Gcat Eternal Health care

  • Home
  • Gcat Eternal Health care

Gcat Eternal Health care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gcat Eternal Health care, Medical and health, .

Wanawake wengi wamekuwa wakipitia changamoto nyingi za za Uzazi , Changamoto Hizo Zimekuwa Kikwazo Kikubwa sana Kwenye M...
17/10/2024

Wanawake wengi wamekuwa wakipitia changamoto nyingi za za Uzazi ,

Changamoto Hizo Zimekuwa Kikwazo Kikubwa sana Kwenye Maisha yao ikiwemo

📌 Kukosa Ufanisi Mzuri Katika Tendo La Ndoa
📌 Kukosa Mtoto Kwa Wakati Au Kutokupata Kabisa
📌 Kukosa Raha Kutokana Na Miwasho Na Harufu Mbaya Ukeni.

Inawezekana Unapata Miwasho sehemu za siri au Unatokwa Na Uchafu Wenye Harufu Mbaya Ukeni,

Mara Nyingine Yawezekana Unapata Hedhi Isiyokua Na Mpangilio Maalumu , Au pengine Kila Unapopata Ujauzito Unaharibika.

Usiendelee Kuteseka Na Changamoto Hizo Za Mfumo Wa Uzazi
Kwa Maana Changamoto Hizo Zina Suluhisho La Kudumu.

Jipatie Suluhisho La Kudumu Kwa Mfumo Wako Wa Uzazi Ili

📌 Uweze Kushiriki Tendo La Ndoa Bila Maumivu
📌Uweze Kupata Mzunguko wa Hedhi Wa Kawaida
📌 Uongeze Uwezekano Mkubwa Wa Kushika Ujauzito Na Kupata Mtoto.

Ili Kupata Faida Hizo Karibu Tukusaidie Kupata Suluhisho La Kudumu.

Wasiliana Nasi Sasa
0684948462

Je Unafahamu Kuhusu Changamoto Ya P.I.D ?P.I.D Ni Maambukizi Yanayotokea Kwenye Mfumo wa Uzazi Wa Mwanamke.Wanawake Weng...
17/10/2024

Je Unafahamu Kuhusu Changamoto Ya P.I.D ?

P.I.D Ni Maambukizi Yanayotokea Kwenye Mfumo wa Uzazi Wa Mwanamke.

Wanawake Wengi Wanasumbuliwa Na Changamoto Hii Bila Ya Wao Kujua,

Zituatazo Ni Baadhi Dalili Za Ugonjwa Huu
📌 Kutokwa Na Uchafu Na Majimaji Yenye Harufu Mbaya Ukeni

📌 Kuhisi Maumivu Makali Wakati Wa Kushiriki Tendo La Ndoa

📌Kutokwa Na Damu Wakati Wa Kushiriki Tendo La Ndoa.

Yawezekana Ni Wewe Unayepitia Changamoto Hii Kwa Muda Mrefu

Umetumia Dawa Mbalimbali Na Bado Tatizo Lako Liko Palepale

Sasa Usiendelee Kuteseka Maana Nmekuletea Suluhisho La Kudumu Kwa Changamoto Yako

Wasiliana Nasi Sasa Ili Kupata Huduma Hii Ya Vipimo na matibabu
0684948462

NJIA SALAMA YA KUTIBU UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE     Wanaume wengi wanashindwa kutungisha mimba na wanawake Kutoshik...
07/10/2024

NJIA SALAMA YA KUTIBU UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE
Wanaume wengi wanashindwa kutungisha mimba na wanawake Kutoshika Mimba kutokana na changamoto mbalimbali. Swala la uzazi sio la upande mmoja tu wa mwanamke pia wanaume wengi hawana uwezo wa kutungisha mimba. ✍🏻✍🏻
Tumewasaidia wanaume na wanawake wengi sana kutibu tatizo la ugumba na wamepata watoto. Na wengi wao walikuwa na changamoto k**a hizi👇
✅Kuwa na mbegu chache
✅Kuwa na uvimbe kwenye kizazi au kwenye mayai
✅Mbegu kuwa na uwezo mdogo wa kuogelea.
✅ Mvurugiko wa homoni/ Homone imbalance
✅ Kutokurudia tendo la ndoa
✅ Mirija ya uzazi kuziba
✅ Upunguvu wa nguvu za kiume
✅Kukosa hamu ya tendo la ndoa
✅Dhakari kusimama kwa ulegevu.
✅ Kukosa hedhi/Period
✅ Saratani ya shingo ya kizazi
✅Kuhisi maumivu wakati wa tendo.
✅ Kukosa hisia
✅ Changamoto ya tezi dume.
#.Nanyingine nyingi

