Tiba Na Lishe Asilia

Tiba Na Lishe Asilia Mdical Health & Nutrition

PONYA NA UIMARISHE FIGO ZAKO Figo ni chujio lenye muunganiko wa mamilioni ya vichujio vingi vidogo vidogo. Matatizo na m...
18/08/2024

PONYA NA UIMARISHE FIGO ZAKO

Figo ni chujio lenye muunganiko wa mamilioni ya vichujio vingi vidogo vidogo. Matatizo na magonjwa huanza pale figo zinaposhindwa kuchuja.

Ukisafisha chujio zote za figo, magonjwa na matatizo yote yanaondoka mwilini mwako.
Ugonjwa wa figo ni biashara kubwa sana duniani, usitegemee tangazo kutoka kwenye vyombo husika kuhusu dawa ya kuponya figo. Lengo ni uendelee kuuziwa madawa, uwe mteja wa kudumu. Mwaka wa kwanza chuo wanafundisha: “Mgonjwa akipona umepoteza mteja.

Biashara ni wateja. Linda mshahara.” Lengo kubwa la dawa za kemikali ni kukupa unafuu, kupunguza maumivu na kusababisha magonjwa mengine ili uendelee kuwa mteja wa kudumu.

SULUHISHO LA KUDUMU

Kwa yeyote yule mwenye matatizo ya figo na magonjwa mengine...tumekuandalia mpangilio wa vyakula (Meal Plan) na bidha za kukusaidia kuondokana na ugonjwa wa figo na maradhi mengine yaliyopo mwilini mwako. Bidha hizo ni mjumuiko wa mimea, vyakula na matunda, vyote kwa pamoja ni zaidi ya 78. Siyo chungu ni tamu, utamu wake umetokana na matunda.
Katika mpangilio wa vyakula, tumeorodhesha vyakula vyote unatakiwa kula kutokana na group lako la damu, kazi yako kubwa ni kwenda sokoni kuvinunua na kupika. Mungu aliuumba mwili wako na uwezo wa Kujikarabati, Kujiponya na Kujiimarisha.

Unaumwa kwasababu uwezo huo umepungua. Unapona maradhi yote yaliyopo mwilini mwako kwa sababu uwezo huo umerejea. Uwezo huo unadhohofika au unarejea kutokana na vyakula, unavyokula kila siku.

Mpangilio wa vyakula ukiambatana na bidha hizo tulizotengeneza kwa kuzingatia ubora na usalama wa afya yako: zinaamsha na kurejesha uwezo wa mwili Kujikarabati, Kujiponya, Kujiimarisha na Kuondoa matatizo, maradhi na magonjwa yaliyopo mwilini mwako.

Mwili wako unarejeshwa kwenye hali yake ya kawaida, na kuishi bila magonjwa. Inauwezesha mwili Kupunguza kasi ya Kuzeeka, Kufanya ngozi yako ionekane Safi, Maridadi na Changa zaidi. Unazeeka bila magonjwa. Unakaa kwenye utuuzima wako bila magonjwa, ukifurahia uumbaji wa Mungu.

Njia pekee sahihi ya kuondokana na magonjwa yote yasiyo ambukiza mwilini mwako, ni kula vyakula vinavyoendana na kundi lako la damu. Hiyo ndo tiba imara na suluhisho la kudumu dhidi ya magonjwa yote mwilini mwako.

LOCATION

Tunapatikana maeneo ya Mbezi Beach kwa Zena, karibu na Shoppers Plaza, Jengo letu ni Mbezi Beach Plaza, Ghorofa ya Pili. Kwa mawasiliano zaidi : 0715 775 353

Address

Mbezi Beach Area/kwa Zena, Building/Mbezi Beach Plaza, Plot No. 168, Blok No. K
Dar Es Salaam
14121

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 17:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Na Lishe Asilia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share