinga mwilini,
Ifahamike kisukari kina mpata mtu ni kutokana na zile kinga za mwili kushindwa kufanya kazi yake vizuri,
Na ili kinga za mwili ziweze kufanya kazi yake vizuri inahitajika mfumo wa taarifa uwe imara,
Mfumo wa taarifa ndio unao ongoza mwili mzima kwa mfano umwagaji wa insulin kutoka kwenye kongosho inahitajika taarifa moja kwa moja kutoka kwenye ubongo,
Kazi ya figo ni kudhibiti kiwango cha sukari mwilini, maji, chumvi, madini, na acid,
Na katika mwili wa binaadam chumvi ikiingia mwilini inahesabika k**a sukari baada ya madini joto baadhi kuchukuliwa,
Tuangalie moja kwa moja sasa sababu zinazo perekea tatizo hili la kisukari na sukari inabidi iwe 5 tu mwilini haitakiwi kushuka wala kupanda,
Kuna aina mbili ya kisukari hypergreshimier
Hypogreshimier
Yaani sukari kupanda na kushuka
SABABU ZA KISUKARI
1. Msongo wa mawazo
2. Ulaji wa vyakula vyenye sukari kwa wingi
3. Kushuka kwa kinga za mwili
4. Virusi vya ukimwi
5. Presha
6. Uchujaji katika figo kushuka
DALILI ZA KISUKARI
1. Kuhisi njaa mara kwa mara
2. Kuhisi mkojo mara kwa mara
3. Mkojo kunata k**a asili ya sukari
4. Mkojo kua wa njano
5. Macho kua ya chano
6. Kuchoka mara kwa mara
7. Mwili kuishiwa nguvu
8. Kuhisi kiu mara kwa mara
9.ganzi
USHAURI
1. Epuka kula vyakula vyenye sukari
2. Fanya mazoezi
3. Kunywa maji ya kutosha
4. Epuka mawazo
5. Epuka umezaji wa dawa za kemikali kwa muda mrefu
Kisukari kinatibika
Karibu tukupatie huduma bora za matibabu
Wasiliana nasi sasa
+255 0653 390 434