25/07/2024
FAHAMU VIZURI MISULI HII INAYOSHIKILIA UUME NA KUUFANYA UUME USIMAME IMARA ZAIDI KWA MUDA MREFU PASIPO KULEGEA AU KUSINYAA.
👇
Pelvic floor muscle Ni msuli ambao umeshikilia Uume ,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu .Ikiwa Ni Dhaifu uume unasimama kwa muda mfupi unalegea hatimaye uume unasinyaa .
Msuli huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo. Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ;
Moja,Bawasili -kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa,uwenda ikawa bawasi ya ndani au ya nje.
Mbili, Kuvimbiwa (constipation ) tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula Fulani,Basi msuli huu hulegea,kwa asilimia 90 hii utokea pale unapo kaa chini because mgandamizo wote unakuwa chini kwa asilimia 100
Tatu, Kupata Choo kigumu ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa, hii inathiri sana lakini ndicho kinacho pelekea kupata bawasi iyo tuliozungumzia apo juu.
Nne, Kujichua/punyeto Punyeto Punyeto Punyeto. Nimeiita mara 3 punyeto pia husababisha msuli huu kulegea ,na Dalili inaonyesha Wakati wa kutoa mbegu za kiume Yani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka K**a matone ya mvua.Yani zinadondoka tu unazani ata ile raha utapata asilimia 98 MWANAUME anapata raha pale anapo mwaga.
Ikiwa huu msuli wa pelvic floor Ni imara utakuta shahawa zinatoka kwa Kasi na kwa nguvu zinaruka mbali na kwa Presha kubwa .Basi msuli huu ndio hufanya hiyo kazi.Ukilegea shahawa zinatoka kwa uvivu , zinadondoka tu chini.
Tano, Uzito mkubwa/kitambi pia hulegeza msuli huu.Ndio maana wenye vitambi wengi uume ni mdogo umezama kwa ndani
Kwa upande wa Wanawake msuli huu ukilegea husababisha Uke kupanuka Sana na kuwa mlegevu.kubaini K**a anatatizo hili Ni kuingiza kidole ukeni alafu ajaribu kukibana akishindwa Basi misuli ya pc imelegea.
Waathirika wakubwa wa msuli huu wengi wao ni watu wa maofisini wanaokaa muda mrefu sehem moja, madereva wa magari na bodaboda, wanaojichua, wenye uzito uliopindukia, kisukari ,vidonda vya tumbo nk.
Suluhisho linahitajika mapema sana kabla msuli huo haujaaribika sana. Likiwa sugu litakusumbua na utatumia gharama nyingi mpaka kukaa sawa.
K**a unahitaji Matokeo Mengine ya waliotumia Dawa yetu na wakapona Tafadhali nitafute inbox
NB: Kwa Wanawake pia Ambao wanakosa hisia za kushiriki Tendo Dawa yao Ipo
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Care & cure Herbal Clinic
Location:
Dsm - Mbagala
Contuct us
255713483702
+