Haijalishi changamoto yako wewe imekutesa kwa mda gani,GCAT HEALTH CARE CLINIC Kutoka China ipo kwa ajili ya kutatua changamoto yako.
⚫Tunatoa huduma ya vipimo vya mfumo mzima wa Mwanaume na Mwanamke kwa Tshs 30,000/= tu .
NB: Usitumie dawa yoyote bila kupata vipimo na Ushauri wa daktar.✖️
Je ni wewe unahitaji huduma kwa ofa hii ya vipimo?
K**a ni wewe basi piga simu kwa namba0684948462Kwa maelekezo zaidi , Tunapatikana dar es salaam Majumba sita na mkoani pia.
Wasiliana nasi kwa namba 0684948462maana ninao mda wa kuongea na wewe ,piga simu sasa hivi.

𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈 ,(𝐇𝐎𝐑𝐌𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐀𝐍𝐂𝐄 *🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vich...
02/10/2024

𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈 ,(𝐇𝐎𝐑𝐌𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐀𝐍𝐂𝐄

*🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%

*ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI* 𝐙𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈

▶️Uke kuwa mkavu
▶️Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.

▶️ kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi
siku 7. (heavy bleeding, Au kutokupata hedhi kwa Muda Mrefu

▶️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi.

𝐌𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌O𝐍𝐈
➡️ Maambukizi ukeni ya mara kwa mara
➡️Mimba kuharibika mara kwa mara
➡️ Ugumba.
➡️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

𝐒𝐔𝐋𝐔𝐇𝐈𝐒𝐇𝐎/𝐌𝐀𝐓𝐈𝐁𝐀𝐁U

Huenda Ni Wewe Unaeteseka Na Changamoto Hii Muda Mrefu na Umetumia Dawa Tofauti Tofauti Ambazo Hazijawa Msaada Kwako

Usiendelee Kuteseka Tena Kwani Nipo Kukusaidia Kupata Suluhisho Kamili Na La Kudumu Kukupatia Tiba Kamili

🔘 Tupigie Sasa Kupata Huduma Hii Au Wasiliana Nasi Whatsapp Kwa 0684948462

Ondokana Na Athari Za U.T.IU.T.I Ni Maambukizi Kwenye Mfumo wa Mkojo wa Mwanamke Na Mwanaume.Watu wengi Wanasumbuliwa Na...
30/09/2024

Ondokana Na Athari Za U.T.I

U.T.I Ni Maambukizi Kwenye Mfumo wa Mkojo wa Mwanamke Na Mwanaume.

Watu wengi Wanasumbuliwa Na Changamoto Hii Bila Ya Wao Kujua, Na Imekua Mwiba Kwenye Afya Zao

Zifuatazo Ni Baadhi Ya Dalili Za Ugonjwa Huu
📌 Kuhisi Maumivu Makali Chini Ya Kitovu

📌Mwili Kukosa Nguvu
📌 Mkojo Wa Rangi Ya Njano Na Wenye Harufu Kali
📌Homa Za Mara Kwa Mara.

Tatizo Hili lina Athari Kubwa Sana Kwenye Mfumo Uzazi Endapo Hutalipatia Tiba

📌 Mji Wa Mimba Kuharibika
📌 Mimba Kuharibika
📌Michubuko Kwenye Via vya Uzazi

📌 Maumivu Wakati Wa Kushiriki Tendo La Ndoa
📌Ugumba

Yawezekana Ni Wewe Unayeteseka Na Changamoto Hii Kwa Muda Mrefu Na Umetumia Dawa Nyingi Bila Mafanikio

Usiendelee Tena Kuteseka Na Changamoto Hii Maana Nipo Kukusaidia Tatzo Lako

Wasiliana Nasi Sasa Kupata Huduma Hii Ya Vipimo Na Matibabu

0684948462

Kwanini Wewe Na Mwenza Wako Msipate Mtoto Mwakani?Yawezekana Wewe Pamoja Na Mwenzi Wako Mmesumbuka Muda Mrefu Kutafuta S...
20/09/2024

Kwanini Wewe Na Mwenza Wako Msipate Mtoto Mwakani?

Yawezekana Wewe Pamoja Na Mwenzi Wako Mmesumbuka Muda Mrefu Kutafuta Suluhisho Kuwawezesha Mpate Mtoto Ila Imeshindikana

Wewe K**a Mwanaume Umetumia Dawa Mbalimbali Za Kuongeza Ufanisi Kitandani Ila Bado Mkeo Habebi Ujauzito

Au Hata Wewe Mwanamke Umehangaika Kutumia Njia Mbalimbali Za Kukuwezesha Kubeba Ujauzito Ila Hamna Matokeo

Usikate Tamaa Wala Usiendelee Kuteseka Wewe Pamoja Na Mwenzi Wako

Lipo Suluhisho La Kudumu Kuwawezesha Kupata Mtoto Hivi Karibuni

Tupo Kwa Ajili Yako Karibu Tukusaidie Kupata Vipimo, Ushauri Na Matibabu Kamili Ya Mfumo Wa Uzazi Kwako Na Kwa Mwenza Wako

Kupitia Huduma Zetu;
📌Utafahamu Chanzo Cha Changamoto Ulionayo Kwenye Mfumo Wa Uzazi

📌Utapatiwa Ushauri Juu Ya Vyakula Na Namna Nzuri Ya Kuishi

📌Utapatiwa Tiba Kamili Kukusaidia Kupona Kikamilifu Changamoto Hio

Kupata Huduma Hii Wasiliana Nasi Sasa
0684948462

KWA SHILINGI 20,000 TU, UTAFANYA VIPIMO MWILI MZIMA.Boresha afya yako na Eternal International kwa kufanya vipimo vya mw...
28/08/2024

KWA SHILINGI 20,000 TU, UTAFANYA VIPIMO MWILI MZIMA.

Boresha afya yako na Eternal International kwa kufanya vipimo vya mwili mzima (Full Body Checkup) kwa shilingi 20,000.

HAPA UTAPATA KUFAHAM CHANGAMOTO K**A YA MATATIZO K**A VILE;

》Figo
》Moyo
》Ini
》Stroke
》Tezi dume
》Bawasili
》Vidonda vya Tumbo
》Ganzi
》Pressure
》 Kisukari
》Uzazi kwa Wanawake na Wanaume
》PID, UTI Sugu
》Fangasi N.k

Lakini pia pamoja na vipimo tunazo dawa ambazo zina uwezo wa kutibu matatizo yote yaliyo orodheshwa na kumpa mgonjwa nguvu za kuendelea kutimiza majukumu yake na kujiletea maendeleo.

Tunapatikana Dar es salaam, Arusha, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Tanga, Iringa, Katoro na n.k.

Waweza wasiliana nasi kwa namba zituatazo
0684948462

KARIBUNI NYOOTE!!

16/08/2024

Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na changamoto ya kutokupata UJAUZITO kutokana na maradhi ambayo yamewahi kuwakabili na ambayo yanawasumbua kwa kutokupata suluhu ya kudumu.
Gcat Eternal health care imekuja na suluhisho la kudumu kwa changamoto hiyo ,
Ewe Mwanamke karibu upate suluhisho la kudumu .
Kwa Elf ishirini tu utapata kupimwa mfumo mzima wa uzazi, na utapata Huduma ya matibabu baada ya kujua chanzo cha tatizo lako.
Wasiliana nasi kwa Namba za simu
0684948462

Jinsi Ya KUPONA maumivu makali ya Tumbo la Chini (chini ya kitovu,kushoto/kulia) Ndani ya Siku 3 Tu “Sababu kuu zaweza k...
16/08/2024

Jinsi Ya KUPONA maumivu makali ya Tumbo la Chini (chini ya kitovu,kushoto/kulia) Ndani ya Siku 3 Tu

“Sababu kuu zaweza kua ni U.T.I Sugu, Fangasi Sugu, P.I.D,Mirija kuvimba/kujaa maji & uvimbe (fibroids /vimbe maji)” …
“Nimekufikia,Ungana na WANAWAKE Wengine Zaidi ya 100+ Waliotumia Mchanganyiko Huu wa Mimea(herbals) Kupona tatizo la MAUMIVU TUMBO LA CHINI iliyosababishwa na U.T.I Sugu, Fangasi Sugu, P.I.D ,Mirija & Uvimbe ndani ya siku 3 Tu” Mpendwa Mwanamke…

Najua kua tatizo la maumivu tumbo la chini linakutesa kushindwa kufanya shuhuli zako,kushindwa kufurahia tendo la ndoa na huenda umejaribu kutibu tatizo hili bila suluhisho la kudumu..

“Utakubaliana na mimi kua wanawake wengi hukosa tiba za kudumu kumaliza tatizao la maumivu tumbo la chini..

Zaidi ya 50% Wanawake wana HATARI ya Kutokupona Kabisa tatizo la maumivu ya tumbo la chini yanayosababishwa na magonjwa ya Fangasi Sugu, U.T.I Sugu, P.I.D ,Mirija na vimbe Katika maisha yao yote” Wajua kwanini.. Kwasababu…

“ Madawa mengi wanayotumia yameshafanya usugu wa vimelea na hivyo kutomaliza KIINI au Chanzo cha Tatizo” Ndio maana Ugonjwa Hauponi au Unajirudia mara kwa mara….

Lakini…
USIJALI!
Kwani…Erternal health care tumekuandalia suluhisho la kuondokana na tatizo la maumivu makali ya tumbo la chini bila kutumia madawa yenye madhara.
Karibu tukuhudumie wasiliana nasi kwa Namba za simu 0684948462

15/08/2024

TUANGALIE SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA UJAUZITO;
✅ Magonjwa ya kuambukiza katika via vya uzazi ( P.I.D, U.T.I , Fangasi)
✅ Uvimbe kwenye kizazi.
✅ Kukosa ute wa Ovulation.
✅ Kukosa mzunguko wa hedhi wenye mpangilio.
✅ Matatizo ya homoni ( Hormonal imbalance.
✅ Ovarian cyst.
✅ Maumivu wakati wa tendo .
✅ Kutokwa na uchafu sehemu za siri.
✅ Kutokwa na majimaji sehemu za siri kupita kiasi .
Kwa changamoto mbalimbali za Afya ya uzazi kwa Mwanaume na Mwanamke wasiliana nasi kwa namba zituatazo
0684948462

@ HABARI NJEMA KWA WATU WOTE@      Tatizo la uzazi limekuwa kilio kikubwa na linawatesa wengi najua hilo ila  Eternal he...
15/08/2024

@ HABARI NJEMA KWA WATU WOTE@
Tatizo la uzazi limekuwa kilio kikubwa na linawatesa wengi najua hilo ila Eternal health care ni zaidi ya suluhisho lako, Najua umekata tamaa, najua umetumia Dawa nyingi bila mafanikio, najua umetumia Pesa nyingi bila mafanikio.
Kutana na Dr. Eva upate suluhisho lako la kudumu ,,,,,,,,
Mwezi huu ni mwezi wa kupokea habari njema juu ya Afya Yako haijalishi umejaribu mara ngapi bila majibu sasa ni wakati wa kupokea majibu Yako.

Ofa hii ni ya mwezi huu Tuu, Ofa hii inahusisha 👇👇👇
▪️Vipimo vya Mfumo mzima wa uzazi na mwili mzima ni Tshs 20,000/= tuu
▪️ Punguzo la Bei ni 50% kwa kila dawa( bidhaa zetu)
▪️ Kuonana na Daktari bingwa bure.
▪️ Kupata ushauri ni bure na elimu ya Afya ni bure.

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne(4) mwilini;
👉 Kuosha
👉 Kulinda / kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu
Karibu sana upate suluhisho lako la kudumu msimu huu wa Ofa.
Tupo nchi nzima Bara na visiwani.

Wasiliana nasi kwa simu namba
0684948462.

Kwa whatsapp gusa hapo chini 👇

HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE KWA KINA MAMA, BABA NA WATOTO KUANZIA MIAKA 10.GCAT ETERNAL HOSPITAL Inak...
14/08/2024

HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE KWA KINA MAMA, BABA NA WATOTO KUANZIA MIAKA 10.

GCAT ETERNAL HOSPITAL Inakutangazia ofa ya Vipimo na Matibabu kwa magonjwa yote sugu
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu na kumuona Daktar pamoja na Ushauri ni Bure.
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
• Kuosha
• Kulinda/ Kukinga
• Kujenga
• Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0684948462

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat Eternal Health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram